AZAM APP WANAFELI WAPI?

AZAM APP WANAFELI WAPI?

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,504
Reaction score
7,439
Azam App ni App ambayo inachanel zao mbali mbali watu wengi wameweka katika simu tatizo linatokea pale baadhi ya matukio ya mubashara

Likiwa KUBWA na watazamaji wengi ,App inafeli inashindwa kufunguka ,mfano mechi KUBWA ,tamthiliya zinazo fuatiliwa na watu wengi ..

App inagoma muda mwingine mpaka tukio liishe,nimeona watu wanalalamika katika page za Azam Facebook, Instagram, tweeter lakini Azam huwa hawajibu je wataalam JF Wenda mnaweza kuwashauri tatizo nini wafanye nini kutatua tatizo
 
sio wanafeli ,, wanaiblock kwa muda ili mlipie king'amuzi chao.....
ni business as usual
Na mimi huu ndio mtazamo wangu. Na sasa hivi wameifanyia maboresho lakini dalili zinaonesha nayenyewe tutaanza kulipia soon. Kama akina startimes.

SangaweJr
 
Na mimi huu ndio mtazamo wangu. Na sasa hivi wameifanyia maboresho lakini dalili zinaonesha nayenyewe tutaanza kulipia soon. Kama akina startimes.

SangaweJr
ni kweli ndio wanapoelekea,,wameshapata wateja wa kutosha
swali linakuja wabongo wapo tayari kulipia hela ya bundle pamoja na application?
 
Ule mtandao wao sijui umeishia wapi, vitu kama hivi inapendeza ukinunua kwa jumla.
sijajua mtandao wao walipofikia,, hilo wazo ni zuri sana walifanyie kazi,,
imagine unanunua kifurushi cha king'amuzi,Na unapata free access ya application bila kuweka data bundle tena
hapo watapata wateja wengi kwa kweli
 
sio wanafeli ,, wanaiblock kwa muda ili mlipie king'amuzi chao.....
ni business as usual
Eeeeeeeeh kuuuumbeeeee shwaini zao wengine hatuna hivyo ving'amuzi tupo mavyuoni huku tunatumia computer na simu wasitufanyie makusudi na wao.....huwa napata taabu kipindi cha mpira aseee unafungua channel haifunguki mfyuuuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha ndio hivyo wanavyofanya,,,
pole sana aisee,,
 
Back
Top Bottom