Avatar yangu ndio tatizo au??

Avatar yangu ndio tatizo au??

Salito ndio kwanza mpya humu hata mwezi bado unataka uwe na marafiki teleee....

mhh nimejoin tangu october mwaka jana...na nimekuwa senior memba,sijui wametumia kigezo gani kunipa huo usinia hata sielewi..
 
sema na2mia via mobile ningekua natumia desktop ningekugongea LIKE,Sijui kwanini walizitoa LIKES kwa mobile!!! ........ VIVA THE BLUES ARMY

Popobawa nitumie basi na request ya kuniomba urafiki ili nijisikie vizuri jamani angalau angalau maana dah...ndio nimeambiwa humu wanaombana urafiki kwa njia hiyo
 
Weka avatar ya CCM utakuwa rafiki yangu
OTIS

ah ayyaaaaaaaaa OTIS haunitakii mema nikiweka hiyo wana jf wataacha hata kunijibu hapa maana hawataki utani hata kidogo kwenye swala la maendeleo....
 
Tulia mkuu marafiki ni taratibu, Roma haikujengwa siku moja!!!!

Ungeambatanisha na request braza ningefurahi sana kwakweli ili tuweke tofali moja la msingi wa kuijenga roma
 
du!Salito kumbe unanizidi miaka kumi,aisee!
Kamooo!!!!

Tena hapo nimeona aibu kuiweka ya ukweli nimeona nipunguze kidogo maana sichelewi kujikuta me ndio mzee kuliko wote humu mhh...
 
Tena hapo nimeona aibu kuiweka ya ukweli nimeona nipunguze kidogo maana sichelewi kujikuta me ndio mzee kuliko wote humu mhh...

mmmmmhhhh unamzidi Babu DC kweli? na Husninyo?
 
mambo mazuri hayataki haraka ila jinsia yako ni muhimu kwetu
 
umeanza makeke sasa,subiri ma specialist wenyewe waliobobea katika gender realignment waje wakusikie!

ni ukweli ndugu jaribu kunisearch shemale kwenye net utaelewa vizuri..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom