Awezaye kutabiri aniambie miaka 10 ya Mhe magufuli Tanzania itakuwa wapi??

Nchi kuendelea kiutamaduni, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia huwa ni mchakato.

Sasa wale mnaoweza KUTABIRI nijuzeni miaka ya utawala wa Mhe. JPM TANZANIA Itakuwa wapi??

1. Tutakuwa na maendeleo ya kisiasa zaidi ya watangulizi wake??

2. Tutakuwa na maendeleo ya kiuchumi - zaidi ya tulivyo sasa?? -

3. Tanzania itakuwa na watu wenye mshikamano na umoja kama ikivyokuwa wakati wa Nyerere??

4. Nchini Zanzibar (Pemba na Unguja) watashirikiana kabisa na kuwa kitu kimoja?

WATANZANIA TUMWOMBEE MAGUFULI ILI ATAWALIWE NA HEKIMA KILA AAMUWAPO JAMBO AKIWA RAIS WA NCHI.

VISASI KAMWE VISIWEPO KWA KUNDI LOLOTE LILILOMPINGA, LINALOMPINGA NA LITAKALOMPINGA MBELENI.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Umetumwa nn???????
 
Ni ngumu kujua gari bovu lini litafika wapi, tuache tushuhudie muda ndio hakimu mzuri.
 
Itafika wakati raia wote wataanza na cha Arusha kwanza wakiamka maana namba haisomeki kabisa.
 
(1)Tanzania itakuwa imepiga hatua kubwa sana za kiuchumi.
(2)Siasa za kipuuzi zitakuwa zimeshajifia zenyewe.
(3)Wananchi watakuwa wameshabadili mindset yao kuwa "MAENDELEO "hayaji kwa kufanya mzaha mzaha bali kwa kufanya kazi kwa juhudi na maaarifa.
(4)YAMKINI vyama vingine vyenye siasa za matukio tu vitakuwa vimekufa, kwani watanzania watakuwa wameshajua MBIVU na MBICHI ni zipi.
 
Nchi kuendelea kiutamaduni, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia huwa ni mchakato.

Sasa wale mnaoweza KUTABIRI nijuzeni miaka ya utawala wa Mhe. JPM TANZANIA Itakuwa wapi??

1. Tutakuwa na maendeleo ya kisiasa zaidi ya watangulizi wake??

2. Tutakuwa na maendeleo ya kiuchumi - zaidi ya tulivyo sasa?? -

3. Tanzania itakuwa na watu wenye mshikamano na umoja kama ikivyokuwa wakati wa Nyerere??

4. Nchini Zanzibar (Pemba na Unguja) watashirikiana kabisa na kuwa kitu kimoja?

WATANZANIA TUMWOMBEE MAGUFULI ILI ATAWALIWE NA HEKIMA KILA AAMUWAPO JAMBO AKIWA RAIS WA NCHI.

VISASI KAMWE VISIWEPO KWA KUNDI LOLOTE LILILOMPINGA, LINALOMPINGA NA LITAKALOMPINGA MBELENI.
MUNGU IBARIKI TANZANIA

Miaka 10??Tuheshimiane aiseeee
 
kutakuwa na standard gauge, ndege za kisasa, flyovers,daraja la salender, meli ziwa vctoria, etc
 
Back
Top Bottom