Ayubu Van Damme Baada ya Jela Ukorofi kama kawa!

Kuna kisa kimoja, huyu jamaa aliiba msikitini pale Sinza, akawa anatafutwa, sasa kwa kutegemea zile nguvu zake, wakawa wanashindwa kumkamata... Ikashuriwa waitwe vijana kutoka Mtambani, wakaja vijana kama watatu hivi...! Baada ya masaa kadhaa, wakamleta akiwa nyang'anyang'a, uku kabebwa.

Sasa uko Kinondoni alipo hamia, afanye afanyayo, akiingia tu anga za hawa jamaa, hajue amekwisha.
Duh Mtambani ndio wapi huko? dah na jamaa walikuwa watatu tu?
 
Double diff alishafiriki kama miaka miwili ilyopita...alipigwa na wananchi maeneo ya tegeta...alikodiwa na jamaa kulinda kiwanja kilichokuwa na matatizo na wananchi wa eneo hilo

Alaa lile sakata la Mabouncer waliokufa Tegeta Double Diff Naye Alikuwepo kati ya waliodedishwa kwa Mapanga? R.I.P Double Diff...
 
hili lijamaa lingeingia bongo muviz walau.................................
Huko nako litawaibia tu na kuishia kumtenga... Huwa likichacha Sana linaenda kwa Ruge kuomba Pesa na Ruge akishaliona tu hulipa pesa haraka liondoke manake hataki kabisa limtembelee sababu ya Tabia yake
 
Huyo watu wanamhifadhi sana. Aje afanye tukio hapa Mitaa Ya chole alafu alete ubabe kama hawajaja kumuokota kwenye Rambo akiwa kama yule mwandishi wa Iringa. Sipendi kabisa majinga kama hayo kuendekezwa.
 
He is very stupid,kwa nguvu kama hizo alishindwa nini kuwa mwanamasumbwi akawachape kina Mike Tyson na Evander Hollyfield,jamaa namjua vizuri sana kwani nami nimeishi Sinza kwa zaidi ya miaka 20 na nilikuwa nikimuogopa kweli.Lakini tukikutana leo namuwasha Shaba tu ..
 
Hahaha kweli sikuhizi mwendo ni silaha tu si unaona hata malawi kanchi kadogo lakini kanaleta ubabe sababu wanazo Silaha.... ila Mkuu wewe tu wengine hawana Silaha....

Watu kama hawa Maisha yao yanawafaa kuwa Jela tu tena ile ya mtu mmoja mmoja tu... na kwenye vyumba strong manake huyu hata ukuta laini anaweza kuuangusha.....
 
Kuna mtu anaitwa Nyakash yupo Tangi Bovu Mbezi Beach,huyo Ayubu anamuogopa kufa,na jamaa mwenyewe ana heshima ajabu sababu anajua akileta zake tu tushamwambia.Na subiri winta hii narudi na niko tayari kununua kesi....
 
Mmmhhh mambo ya kizaman
Bado yapo sana mbona unaishi masaki nini wewe au Upanga? visa vya kaba kaba hujawahi sikia? maeneo mbali mbali? hawa ndio Majambazi na wezi kama hujui nenda na upite ukuta ule wa Posta Sinza... na Hata Ulimboka kwani kachukuliwaje? Pochi na Simu hawakumbakishia... Mambo haya hayatoisha Katika Maisha yetu hata uchumi ukue vipi hawa jamaa ni wavivu na hawawezi fanya kazi kwa Mtu.... wao ni kukaba tu

Mimi Siwezi sahau kuna siku kigamboni nilimkimbia Bouncer mmoja basi mpambe wake akawa ananikimbiza anishike ili bouncer anipe kibano niliitelekeza gari yangu.... Kisa ati wakati napiga reverse akaja fasta kwa nyuma nikasimama.. akaniambia kwanini nataka kumgonga nikashuka akawa analeta mokono yake kwenye mifiko nikasepa.... Mziki wake hadi Polisi... na polisi ati wanaogopa bulshait
 
Kuna mtu anaitwa Nyakash yupo Tangi Bovu Mbezi Beach,huyo Ayubu anamuogopa kufa,na jamaa mwenyewe ana heshima ajabu sababu anajua akileta zake tu tushamwambia.Na subiri winta hii narudi na niko tayari kununua kesi....

Mkuu mbona una hasira naye sana mlitifuana naye nini? maana unavyoelekea unataka revenge match.... sio mbaya maana jamaa kafanya maasi mengi sana hata akijapotea wengi watafurahia kama alipofungwa jela wengi walipumua....

na alipotoka jela akakuta Nyumba ya familia yao imeuzwa dingi yake kandei mgao hana yote sababu ya laana zake... bahati ndugu zake Mungu aliwafanyia hisani na Ndipo Bakhresa akawapa visenti vya kununua vibanda .. na yeye ndio vile kaishia kukhifadhiwa kinondoni kwa bi mkubwa..

Huyo Nyakashi inabidi awe makini maana huyu Bigsharo kukaa kwake Kinondoni atakuwa ndio kama kaanzisha au kupata maskani mpya na wahuni wa kinondoni Nyakash watammaliza
 
ni kweli jamaa yupo ila hana nguvu nyingi wala nini
Dah so unamshauri nini The Boss... akikutana nae amvimbie tu si ndio!!!

Majuzi nimemsikia yule Dogo wa Ngarenaro Dogo Janja a.k.a Dogo Mbumbumbu kama alivyopewa jina jipya na waliomvumbua huko Arusha.. amekuwa akimtaja taja Big Sharo
 
Nimesikia Ayubu kuna siku watu walimtolea uvivu wakampiga kama mwizi mwenye mawe kisu fimbo nondo alimzabua navyo hadi akawa hoi wakamshika mkono na kuvikata vidole vyake viwili vya mkononi... lilikuja Devender la Polisi watu walistuka yeye alishaingia ndani ... alikaa jela kama siku tisini akatoka lakini bado ukorofi hajaacha... kipande cha sikio walimtoa ambayo ni dalili ya mtu asiyemjua akiona mtu hana kipande cha sikio ajue huyo mtu si mzuri ni jizi na kabaji....
 
Double diff alishafiriki kama miaka miwili ilyopita...alipigwa na wananchi maeneo ya tegeta...alikodiwa na jamaa kulinda kiwanja kilichokuwa na matatizo na wananchi wa eneo hilo

Tulikuwa tunashinda nae Ben Pub pale Kinondoni
 
Kuna mtu anaitwa Nyakash yupo Tangi Bovu Mbezi Beach,huyo Ayubu anamuogopa kufa,na jamaa mwenyewe ana heshima ajabu sababu anajua akileta zake tu tushamwambia.Na subiri winta hii narudi na niko tayari kununua kesi....

dah! Inaonesha nawe ni mtata sana aisee!...umeongea kwa hasira na kujiamini sanaa...!
 
Jamaa yupo jela tena na nadhani hawezi toka tena kwa kesi iliyomfunga na akiwa jela kapata kesi nyingine ya kumla kiboga mwanaume mwenzie... majitu kama hii haitakiwi kuishi uraian...
 
Jamaa yupo jela tena na nadhani hawezi toka tena kwa kesi iliyomfunga na akiwa jela kapata kesi nyingine ya kumla kiboga mwanaume mwenzie... majitu kama hii haitakiwi kuishi uraian...

teh teh teh..mkuu toka 2012 una-update tu habari!
...Ayubu kaisha kwa msala gani tena?...kitambo sijamsikia!
 
Jamaa yupo jela tena na nadhani hawezi toka tena kwa kesi iliyomfunga na akiwa jela kapata kesi nyingine ya kumla kiboga mwanaume mwenzie... majitu kama hii haitakiwi kuishi uraian...

mkuu kwa updates za huyo jamaa nimekukubali
 
Back
Top Bottom