Azam FC vs FAR Rabat

Azam FC vs FAR Rabat

Mkuu unapingana na ukweli? Siku Simba anakipiga na Azam nani aliwashangilia Azam? Kuna siku Yanga alikuwa Taifa na katimu ka mikoani na Azam alikuwa Chamazi na katimu ka mikoani pia, attendance ya Chamazi ilikuwa watu 9. Niseme nini zaidi? Hata wewe uliyeenda Azam ni Simba, Mnyama akirejea enzi zake utarudi tu. Baada ya 5yrs Azam haitakuwepo, believe me.
Sasa hao tisa waliku mawe au watu wanao ishabikia Azam? Kuhusu timu yangu ya awali nilikua shabiki wa yanga tena yanga asili (sio kampuni) ila kwamara ya kwanza mnamo tareh 18/5/13 nitaishangilia Simba aiangamize tena Yanga.
 
mkuu leo niko ontop of somebody women,post yako imenifanya nipiiiiiiiiiiiiz fasta ili nirudi jukwani fasta

Mkuu hongera kwa kazi pevu, umekumbuka kuvaa vyombo vya Madola? Usije ukawa umefanya kosa la marehemu, hakuvaa k.d.m.
 
Ndio basi tena, namshauri NDETICHIA atafute KAPU kubwa naamini atakuwa na kazi nalo wiki mbili zijazo.
 
Mpira umemalizika uwanja wa taifa,AZAM 0-0 AS FAR. Azam wana kazi ya ziada katika mchezo wa marudiano huko morocco baada ya wiki 2.tunawatakia azam kila kheri ktk mchezo wa marudiano. Hongera wana JF wote kwa kuwakilisha hapa hii mechi vyema!
 
Mkuu hongera kwa kazi pevu, umekumbuka kuvaa vyombo vya Madola? Usije ukawa umefanya kosa la marehemu, hakuvaa k.d.m.

mkuu nimefanya kama LIBOLO FC haikuvaa k.d.m kwa Simba,mm ni LIBOLO na huyo kimazi ni Simba,cjui nani atakuwa mwathirika,Ndetichia anisaidie kujibu
 
mkuu nimefanya kama LIBOLO FC haikuvaa k.d.m kwa Simba,mm ni LIBOLO na huyo kimazi ni Simba,cjui nani atakuwa mwathirika,Ndetichia anisaidie kujibu

mwakani mtapangiwa libolo 2one unaongea mno
 
Azam ameshafika mwisho wa safari yake,kule Morocco asitegemee ushindi wowote,hakika atagongwa 3-0
waarabu wanamambo ya ajabu sana wakiwa kwao

kawa ulize wa liberia kilicho wakuta kwao hao wanatoka tu..
 
Back
Top Bottom