Tofautisha kua na mashabiki wengi na shabiki wa kudumu. Shabiki wa kudumu hata akiwa mmoja ni shabiki unaweza kuwa na wengi na wasiwe wa kudumu. Alicho takiwa aseme huyo mwenzio nikuwa Azam haina mashabiki wengi sio Azm haina mashabiki wa kudumu. Ndio maana nikamwambia angoje baada ya miaka mitano ili aje kuirudia hiyo kauli yake.Wewe labda 'NJEMU' zimezidi kichwani mkuu,hilo nalo ni la kubisha?!,Azam haina mashabiki wanaoweza kulingana na wale wa Yanga ama wa Simba hili liko wazi wala halihitaji ubishi,ila mi naikubali ni timu nzuri ambayo inaonekana imedhamiria kuleta mapinduzi ya soka hapa nchini,bado hawajakaa vizuri tu kuna vitu wanakosea na hivyo kuwafanya wasiweze kuchukua ubingwa kwa miaka hii takribani mitatu.lakini wako sawa kwa sababu kubwa ni kwamba hawana njaa,kama ambao badhi yake zipo ndani ya Simba na Yanga.
Mi tayari niko ndani ya uwanja na leo nitawashangilia.karibuni sana wote mje tuishangilie.
Mkuu wakati mwingi ushabiki ni kitu natural!huwezi kuangalia mpira timu fulani inacheza ukaamua kuwa mpenzi wake!!uliwezaje kujito kimapenzi katika timu uliyo kuwa ukiishabikia na kuhamia azam!!!au wewe ni shabiki tu na si mpenzi!!!Aliye kuambia kuwa Azam haina mashabiki wa kudumu kakuongopea. Wenye mitazamo ya mbali na sio wahafidhina tumesha vikimbia hivyo vitimu vyenu uchwara (Yanga na Simba) ila majibu ya maswali yako ngoja miaka mitano (5) ipite utajua kipi nazungumzia
aiss mimi ndo naanza kuuona sasa hivi star tv!!!au wa kwao si wa laivu!!!dk 5' zimekatika bila bila
du hii nayo kali!!sijui niache kuuangalia huu wa star tv!!maana naona star tv ndo timu zinakaguliwa!!!Azam wamepata pigo kubwa sana, hii sub ya mapema sio dalili nzuri.
aiss mimi ndo naanza kuuona sasa hivi star tv!!!au wa kwao si wa laivu!!!
Nilikua shabiki wa Yanga ushabiki niliorithi kutoka kwa babu na imekua kama desturi ktk familia yetu kuipenda yanga ila nimiaka miwili sasa tangu nilipo amua kupenda kitu kilichopo ndani ya moyo wangu (sio kwakua babu baba walipenda yanga basi na mimi niipende)Mkuu wakati mwingi ushabiki ni kitu natural!huwezi kuangalia mpira timu fulani inacheza ukaamua kuwa mpenzi wake!!uliwezaje kujito kimapenzi katika timu uliyo kuwa ukiishabikia na kuhamia azam!!!au wewe ni shabiki tu na si mpenzi!!!
Tofautisha kua na mashabiki wengi na shabiki wa kudumu. Shabiki wa kudumu hata akiwa mmoja ni shabiki unaweza kuwa na wengi na wasiwe wa kudumu. Alicho takiwa aseme huyo mwenzio nikuwa Azam haina mashabiki wengi sio Azm haina mashabiki wa kudumu. Ndio maana nikamwambia angoje baada ya miaka mitano ili aje kuirudia hiyo kauli yake.
Kambokela bin kilembwe anayi takia Azam ushindi wa goli 3 bila leo.
Kufungwa wata fungwa ila waache wapunguze idadi ya magoli.Dk ni ya 15, AZAM 0-0 AS FAR. Timu zote zinacheza kwa kuonana.
Kambokela bin kilembwe anayi takia Azam ushindi wa goli 3 bila leo.