Nimekuwa nikifirikia umuhimu wa African Union mpaka leo hii sioni. Tunisia pametokeo mapinduzi sijaona AU wakifanya kazi yeyote wala kutoa statements zozote. Kumetokea mapinduzi huko Misri na jinsi ilivyotangazwa duniani kote, AU walikaa kimya wala bila kufanya kikao chochote kujadili au kutoa statements kumlazimisha Mubarak aondoke. Yametokea mapinduzi Libya na yanaonekana kuingiliwa na Umoja wa Mataifa bila kikao wala statements kutoka AU.
Maswali kwa Wafrika wote duniani ni haya, kwanini tunakuwa na Umoja au Instutution kama AU wakati haina credibility wala kazi yeyote ile Africa? Kwanini viongozi wa Africa wanaendelea kukutana kujadili Ivory Coast wakati mataifa mengi duniani wanaona diplomacy imeshindikana Ivory Coast? au ni kujionyesha tu kwa Kikwete na Zuma? Wengi tunakumbuka swala la Zimbabwe lilipo kwenda AU na wakashindwa kutoa uamuzi, kitu gani AU inaweza?
Ku-summarize uwepo wa AU ni hivi, hawa viongozi wa Africa wapo very insecure na wanajua vitu na vitendo vya Gbagbo na Mugabe ndio tactics za viongozi karibu wote wa Africa na wanaogopa kuji-contradict na ku-face UN Military Resolution ya 1962.
ODS HOME PAGE