Auza kiwanja ili afanye birthday ya mtoto wake

Auza kiwanja ili afanye birthday ya mtoto wake

Labda zawadi za birthday zitakua na thamani kuzidi kiwanja who knows?
 
Aisee mwanaume hakuna kuoa wanawake wenye akili kama hizi afu cha ajabu wamepanga kachumba kamoja.
- Je utamtambua vipi? kwamba huyu sio??
--Picha ili kukazia hoja--
1752225160878.jpeg

-- Chanzo cha picha--
JF member Nampenda bona kamoli katika Thread hii { UKIMWI: Hali na Tahadhari }
 
Akili ni nywele, kila mtu ana zake😃
 
Back
Top Bottom