Awamu ya Zanzibar kutuletea mgombea urais

Awamu ya Zanzibar kutuletea mgombea urais

Ulishaenda kuomba kugombea ukakataliwa?
Si unasema tanzania ni moja..
Nikupe mfano wewe kama unakaa dodoma kisha nenda mtwara kajaribu kuomba kugombea kiti mfano cha udiwani tu utapata majibu yako.
Nchi haiko hivo. Mbona kila siku watu wanatoka sehemu moja kwenda kugombea sehemu nyingine. Muhongo alikuwa anaishi mjini, kaenda kugombea Musoma vijijini kapeta. Zito kwao Kigoma Kaskazini, sasa hivi ni Mbunge wa Kigoma Ujiji.
 
Mimi ningefurahi sana Bi samia Suluhu akiwa rais wetu next kuliko wengine wote.
 
Hahahahahah!......lakini ni waziri pekee aliyehudumu kwenye hii wizara kwa muda mrefu. Binafsi namwona kama mtu composed.
Ukipewa Wizara ya Ulinzi, mambo ya nje, ofisi ya makamu wa rais muungano, sheria na ile vijana na michezo zikakushinda utaonekana KIAZI wa kutupwa. Kama unataka kupima competency yake apewe wizara zifuatazo. Maliasili/utalii, Kilimo, Elimu, mambo ya ndani, tamisemi, nishati/madini, ardhi, ujenzi/uchukuzi. Akistahimili kwa 5 yrs kwenye wizara hizo then tutajua ni mtu makini (usijali kama ni wizara za muungano ama la)
 
You are right! Kuna wizara zinahitaji mechanized policies hasa kilimo, zingine ni status quo.
 
Kwahiyo dr. Husein tuambie kwao ni wapi
Zanzibar alizaliwa tu,kwao nafikiri itakuwa Mikocheni au sehemu fulani Daresalam,hana uraia wa Zanzibar...hana tafauti na mtu aliezaliwa Tanzania akaenda kuchukua uraia Marekani
 
Wazanzibar hawastahiri kutuchagulia sisi wa tz bara kutuongoza. Watu million moja na nusu kuhodhi uongozi kwa watu million 50 Hapo hakuna usawa. Ndio maana hata Mzee mwinyi Nchi ilimshinda alidhani kuwa tanzania bara ni kanchi kadogo tu. Pia mwinyi aliingiza Nchi Katika matatizo Kwa kuvunja misingi yt bora uliowekwa na baba taifa. Mwinyi aliruhusu mambo ya hovyo Sana ambayo Mpaka leo tumeharibu Nchi yetu. Watanzania bara tusikubari tena Kuruhusu Zanzibar itoe rais Wazanzibar ni wazembe pia ni wadini Sana.
 
TsafuRD nadhani unajua kuwa muungano baina Tanganyika mwaka.1964 ilikuwa katika mambo 11 tu. Jibu lako liko hapo.
 
Kama hujui kitu bora ujifungie tu hilo bakuli lako
Hahaha mkuu umenichekesha,hivi wewe umeshamuona huyu jamaa anaitwa Hussein Mwinyi hapa ZNZ,acha abaki huko huko Mrima huku hatumtaki...Hivi sasa kwasabu manamlizia ngoma awe raisi wa Tanzania ndio kawa mzanzibari...

Wazanzibari wameshawahi kukataa Salim Ahmed Salim kwasabau hizi hizi za yeye kujichimbia Tanganyika bila hata ya kujua shida za wazanzibari....

Karume au Maalim Seif ndio wenye sifa za kuwa raisi wa Tanzania......,kama wazanzibari watakubali kubakia na hili janga linalo itwa mungano ifikapo 2020 😎
 
Wazanzibar sasa ni wakati wenu kututolea mtu wa kuendesha hili lori TANZANIA maana kila kukicha ni bara tuuu ina maana wazanzibar nyie hamna uwezo wa kutoa mtu wa kusimama kidete?

Kwa kuwasaidia tu anzeni kumuandaa mtoto wa mzee Mwinyi aje kupeperusha kwa niaba ya wazenji.

Miaka hii mitatu inatosha kujiandaa.
Huu mtazamo sijawahi usikia. Baba wa Taifa (Hayati Mwalimu Nyerere) atuombee tusipotoke. Tunahitaji kiongozi safi sio Ubara na Uzanzibari
 
Wazanzibar sasa ni wakati wenu kututolea mtu wa kuendesha hili lori TANZANIA maana kila kukicha ni bara tuuu ina maana wazanzibar nyie hamna uwezo wa kutoa mtu wa kusimama kidete?

Kwa kuwasaidia tu anzeni kumuandaa mtoto wa mzee Mwinyi aje kupeperusha kwa niaba ya wazenji.

Miaka hii mitatu inatosha kujiandaa.
Kwahiyo Chadema mtamsimamisha Mwalimu badala ya Lowassa?!!
 
KWANI KATIBA INASEMAJE JUU YA SIFA ZA RAIS WA JAMUHURI?
umeuliza swali sawa.
kabla hujajibiwa wakati unatafutiwa jibu jiulize huu utaratibu wa kidini kutawala upo kwenye katiba?
ALIANZA JULIUS ambae alikuwa MGALATIA wa BARA..
akafuatiwa na MWINYI mzee ruksa MUSLIM ZANZIBAR
akafutiwa na MKAPA mgalatia
Akafuatiwa na KIKWETE muslim
akafutiwa na POMBE MGALATIA
hebu tabiri ataefuatia ni wa dini ipi alafu tupeane majibu.
Japo watatu waliofuatia wote ni wabara hapa utamaduni wa kupeana BARA na WAZANZIBAR ulirukwa na ndio shida itakapoikumba hii CHAMA YA KUPINDUAPINDUA kwenye 2020
 
Back
Top Bottom