Inaonekana msimuliaji ni aliyetoa hiyo mahali, kwa sasa ndoa ni kama haipo ama kama ipo ina hali mbaya!Story imekaa kimbea sana hii
Na chapati kwa baridi hili
Ikiwa haji kwako, wewe unahofia nini?Siku akifurushwa na mizigo yake sijui anakimbilia kwa nani
Her own property. Mwacheni.Kwenye kufikiri vzr hawez kuuza kiwanja ukafanye happy birthday
Halafu sio akafanye happy birthday ni " birthday"😅😅😅😅Kwani pesa za kununua kiwanja ulitoa wewe?? Mwache na maisha yake na mwanae kupanga ni kuchagua. Hata siku akifurumushwa hatakuja kwako.
Halafu sio akafanye happy birthday ni " birthday"
Kakinunue ujenge.Hivi wadada izi akili mnazitoa wapi?? Unauza kiwanja ili ukafanye happy birthday ya mtoto ukweni kweli?
NI hivi huyu dada baada ya kuolewa huku dar, mwanaume aliemuoa alitoa mahari hio mahari alipewa yeye baada ya kuongea na dada yake wa mkoani akamshauri anunue kiwanja maana wanaume dar hawaeleweki alimsikiliza dada ake akafanikiwa kununua kiwanja kwa Tsh 800K.
Baada ya miaka mitatu kupita dada huyo akaja kuuza kiwanja ili apate pesa ya kumfanyia happy birthday mwanae haiingii akili unauza kiwanja ukafanye happy birthday ukweni hii ni akili?
Aisee mwanaume hakuna kuoa wanawake wenye akili kama hizi afu cha ajabu wamepanga kachumba kamoja.
😂😂😂😂😂
Huwa nakasirikia sana unakuta mtu mzima anakwambia kesho ni happy birthday yangu 🤣🤣🤣🤣🤣Halafu sio akafanye happy birthday ni " birthday"😅😅😅😅
Kumbe wewe ni ngese unatafuta mabwana. Mimi binafsi si deal na makuchu bwashee, jaribu kwinginewadada limewaingia kweli kweli badilini akili zenu usifikirie leo tu fikiria na kesho watoto wanakua wao
Hahahhaha ili mradi unaelewa tu😁😁Huwa nakasirikia sana unakuta mtu mzima anakwambia kesho ni happy birthday yangu 🤣🤣🤣🤣🤣