Bobwe2
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,708
- 2,885
Catholic + muungano = tanzaniaNguvu ya Wakatoliki ni kubwa sana....
Catholic + muungano = tanzaniaNguvu ya Wakatoliki ni kubwa sana....
Umakamu unawatosha, si mna raisi huko?Mtoto wa Mwinyi nazani ni the next president of Zanzibar...kwa huko bara nazani tutaendelea kupewa umakamu tu kama kawaida...maana nazani ndo nafasi waliotuchagulia wana Chimwaga.
Mkuu, Mayala unakataa kuwa kanisa haluna nguvu yeyote kwenye siasa na muungano huu,No, hakuna kitu kama hicho, kwenye bandiko hili nimekizungumzia.
Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?
Paskali
Tuombe Mungu isitokee, ni hawahawa walioiuza loliondo. Hawana uchungu kabisa na Tanganyika.Nafasi ya mzanzibari kuongoza tanzania itapatikana pale rais toka bara akifariki kabla ya kumaliza muhula wake.
Wazenji wamekomaa na kudai uhuru wao kutoka kwa tanganyika. Habari za kutowa raisi wa muungano kwao sio jambo la maana kwa wale wanaojielewa. Fuatilia harakati zao tangu mapinduzi ya Zanzibar mpaka muda huu utagundua wanavyoipelekesha serikali ya muungano.Wazanzibar sasa ni wakati wenu kututolea mtu wa kuendesha hili lori TANZANIA maana kila kukicha ni bara tuuu ina maana wazanzibar nyie hamna uwezo wa kutoa mtu wa kusimama kidete?
Kwa kuwasaidia tu anzeni kumuandaa mtoto wa mzee Mwinyi aje kupeperusha kwa niaba ya wazenji.
Miaka hii mitatu inatosha kujiandaa.
Hili tatizo lipo miaka mingi sana tangu uasisiwe muungano wewe umechelewa kuelewa. Serikali ya Tanganyika imechukuwa madaraka ya kuwa ndio serikali ya Tanzania apo ndipo ilipoanzia hii sintofahamu. Hebu jiulize kwanini kusiwe na serikali 3 tangu apo walipokubaliana kuungana?Acha wendawazimu wako mbona cc wabara hatujaenda kugombea huo urais zanzibar?bungeni wapo cc kwao hatupo wapi na wapi?