Awamu ya Zanzibar kutuletea mgombea urais

Mtoto wa Mwinyi nazani ni the next president of Zanzibar...kwa huko bara nazani tutaendelea kupewa umakamu tu kama kawaida...maana nazani ndo nafasi waliotuchagulia wana Chimwaga.
Hapana. Mtu kama Salim Ahmed Salim alifaa kabisa. Nani mwingine ana nguvu na ushawishi atapewa hiyo kazi? Maalimu?
 
"Tanzania visiwani" by Mizengo Pinda
Na huku bara watoe Rais akatawale Visiwani
 
Sera ya mbara na mzanzibari ni ya CCM ambao naowameshindwa kuisimamia kwa kuwa kwa sasa hawamwamini mzanzibari yeyote kama anaweza akahimili ushindani wa mfumo wa vyama vingi.

Zanzibar kwenyewe CUF wanawatoa kamasi mpaka wanalazimika kushinda kwa kutumia katafunua za Decha,mzanzibari ukimuongezea na bara tena, sindio CCM itazikwa kabisa hata kabla ya kufika Lumumba.

Kwa kuwa watanganyika hawatarudia tena kosa la kukaa bila rais wakati wanzibari watakuwa na marais 2 wa Zanzibar na wa muungano.
 
naona mmeshaanza kutumika naona hiyo ni njia ya kumpigia debe mtoto wa mwinyi msimchafue huyo kijana
 
Ahahahaaa mkuu unaogopa kukunwa na Profesa
Hawa mapropesa hawaaminiki mkuu.

Tafuta uzi kuhusu kubomolewa jengo la Tanesco uone maoni mbadala ya wana JF ambayo ni muhimu sana lakini hawa mapropesa hawayaoni na hawatayaona kamwe jinsi tabia zao zilivyo.
 
Mtoto wa Mwinyi nazani ni the next president of Zanzibar...kwa huko bara nazani tutaendelea kupewa umakamu tu kama kawaida...maana nazani ndo nafasi waliotuchagulia wana Chimwaga.
Hata hili la makamu itabidi lije liangaliwe. Tunahitaji rais na makamu wake wawe wamejitosheleza kiuwezo. Kama wote watakuwa wazenji au wachaga, fine.

Hili la mmoja kutoka bara mwingine atoke visiwani ni moja kati ya ushauri mbovu kutolewa na nyerere.
 
IMG_20171117_172226.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom