Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Sasa SIMBA watashiriki mashindano gani ya kimataifa mwakani?
Zanzibar ni nchi, watashiriki kombe la Mapinduzi huko Zanzibar, kombe la uhai linakutanisha timu za Tanganyika na Zanzibar na mashindano mengine watakayoyaanzisha. Kwa hiyo Wachezea LIBOLO msihofu, makombe mtaendeleo kuyakusanya kama kawa.