WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Lazima AZAM wawe makini sana hii timu sio ya kubeza imewahi kuwa bingwa wa michuano hii,lakini imecheza fainali mara kadhaa,na ina wachezaji saba kwenye timu ya taifa,ukiilinganisha na AZAM wanaacha mbali.ndio maana unaona mashambulizi yao ni ya kitimu zaidi.