muhosni
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 1,108
- 152
- Thread starter
- #141
pamoja na yooote mrema ni mtu aliyetumwa kurise na kubreak hearts za watanzania katika upinzani... hii ilisaidia sana kuua morale ya particip[ation in politics na voting. zitto wanted to repeat the game but chadema under mbowe has been stronger! tunawashukuru chadema kwa kuzua trauma zisijirudie tena!!
Mkuu, unafanya kosa kubwa sana kumfananisha Zitto na Mrema. Mrema is patriotic and Zitto is an opportunistic and selfish. Fuatilia hii thread tangu mwanzo utaona tangible things ambavyo Mrema anakumbukwa kwamba alifanya. Can you list any for Zitto?
Pili Zitto yuko kwenye payroll ya mafisadi wakati mrema hayupo. Kumfagilia JK mwaka jana ilikuwa ni mkakati tu wa kurudi kwenye siasa, tusubiri tumuone atakavyofanya sasa