Azam FC vs FAR Rabat

Azam FC vs FAR Rabat

Mpenzi? Nani anaweza kupenda kitu kibovu? Kupenda Yanga au Simba nikujitakia presha tu. Kwanini nijipe tabu ilhali kitu kizuri kiko?
sasa mkuu huko uliko ni mpenzi au shabiki!!!!
 
Hahahaah! Mkuu na sisi tutaanza kurusha aibu zenu.

Haki ya mama sikia nikwambie kitu,YANGA haijawahi kukutana na kitu LIBOLO!,na wala haitaka ikatokea LIBOLO linawafuata mara nyingine wale wanaoipenda na kuitafuta.
 
Mpira ni mapumzika,dk 45 zimemalizika AZAM 0-0 AS FAR. Kipindi cha pili Azam wasipobadili mfumo wa uchezaji watakua katika hatari kubwa ya kupoteza huu mchezo.
 
Azam kama yanga tu, mpira unapelekwa mbele bila malengo, ili mradi ukagombaniwe na ikitokea bahati ndio goli linapatikana
We, hebu watake radhi kwanza kabla jua halija zama Azam kama Yanga? Yanga inashiriki kombe gani la kimataifa?
 
mpira mapuziko azam wanarukaruka 2 uwanjani kiwango duni mno
 
Azam hawana plan B kama Barca vile, wanapoteza mno mipira na wanajipasiapasia tu bila sababu, walipaswa kuwa na mtu kama Ngassa kule mbele wa kuwakimbiza kimbiza. Kuna dalili za Ndetichia leo kulala mapema.
 
tusisahau kukutana pale Simba kapakatwa Pub,kila kitu kitaishia pale
 
Kuna maswali mengine ya kichokonozi,ungekuwa karibu na jamaa angekupa za uso,Mpira mapumziko bila bila.
mkuu anadai kuzishabikia yanga na simba ni kutafuta pressure!!ila kabla ya azam alikuwa shabiki wa yanga na hakupata pressure!
 
Azam ameshafika mwisho wa safari yake,kule Morocco asitegemee ushindi wowote,hakika atagongwa 3-0
waarabu wanamambo ya ajabu sana wakiwa kwao
 
Pamoja na kwamba wanaonyesha huu mchezo lakini naomba uje ili tuwachangie AZAM hakuna namna mi najua we ni Simba haipo,mimi ni Yanga na yenyewe ndo hivyo tena haipo.kubali yaishe njoo tuisapoti hii AZAM Mkuu.

halfu leo nimefurahi kukuona kwa sababu kwa mujibu wa kumbukumbu zangu mara ya mwisho nimepotezana na wewe kule kampala wakati wa ile michuano,tulikutafuta sana siku moja ulipotea ghafla kumbe ukawa ume.....!!!!!!

Binafsi nimechukua hatua dhidi ya Simba na Yanga kwa kukataa kwenda Taifa kuangalia game zao.
 
Haki ya mama sikia nikwambie kitu,YANGA haijawahi kukutana na kitu LIBOLO!,na wala haitaka ikatokea LIBOLO linawafuata mara nyingine wale wanaoipenda na kuitafuta.
Nadhani umesahau hii, Yanga wanajidai wasahaulifu. Wamoroko waliipiga Yanga 6-0. Yanga ilitutia aibu sana watanzania mwaka ule. Yanga walifungwa jumla magoli 19 kwenye lile kundi

attachment.php
 
apa ndo naona umuhimu wa mnyama kimataifa biashara ingekuwa imekwisha hawa waarabu wangeomba poo
 
Tunaushukuru uongozi wa Azam FC kwa kutuwezesha nasi wa mikoani kuona mechi 'live' kupitia StarTV. Ushauri wangu kwa StarTV ni kuwa waongeze kamera ili waweze kuendana na kasi ya mpira.
 
Back
Top Bottom