wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,804
- 2,252
mwenye mamraka ni mungu na yy ndie anayejua kesho yetu
You are genius my dear. ...vizuri sana.
daima waza mafanikio.
Majusi wameshasema hatoboi 2020 bwana atamtwaa wewe unasema miaka kumi fikiri vizuriNchi kuendelea kiutamaduni, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia huwa ni mchakato.
Sasa wale mnaoweza KUTABIRI nijuzeni miaka ya utawala wa Mhe. JPM TANZANIA Itakuwa wapi??
1. Tutakuwa na maendeleo ya kisiasa zaidi ya watangulizi wake??
2. Tutakuwa na maendeleo ya kiuchumi - zaidi ya tulivyo sasa?? -
3. Tanzania itakuwa na watu wenye mshikamano na umoja kama ikivyokuwa wakati wa Nyerere??
4. Nchini Zanzibar (Pemba na Unguja) watashirikiana kabisa na kuwa kitu kimoja?
WATANZANIA TUMWOMBEE MAGUFULI ILI ATAWALIWE NA HEKIMA KILA AAMUWAPO JAMBO AKIWA RAIS WA NCHI.
VISASI KAMWE VISIWEPO KWA KUNDI LOLOTE LILILOMPINGA, LINALOMPINGA NA LITAKALOMPINGA MBELENI.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
[HASHTAG]#JUSTICE[/HASHTAG] FOR LEMANchi kuendelea kiutamaduni, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia huwa ni mchakato.
Sasa wale mnaoweza KUTABIRI nijuzeni miaka ya utawala wa Mhe. JPM TANZANIA Itakuwa wapi??
1. Tutakuwa na maendeleo ya kisiasa zaidi ya watangulizi wake??
2. Tutakuwa na maendeleo ya kiuchumi - zaidi ya tulivyo sasa?? -
3. Tanzania itakuwa na watu wenye mshikamano na umoja kama ikivyokuwa wakati wa Nyerere??
4. Nchini Zanzibar (Pemba na Unguja) watashirikiana kabisa na kuwa kitu kimoja?
WATANZANIA TUMWOMBEE MAGUFULI ILI ATAWALIWE NA HEKIMA KILA AAMUWAPO JAMBO AKIWA RAIS WA NCHI.
VISASI KAMWE VISIWEPO KWA KUNDI LOLOTE LILILOMPINGA, LINALOMPINGA NA LITAKALOMPINGA MBELENI.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
You are not serious!!!1. Siasa ya upinzani itadorola japo CCM itaendelea kuwa na nguvu.
2. wananchi tutaheshimiana
3. vijana tutapata tu mawazo ya kujiajiri kutokana na serikali kubana ajira.
4. Serikali itakuwa na uchumi imara.
5. wananchi tutakuwa na nidhamu ya fedha.
6. Na mimi nitagombea ubunge jimbo fulani ivi na nitashinda ikibidi kwa kutumia njia iliyompa ushindi Trumph.
Rais Magufuli anatawala mpaka 2025, hiyo ni miaka kumi. Mwaka 2020 tutakachofanya ni "kurenew" tu Urais wake. Viva Magufuli viva.Urais ni miaka mitano,kumi umeitolea wapi?
Watanzania mtaelewa nini maana ya kulipa kodi na mtalipa bila kushurutishwa.Nchi kuendelea kiutamaduni, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia huwa ni mchakato.
Sasa wale mnaoweza KUTABIRI nijuzeni miaka ya utawala wa Mhe. JPM TANZANIA Itakuwa wapi??
1. Tutakuwa na maendeleo ya kisiasa zaidi ya watangulizi wake??
2. Tutakuwa na maendeleo ya kiuchumi - zaidi ya tulivyo sasa?? -
3. Tanzania itakuwa na watu wenye mshikamano na umoja kama ikivyokuwa wakati wa Nyerere??
4. Nchini Zanzibar (Pemba na Unguja) watashirikiana kabisa na kuwa kitu kimoja?
WATANZANIA TUMWOMBEE MAGUFULI ILI ATAWALIWE NA HEKIMA KILA AAMUWAPO JAMBO AKIWA RAIS WA NCHI.
VISASI KAMWE VISIWEPO KWA KUNDI LOLOTE LILILOMPINGA, LINALOMPINGA NA LITAKALOMPINGA MBELENI.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Looks like you have all the answers, then why asking?Watanzania mtaelewa nini maana ya kulipa kodi na mtalipa bila kushurutishwa.
Nchi itakuwa na maendeleo makubwa sana, kutokana na ongezeko la viwanda
Shirika letu la ndege litakuwa linashindana na KLM
Tutakuwa na Tren za kisasa kabisa.
Kutakuwa na heshima na nidhamu kwa kila Mtanzania
Uzinzi na Uasherati vitapungua sana maana kutakuwa hakuna pesa za mchezo mchezo(pesa za dili)
Vyama vya ovyo vyo kama CHADEMA vitajifia tu vyenyewe, hivyo amani ya nchi itaongezeka.
Wasomi wataongezeka sana na watakuwa ni wasomi halali sio wasomi "magumashi"
Wakulima wataongezeka sana kwani wapiga dili wote itabidi tu sasa wakalime, hivyo mazao yataongezeka na bei ya chakula itashuka sana.
Hakika naiona Tanzania mpya yenye "neema"