Ayubu Van Damme Baada ya Jela Ukorofi kama kawa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ayubu Van Damme Baada ya Jela Ukorofi kama kawa!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mlaleo, Oct 4, 2012.

 1. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Huyu Mtu Maarufu sana Ndani ya Mji wa Sinza Full Mbabe na alishawahi Shinda Mashindano ya Mr Dar Es Salaam na aliposhinda na kukabidhiwa kikombe akakishika kwa Mkono wake akakiminya hadi kikawa chapati! huku akidai mnanipa kikombe kwani mimi mwanamichezo''' mimi nataka ''hela'' kwa sauti zito...

  Huyu jamaa ana nguvu nyingi sana ila mvivu kwenye kufanya kazi i mean hupendelea Ujobless mwili nyumba ngumi tofari akikuzaba kofi unaweza kupatwa na ulemavu hata mishipa ya ndani sehemu alipopiga kofi inaweza hata kupasuka huyu mtu si wa kuchezea ngumi zake ni zaidi ya ajari... akikupiga ngumi lazima ukapate matibabu hospitalini.... sasa tatizo la huyu jamaa ni mwizi kwa kutumia nguvu zake... so anaweza kukusingizia tu kuwa unamchukua mke wake wakati hna then anakunyang'anya kama simu pesa n.k hata nguo amefanya vitu vya ubakaji kwa kila aina...

  Alishampiga stop ya kutembea Sinza maisha Dudubaya wakati ule ana heat sana na ubabe wake... nadhani hadi leo Dudubaya no sinza visit....

  Alifungwa miaka mitatu na alipotoka ndugu zake wamehama sinza nasikia kakimbilia Kinondoni kwa mzazi wake anaishi so Majuzi kati kamtokea Askari wa Ultimate Security kamsingizia anatembea na mke wake kamzaba kofi la uso kisha kumuibia alivyokuwa navyo askari anapatiwa matibabu ya uso na jicho na amekuwa na mpango wa kuchukua team yake ya ultimate kwenda kumdhibiti ila naona ataongeza maumivu kwa wengine huyo jamaa wanaomuweza ni ndugu zake tu polisi walishamshindwa....

  Ningeopmba Serikali wampunguzie Nguvu za mwili huyu jamaakwani ni hatari ukikutana naye madawa yeye bangi yeye ana macho makali sana ukitizamana nae usoni kulishakuwa na watu kama Double Diff mwili mkubwa na alidhibitiwa na kupunguzwa nguvu na wamekuwa wapole tu wanaishi mitaani...

  Kama unavituko vyake naomba mviongeze japo ni vibaya ila vinapendeza kusikiliza Amazing Young man
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,307
  Likes Received: 13,015
  Trophy Points: 280
  Haya ya kweli haya? Hata sitaki nikutane nae

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 3. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 35
  Double diff nae hivi nae yuko wapi?jamaa alikuwa mbavu nene ya hatari!huyu van damme asijisahau akajua miaka ile ndo hii kuna watoto wadogo tu mitaani wamepinda mbaya wanaweza kumkalisha!amuulize jozee mbavu la kino aliyewaletea makuzi watoto wa kinondoni akachezea sana mapanga ya kichwani!
   
 4. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Huyo Double Diff last time kumuona ilikuwa 1997 Jamaa alikuwa Dude Dude na sikuwahi kumuona akifanya mazoezi huwa nasikia alikuwa anatuna balaa akiwa anatokea mbele ya njia lazima ugeuze tu utake usitake... hawa ni baadhi ya watu nchini ambao hawajawahi kuonewa... Polisi wakienda kumkamata lazima wambembeleze kama vile Zanzibar wafanyavyo....

  Huyu Ayubu Van Damme hata hao watoto wa kinondoni wanamjua kwani huwa ni mjanja sana kama una silaha anakusogelea karibu ndio maana hata polisi always na wanajeshi huchemsha kumchukua ili kumuadhibu na mwishowe huadhibiwa wao..

  Kuna siku alizingirwa kwenye nyumba milango yote akavunja ukuta kwa mgongo yaani alienda mbele kisha akarudi kwa nguvu hadi ukutani ukuta ukavunjika then akasepa na machizi...
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Jamaa anaitwa Ayubu Mkobo. Mi nakumbuka alimpa kibano cha ukweli Lintu.
   
 6. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  This days anapatikana Kinondoni kwa mama mkubwa.... huyu polisi wote wanamfahamu hata kova...

  Jamaa ana nguvu nyingi sana... kama unakamwili kadogo na unaonesha simu yako nzuri na wallet lako limejaa jaa kwa kukuonea huruma anakupa kibao na lazima uone nyota na Ujinga wake anaweza kukuambia umsindikize ili usijepiga kelele kumjazia watu kwani atawatandika tu na most watu huwa hawamfuati kama ukifanikiwa kupiga yowe haswa Sinza... Nani ajitaki aje kukusaidia yaani anakaba kila anapohitaji pesa ya kuvuta Unga
   
 7. AKILImuchknow

  AKILImuchknow JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huko sahihi kbsa mkuu!.hyu jamaa enzi zk alikua n noma maskani yk kuu ilikua maeneo ya abajalo-sinza.Ila km karudia tena tabia yk naon km anahamu y kudedi.Mm mwnyw nilikua namgwaya zaman lakini sshv nikikutana nae anambii ki2.
   
 8. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Mwambie achomekee kwa gari msafara wa JK aone shughuli yake ya wale jamaa wa kwenye zile BMW si anajidai ana nguvu
   
 9. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Jamaa huyu hafai katika Jamii bora angetafutiwa tiba ya Madawa ya kulevya kwanza then wampige sindano ya kulainisha mishipa Nguvu zake zinamuwasha sana kuchapa watu makonde...

  Ndugu zake ndio wanamuweza kumkamata hata safari ya jela polisi walichemka ndipo ndugu zake wakamtia nguvuni kwa kumvizia walimpiga kama mwizi zaidi ya lisaa zima hadi akachoka
   
 10. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  ebwana wewe CTU Huyu jamaa msikie tu hao jamaa labda watumie silaha kwanza yaani wampige na siyo ngumi au mateke...

  Mkuu vipi zamani kwenye zile chatroom hilo neno Center terrorist unit ulikuwa unadai ni secret ukawa unaweka CTU pekee humu JF uweliweka wazi eee!
   
 11. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280

  Watu kama hao niko na my wife wangu akileta za Kuleta unampa cha moto tu ile kitu haina cha mwili jumba wala baunsa

  Hii jina ina maana nyingi sana Counter terrorist Unit its just diversion tu
   
 12. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Masikhara Mkuu au na wewe Ushapiga nae tizi huyu kama sikosei alishawahi kuwa Bodyguard wa Ruge akawa anamuibia sana Simu zake kila akinunua hadi akamtosa...

  Mkuu unataka kuniambia kwa sasa amechoka au wewe ushaongeza mazoezi ya kutosha na mwili ushajaa sana kuliko zamani?
   
 13. AKILImuchknow

  AKILImuchknow JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu nakubali huyu jamaa alikua hatar sn enzi hizo na amesumbua kwelikweli na co yy 2 ukoo wao wt walikua n tabia ya utemi sema huyu Ayubu alizidi mpk akaingia kwny ujambazi.Nakumbuka mwishoni mwishoni kabla hajaenda lupango alikua anapenda kutembea na kanzu halafu ndani yake anabunda ya sime kutoka kiunoni mpk karibia n kisigino akikwambie nipe ki2 husipompa anakuchepa kweli.Ila enzi za utemi wa kibwegebwege zimeshakwisha ukizingua sn unapigwa shaba au unamwagia ht tindikali machoni mbinu za kushinda pambano ziko nyingi ndomana najiamini.
   
 14. AKILImuchknow

  AKILImuchknow JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sinza kuna timu moja ya mpira inaitwa Abajaro FC'Mnyama mkubwa' ndio ilikua maskani ya wahuni karibia wote wa sinza enzi hzo na huyu Ayubu Vandamme ndo alikua mtemi wao wanayemtegemea.Nakumbuka ilikua mwaka 1996 Abajalo ilicheza mechi na timu moja ya mwananyamala inaitwa Monchwari FC uwanja wa shaka(bora) kijitonyama.Hawa jamaa ni noma balaa walikuja uwanjani na bunda ya briefcase imejaa zana tupu mapanga,visu,sime n.k.Kabla game haijaisha liliibuka timbwili si la kitoto wale jamaa ni noma yani hatari hasikwambie m2 sime ikitoka hairudi.Kwa mara ya kwanza nilimwona vandamme hakiingia mitini na wahuni wenzake wa abajalo.Siwezi kuisahau siku hiyo vipanga vilitembea vya kutosha watoto wa mwananyamala ni nyoko hawafai ht kdogo.
   
 15. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Nasikia ndugu zake nao miili nyumba, ni kweli?
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Mmmh. Mitaani kuna mambo!
  Hata sielewi faida yake.
   
 17. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Haswa ndio maana huwa wanamuweza kama kuna ombi la polisi au Jeshi ili kumfikisha lupango hata jela ndugu zake ndio walitumika kumlegeza... alizaliwa kuwa mtoto mzuri amegeuka kuwa Nunda.... Hafai hafai hafai
   
 18. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hili lijamaa lingeingia bongo muviz walau.................................
   
 19. Mtimti

  Mtimti JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 23, 2008
  Messages: 914
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 60
  Double diff alishafiriki kama miaka miwili ilyopita...alipigwa na wananchi maeneo ya tegeta...alikodiwa na jamaa kulinda kiwanja kilichokuwa na matatizo na wananchi wa eneo hilo
   
 20. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Kuna kisa kimoja, huyu jamaa aliiba msikitini pale Sinza, akawa anatafutwa, sasa kwa kutegemea zile nguvu zake, wakawa wanashindwa kumkamata... Ikashuriwa waitwe vijana kutoka Mtambani, wakaja vijana kama watatu hivi...! Baada ya masaa kadhaa, wakamleta akiwa nyang'anyang'a, uku kabebwa.

  Sasa uko Kinondoni alipo hamia, afanye afanyayo, akiingia tu anga za hawa jamaa, hajue amekwisha.
   
Loading...