Avatar inayokufurahisha zaidi..

Last emperor

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
10,351
9,846
Wakuu wangu nawasalimia,
Ni avatar ipi ya mwana JF inakufurahisha zaidi?Aidha unacheka,unatabasamu,unaipenda au inakufanya umtafakari huyu mwenye hiyo avatar?Mimi kuna avatar huwa nikiziangalia huwa ninabaki nacheka au ninawatafakari wenye avatar..

1) Fisadikuu
2) Chizi maarifa
3) Jingalao
4) Ibilisi
5) Ndyoko
Je wewe mwenzangu ni ipi inakufurahisha?
 
Duh nakupa tuzo kwa uzi huu
kale kajembe kako maridadi kabisa, KAZI yake ni kuongeza utanashati na sio cha kulimia.
Ni kama tai, haikusitiri ila inakuongezeA umaridadi.

Hata fimbo ya askari sio silaha ni kiashiria cha mamlaka na kuongeza unadhifu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom