MRADI WA KIKWETE NA GENGE LAKE
mzee zile za leo ni mbwembwe tu mwendokasi ina kampuni ya (UDART ) mtoa huduma za mabasi ambayo ni mali ya serikali kwa 85% na ipo chini ya msajili wa hazina ambae ndio anasajili hisa za serikali na 15% ni simon group hivyo serikali kwenye mabasi ndio ina hisa nyingi kabisa hivyo mabasi kama hayatoshi ni tatizo la serikali maana wanaosimamia kampuni ya UDART wametoka serikalini kwa sababu hisa za serikali ndio nyingi ndio maana katumbua pia kuna msimamizi ambae ni( DART ) wakala wa serikali wa mabasi yaendayo haraka yupo chini ya tamisemi kazi yake ni kuhakikisha mtoa huduma anatoa huduma zilizo bora na pia kuhakikisha phase zote za barabara za mwendokasi zinajengwa na kusimamia miundombinu ya BRT kama barabara , majengo na nkWaziri Mkuu, Majaliwa kamsimamisha Mkurugenzi wa fedha. tetesi ni ile ni mali ya watu binafsi sasa Majaliwa anaingiliaje hapo? Nakumbuka kulikuwa na utata wa nani anamiliki mara zabuni haikufuata taratibu etc.
JE NI MALI YA NANI? KAMA UBIA UKOJE? NANI WENYE SHARES?
Kama ni Mradi wa Kikwete na Genge lake, hizi barabara za Mwendokasi zinazoendelea kujengwa hv sasa bado zinamilikiwa na Kikwete na genge lake pia?MRADI WA KIKWETE NA GENGE LAKE
Barabara zinamilikiwa na serikaliKama ni Mradi wa Kikwete na Genge lake, hizi barabara za Mwendokasi zinazoendelea kujengwa hv sasa bado zinamilikiwa na Kikwete na genge lake pia?
Kama nakuelewa vile. So inamana finance manager amesimamishwa kwa kutokudhibi upotevu makusanyo ambayo pengine ndiyo yangeongeza mabasi barabaranimzee zile za leo ni mbwembwe tu mwendokasi ina kampuni ya (UDART ) mtoa huduma za mabasi ambayo ni mali ya serikali kwa 85% na ipo chini ya msajili wa hazina ambae ndio anasajili hisa za serikali na 15% ni simon group hivyo serikali kwenye mabasi ndio ina hisa nyingi kabisa hivyo mabasi kama hayatoshi ni tatizo la serikali maana wanaosimamia kampuni ya UDART wametoka serikalini kwa sababu hisa za serikali ndio nyingi ndio maana katumbua pia kuna msimamizi ambae ni( DART ) wakala wa serikali wa mabasi yaendayo haraka yupo chini ya tamisemi kazi yake ni kuhakikisha mtoa huduma anatoa huduma zilizo bora na pia kuhakikisha phase zote za barabara za mwendokasi zinajengwa na kusimamia miundombinu ya BRT kama barabara , majengo na nk
swale je kama mabasi ya mwendokasi yanamilikia na serikali kwa asilimia 85 je unamlaumu nani mabasi hayatoshi?
kwa kua UDART ndio wanakusanya fedha na mabasi hayatoshi kwann waeshindwa kununua mengine pia mapato ya serikali yanapotea maana mashine za kuscan hazifanyi kazi tiket wanachana kwa mkono ndio maana katumbuliwaKama nakuelewa vile. So inamana finance manager amesimamishwa kwa kutokudhibi upotevu makusanyo ambayo pengine ndiyo yangeongeza mabasi barabarani
kuna mambo kwenye Mwendokasi hayajakaa sawa mabasi wamuachie mwekezaji binafsi wabaki na DART kwa ajili ya usimamizi tu wa mtoa huduma pia DART anaweza akakusanya pia mapato kama serikali inaona kampuni binafsi ikikusanya wataibaHakuna kitu kigumu kwa serikali yetu kama usimamizi/uendeshaji
Nategemea haya haya pindi utakapokamilika mradi wa SGR
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
asante sana mwanga unakuja. Simon anamiliki ni hapo? Ana umuhimu gani kubaki na 15% ya mabasi? why not all owned by governmentmzee zile za leo ni mbwembwe tu mwendokasi ina kampuni ya (UDART ) mtoa huduma za mabasi ambayo ni mali ya serikali kwa 85% na ipo chini ya msajili wa hazina ambae ndio anasajili hisa za serikali na 15% ni simon group hivyo serikali kwenye mabasi ndio ina hisa nyingi kabisa hivyo mabasi kama hayatoshi ni tatizo la serikali maana wanaosimamia kampuni ya UDART wametoka serikalini kwa sababu hisa za serikali ndio nyingi ndio maana katumbua pia kuna msimamizi ambae ni( DART ) wakala wa serikali wa mabasi yaendayo haraka yupo chini ya tamisemi kazi yake ni kuhakikisha mtoa huduma anatoa huduma zilizo bora na pia kuhakikisha phase zote za barabara za mwendokasi zinajengwa na kusimamia miundombinu ya BRT kama barabara , majengo na nk
swale je kama mabasi ya mwendokasi yanamilikia na serikali kwa asilimia 85 je unamlaumu nani mabasi hayatoshi?
Hakuna kitu kigumu kwa serikali yetu kama usimamizi/uendeshaji
Nategemea haya haya pindi utakapokamilika mradi wa SGR
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwani mkuu yale mabasi ya mwendokasi kule bandari nani anatakiwa kuyalipia kodi iliyaachiliwe maana ni mwaka sasa yanaozea pale.kuna mambo kwenye Mwendokasi hayajakaa sawa mabasi wamuachie mwekezaji binafsi wabaki na DART kwa ajili ya usimamizi tu wa mtoa huduma pia DART anaweza akakusanya pia mapato kama serikali inaona kampuni binafsi ikikusanya wataiba
sio huku DART serikali huku UDART kampuni ya serikali wote wapo mwendokasi mambo sio kabisa yaan serikali (tamisemi) humsimamie serikali (hazina ) mambo gani haya
Utakuta huyo kisena naye boshen tuKuna jamaa anaitwa Kisena