Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,957
Hivi wadada izi akili mnazitoa wapi?? Unauza kiwanja ili ukafanye happy birthday ya mtoto ukweni kweli?
NI hivi huyu dada baada ya kuolewa huku dar, mwanaume aliemuoa alitoa mahari hio mahari alipewa yeye baada ya kuongea na dada yake wa mkoani akamshauri anunue kiwanja maana wanaume dar hawaeleweki alimsikiliza dada ake akafanikiwa kununua kiwanja kwa Tsh 800K.
Baada ya miaka mitatu kupita dada huyo akaja kuuza kiwanja ili apate pesa ya kumfanyia happy birthday mwanae haiingii akili unauza kiwanja ukafanye happy birthday ukweni hii ni akili?
Aisee mwanaume hakuna kuoa wanawake wenye akili kama hizi afu cha ajabu wamepanga kachumba kamoja.
😂😂😂😂😂