Ana mapenz sana na mtoto wake, anafaa kuigwa.Hivi wadada izi akili mnazitoa wapi?? Unauza kiwanja ili ukafanye happy birthday ya mtoto ukweni kweli?
NI hivi huyu dada baada ya kuolewa huku dar, mwanaume aliemuoa alitoa mahari hio mahari alipewa yeye baada ya kuongea na dada yake wa mkoani akamshauri anunue kiwanja maana wanaume dar hawaeleweki alimsikiliza dada ake akafanikiwa kununua kiwanja kwa Tsh 800K.
Baada ya miaka mitatu kupita dada huyo akaja kuuza kiwanja ili apate pesa ya kumfanyia happy birthday mwanae haiingii akili unauza kiwanja ukafanye happy birthday ukweni hii ni akili?
Aisee mwanaume hakuna kuoa wanawake wenye akili kama hizi afu cha ajabu wamepanga kachumba kamoja.
😂😂😂😂😂
Shida sanaUzungu buana.
Chakekimfaacho Mtu .....
Kweli kabisa. Bora lingekuwa tukio halisi. Ila naona ni tungo simulizi.Story imekaa kimbea sana hii
Inshort Kila mtu afanye anacho jua uwezi ishi kisa misingi ya watu wenda wewe una stor yake moja uwez jua anavingapiHivi wadada izi akili mnazitoa wapi?? Unauza kiwanja ili ukafanye happy birthday ya mtoto ukweni kweli?
NI hivi huyu dada baada ya kuolewa huku dar, mwanaume aliemuoa alitoa mahari hio mahari alipewa yeye baada ya kuongea na dada yake wa mkoani akamshauri anunue kiwanja maana wanaume dar hawaeleweki alimsikiliza dada ake akafanikiwa kununua kiwanja kwa Tsh 800K.
Baada ya miaka mitatu kupita dada huyo akaja kuuza kiwanja ili apate pesa ya kumfanyia happy birthday mwanae haiingii akili unauza kiwanja ukafanye happy birthday ukweni hii ni akili?
Aisee mwanaume hakuna kuoa wanawake wenye akili kama hizi afu cha ajabu wamepanga kachumba kamoja.
😂😂😂😂😂
Huyo sifuri,sawa na uza nyumba Jenga heshima bar!Hivi wadada izi akili mnazitoa wapi?? Unauza kiwanja ili ukafanye happy birthday ya mtoto ukweni kweli?
NI hivi huyu dada baada ya kuolewa huku dar, mwanaume aliemuoa alitoa mahari hio mahari alipewa yeye baada ya kuongea na dada yake wa mkoani akamshauri anunue kiwanja maana wanaume dar hawaeleweki alimsikiliza dada ake akafanikiwa kununua kiwanja kwa Tsh 800K.
Baada ya miaka mitatu kupita dada huyo akaja kuuza kiwanja ili apate pesa ya kumfanyia happy birthday mwanae haiingii akili unauza kiwanja ukafanye happy birthday ukweni hii ni akili?
Aisee mwanaume hakuna kuoa wanawake wenye akili kama hizi afu cha ajabu wamepanga kachumba kamoja.
😂😂😂😂😂
Unajitahidi Kufafanua Upuuzi...Iko ivi dar kuna mambo wanayaita shughuli yaan shughuli iwe harusi iwe birthday iwe sijui kitchen party iwe kumtoa mtoto 40 iwe kumtoa mtoto jando hizo zote ni shughuli na watu wanafanya shughuli Ili kupata pesa zaid
Mfano Mimi nimefanya birthday nimegharamikia mambo yote mashoga zangu niliowaalika mnatakiwa kufika nakunipongeza sio Kwa elf mbili mbili ni pesa kuanzia laki na kuendelea Sasa wale mashoga wakitoa Kila mmoja laki tatu tatu ya kumtunza huyo mtoto birthday yake na wao wakiwa na shughuli yoyote Ile lazma ufike na utoe zaid ya Ile laki tatu mfumo upo Ivo
Lazima yawepo ya watu ili tujifunze!tujitahidi kujishughulisha na yale yanayotuhusu tu.
Sawa ila haikua na ulazima wa kujibu comment yangu kama ww sio uliyetoa madaUnajitahidi Kufafanua Upuuzi...