Awezaye kutabiri aniambie miaka 10 ya Mhe magufuli Tanzania itakuwa wapi??

Nchi kuendelea kiutamaduni, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia huwa ni mchakato.

Sasa wale mnaoweza KUTABIRI nijuzeni miaka ya utawala wa Mhe. JPM TANZANIA Itakuwa wapi??

1. Tutakuwa na maendeleo ya kisiasa zaidi ya watangulizi wake??

2. Tutakuwa na maendeleo ya kiuchumi - zaidi ya tulivyo sasa?? -

3. Tanzania itakuwa na watu wenye mshikamano na umoja kama ikivyokuwa wakati wa Nyerere??

4. Nchini Zanzibar (Pemba na Unguja) watashirikiana kabisa na kuwa kitu kimoja?

WATANZANIA TUMWOMBEE MAGUFULI ILI ATAWALIWE NA HEKIMA KILA AAMUWAPO JAMBO AKIWA RAIS WA NCHI.

VISASI KAMWE VISIWEPO KWA KUNDI LOLOTE LILILOMPINGA, LINALOMPINGA NA LITAKALOMPINGA MBELENI.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
tuta uunda ndege za kwetu
 
1. Siasa ya upinzani itadorola japo CCM itaendelea kuwa na nguvu.
2. wananchi tutaheshimiana
3. vijana tutapata tu mawazo ya kujiajiri kutokana na serikali kubana ajira.
4. Serikali itakuwa na uchumi imara.
5. wananchi tutakuwa na nidhamu ya fedha.
6. Na mimi nitagombea ubunge jimbo fulani ivi na nitashinda ikibidi kwa kutumia njia iliyompa ushindi Trumph.
Mkuu kweli umepania.
 
Amen RA. ..na mimi najiona nitakuwa tajiri kama aliko dangote. .Amen RA
 
Huwezi kujua yakesho kwani wewe mungu?
Mambo yakutabiri mwisho kwenye mipira
Lakini kwa nchi hilo analijua mungu tu.
Hapa nikuzidisha maombi kwa Rais wetu mwenyezi mungu azidi kumlinda na kuumpa nguvu zaidi.
Kumpa nguvu ili aendelee kututia aibu kwa kuongea matope
 
Eti miaka kumi wakati 2020 tunamuadhibu kwa kupitia sanduku la kura kwa kutuletea será za kagame
 
Keshasahau Nchi ya viwanda sasa anashughulika kututafuta sisi ili atutie kwenye mifuko ya sandarusi
 
Maandamano makubwa sana kuwahi kutokea bcoz Wasomi wengi watakosa Ajira, kufilisika kwa biashara za watu, umaskin mkubwa mno utatokea, matukio Makubwa ya Uhalifu yatatokea, watalii kupungua nchin kwasababu ya Kodi kubwa sana watalipia, thamani ya masomo ya Udaktari na Uhalimu wa Arts kushuka thamani
(No direct employment )
 
1. Siasa ya upinzani itadorola japo CCM itaendelea kuwa na nguvu.
2. wananchi tutaheshimiana
3. vijana tutapata tu mawazo ya kujiajiri kutokana na serikali kubana ajira.
4. Serikali itakuwa na uchumi imara.
5. wananchi tutakuwa na nidhamu ya fedha.
6. Na mimi nitagombea ubunge jimbo fulani ivi na nitashinda ikibidi kwa kutumia njia iliyompa ushindi Trumph.
Hekima inahitajika sana
 
Point taken
 
Miaka kumi ikiisha utakuwa ukitoka tu sebuleni kwako unakutana na kiwanda.Itakuwa Tanzania ya viwanda kweli kweli
 
Back
Top Bottom