Awezaye kutabiri aniambie miaka 10 ya Mhe magufuli Tanzania itakuwa wapi??

semaaa
Nchi kuendelea kiutamaduni, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia huwa ni mchakato.

Sasa wale mnaoweza KUTABIRI nijuzeni miaka ya utawala wa Mhe. JPM TANZANIA Itakuwa wapi??

1. Tutakuwa na maendeleo ya kisiasa zaidi ya watangulizi wake??

2. Tutakuwa na maendeleo ya kiuchumi - zaidi ya tulivyo sasa?? -

3. Tanzania itakuwa na watu wenye mshikamano na umoja kama ikivyokuwa wakati wa Nyerere??

4. Nchini Zanzibar (Pemba na Unguja) watashirikiana kabisa na kuwa kitu kimoja?

WATANZANIA TUMWOMBEE MAGUFULI ILI ATAWALIWE NA HEKIMA KILA AAMUWAPO JAMBO AKIWA RAIS WA NCHI.

VISASI KAMWE VISIWEPO KWA KUNDI LOLOTE LILILOMPINGA, LINALOMPINGA NA LITAKALOMPINGA MBELENI.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Umreotaaa uonee cha moto
 
"....Ukiwa mpya unabidi uwe mpya kweli, kweli....lakini sio kuyaharibu mazuri yaliyotangulia!"
JK bwana! sijui alimaanisha nini?
 
Huwezi kujua yakesho kwani wewe mungu?
Mambo yakutabiri mwisho kwenye mipira
Lakini kwa nchi hilo analijua mungu tu.
Hapa nikuzidisha maombi kwa Rais wetu mwenyezi mungu azidi kumlinda na kuumpa nguvu zaidi.
Nlijua unamsemea Mungu!! Kumbe ni mungu???
 
Andaaa Uzi na sindano kushona viraka;;pia agizeni dawa ya josho kwaajili yakutibu mafunza!
 
Nchi kuendelea kiutamaduni, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia huwa ni mchakato.

Sasa wale mnaoweza KUTABIRI nijuzeni miaka ya utawala wa Mhe. JPM TANZANIA Itakuwa wapi??

1. Tutakuwa na maendeleo ya kisiasa zaidi ya watangulizi wake??

2. Tutakuwa na maendeleo ya kiuchumi - zaidi ya tulivyo sasa?? -

3. Tanzania itakuwa na watu wenye mshikamano na umoja kama ikivyokuwa wakati wa Nyerere??

4. Nchini Zanzibar (Pemba na Unguja) watashirikiana kabisa na kuwa kitu kimoja?

WATANZANIA TUMWOMBEE MAGUFULI ILI ATAWALIWE NA HEKIMA KILA AAMUWAPO JAMBO AKIWA RAIS WA NCHI.

VISASI KAMWE VISIWEPO KWA KUNDI LOLOTE LILILOMPINGA, LINALOMPINGA NA LITAKALOMPINGA MBELENI.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Kama kweli Mungu yupo, sioni miaka 10 ya magu. Amini usiamini
 
Huwezi kujua yakesho kwani wewe mungu?
Mambo yakutabiri mwisho kwenye mipira
Lakini kwa nchi hilo analijua mungu tu.
Hapa nikuzidisha maombi kwa Rais wetu mwenyezi mungu azidi kumlinda na kuumpa nguvu zaidi.
Mwenyezi Mungu anaona kila Jambo linalotendeka,Ni kazi yake kutoa Hukumu
 
Umesema baada ya miaka 10!!! una maanisha tutegemee uchaguzi kuahirishwa wa 2020 hadi 2025? au umeshasafiri mpaka 2020 ukaona ushindi wa kishindo,tena bila kupingwa?
 
Back
Top Bottom