jiandaeni kisaikolojia tualiyekutuma ujibu mwambie hujamkuta
tuko imara zaidi ya jana ndo mana mnahangaika nasi,akimaliza 10 2025 TUNAMUONGEZEAwewe ndo wakujiandaa na sizonje wako
Hatuna system ya kupokezana mkuu,ila kama yupo mwenye qualifications ruksa.Swala si kwamba anatoka wapi,lahasha,swala ni kwamba anafaa?Wazanzibar sasa ni wakati wenu kututolea mtu wa kuendesha hili lori TANZANIA maana kila kukicha ni bara tuuu ina maana wazanzibar nyie hamna uwezo wa kutoa mtu wa kusimama kidete?
Kwa kuwasaidia tu anzeni kumuandaa mtoto wa mzee Mwinyi aje kupeperusha kwa niaba ya wazenji.
Miaka hii mitatu inatosha kujiandaa.
Kumbe wewe tayari una bias zako za kidini sasa unataka kutafuta justification ya eneo lipi la Muungano!umeuliza swali sawa.
kabla hujajibiwa wakati unatafutiwa jibu jiulize huu utaratibu wa kidini kutawala upo kwenye katiba?
ALIANZA JULIUS ambae alikuwa MGALATIA wa BARA..
akafuatiwa na MWINYI mzee ruksa MUSLIM ZANZIBAR
akafutiwa na MKAPA mgalatia
Akafuatiwa na KIKWETE muslim
akafutiwa na POMBE MGALATIA
hebu tabiri ataefuatia ni wa dini ipi alafu tupeane majibu.
Japo watatu waliofuatia wote ni wabara hapa utamaduni wa kupeana BARA na WAZANZIBAR ulirukwa na ndio shida itakapoikumba hii CHAMA YA KUPINDUAPINDUA kwenye 2020