Augustine Mrema Atunukiwa PhD

chuo gani hicho. najua SA na USA sasa hivi hata vi-stationary/fotocopy bureau vinaprint Phd na kuwauzia watu hasa wanasiasa na viongozi wa dini ili kujifanya wanathaminiwa mchango wao kwa randi kati ya 1500 mpaka 3500.
 
Chuo Kikuu cha kimataifa cha Omega nchini Afrika Kusini kimemtunuku shahada ya heshima ya uzamivu, PhD, Mbunge wa Moshi Vijijini Augustine Mrema kutokana na mchango wake katika jamii aliyoongoza na anayoendelea kuiongoza.

Sherehe za kumtunuku Mrema shahada hiyo katika uongozi wa kisiasa zimefanyika jijini DSM, ambapo mwakilishi wa chuo hicho Profesa VN Sibiya ndiye aliyemtunuku. Sherehe hizo zilihudhuriwa pia na familia ya Dkt. Mrema na wageni kutoka sehemu mbali mbali.

TBC
 
Jamani hawa maDr feki wamezidi bongo. Tukumbuke huyu jamaa alipata bachelor kwa magumashi tu akajitangaza sasahivi PhD ni mizengwe tu hiyo.
hebu tutumie piocha yake alipokuwa anatunukiwa tuone ukweli wa jambo hili
 
Chuo Kikuu cha kimataifa cha Omega nchini Afrika Kusini kimemtunuku shahada ya heshima ya uzamivu, PhD, Mbunge wa Moshi Vijijini Augustine Mrema kutokana na mchango wake katika jamii aliyoongoza na anayoendelea kuiongoza.

Sherehe za kumtunuku Mrema shahada hiyo katika uongozi wa kisiasa zimefanyika jijini DSM, ambapo mwakilishi wa chuo hicho Profesa VN Sibiya ndiye aliyemtunuku. Sherehe hizo zilihudhuriwa pia na familia ya Dkt. Mrema na wageni kutoka sehemu mbali mbali.

TBC

Tunasubiri kuona huo uwezo wake (mwenyekiti wa kamati ya hesabu za serikali za mitaa) kama kweli atawashuhulikia wale wote watakao kuwa wameonekana wabadhirifu kwenye ripoti za ukaguzi wa hesabu za serikali za mitaa;
 
kusoma siyo lazima ukae darasani, na bado PHD kibao zinakuja. cha msingi ni cheti tu kitambulike.
 
Bora hata ya Mrema walau anastahili hiyo Honoris causa kwakuwa alishaifanyia kitu hii nchi,kuliko yule mwingine ....
 
Hii ni hatari kubwa sana kwa elimu!

<B>
More fake degrees?

There was an article in Monitor yesterday entitled "Monnakgosi becomes a Professor Of Divinity". This reported that:
"During a special ceremony at the church that he founded in the early 1990s, Omega Global University on Saturday conferred upon Dr David Monnakgosi a Professor of Divinity Degree for his lifelong service to God and the nation."
However there's a catch. Omega Global University doesn't actually exist. It's a fake university. As far as I can establish it operates from no more than a cellphone number. It used to have various web sites (including omegabibletheologicalcollege.com and omegaglobaluniversity.com) but those sites have both recently been suspended.

Both of the suspended sites were registered to:
"Vusumuzi Nehemiah Sibiya
co 29 Maud Ave
Pietermaritzburg, KZN 3201
South Africa"
This seems to be the guy who answers the cellphone number and who described himself as "Professor Sibiya". No surprise, when you do some research you quickly find that there is no such person as "Professor Sibiya".

I'm not the first to spot them, you can see a story about another "honorary degree award" here.
</B>
Mayor Mdaka´s honorary "doctorate" under scrutiny

Dr BL Sibiya, who was conferring the "doctorates", poses for a photo with the executive mayor of Vhembe District Municipality, Dr Falaza Mdaka (middle), and his personal assistant, Mr Mabasa (right).

The mayor of the Vhembe District Municipality, Cllr Falaza Mdaka, was recently awarded an honorary doctor's degree by the Omega Global University, but many people have asked the question whether it is worth the paper it's written on.

The Witbank-based "university" awarded the honorary degree to Cllr Mdaka for "his perpetual effort to make the lives of other people better." The ceremony took place a fortnight ago and other people who have been honoured in this way include well-known choral master Shalati Joseph Khosa of Phalaborwa, Tinyiko Elphas Khosa, who started New Era College years ago, and Gabriel Ngomane, a businessman from Mpumalanga.

The term "honorary doctorate" normally refers to a very prestigious title conferred upon an outstanding individual by an institute of higher education. In South Africa, this is normally awarded by one of the registered universities. In the University of Johannesburg's Charter for Honorary Degrees, an honorary doctoral degree is described as:

"&#8230; an academic award that entitles the honoured person to bear the doctoral title honoris causa in recognition of his/her outstanding academic contributions that do not however meet the requirements set in the University Rules or the Act for the conferment of a doctoral degree as a result of the successful completion of a recognized programme of study of the University."

In certain cases, doctoral titles are also conferred upon people based on their contributions to the community. Again in the case of the University of Johannesburg, it is stated that such an award "&#8230; is based on relevant outstanding intellectual contributions and/or relevant outstanding contributions to public life."

The universities in South Africa are also very conservative in as far as the awarding of such degrees is concerned. Recipients of such degrees include former president Nelson Mandela and Archbishop Desmond Tutu. The charter also stresses this fact by stating: "A conservative awards policy is followed, in order to emphasize the extraordinary and inherent value of the awards."

The Omega Global University is not listed as a registered South African University. On their website, this institution invites people to apply for an honorary doctor's degree. It states that "Omega Global University offers honorary Doctorate degrees to deserving candidates based on their life experience." To qualify for such a degree, you also only need "at least 5 years of work or life experience relevant to (the) desired major." Interested parties can also apply online for such a degree.
 
Itabidi tufungue kabati la kurekodi PhD za kulenga kwa manati,au za kuangua kama apples. Hongera dr.mrema,ungana na dr dr dr kikwete,dr hosea Mukae pamoja mpongezane maana Thesis zenu za PhD zinafanana. Hongera.
 
Chuo Kikuu cha kimataifa cha Omega nchini Afrika Kusini kimemtunuku shahada ya heshima ya uzamivu, PhD, Mbunge wa Moshi Vijijini Augustine Mrema kutokana na mchango wake katika jamii aliyoongoza na anayoendelea kuiongoza.

Sherehe za kumtunuku Mrema shahada hiyo katika uongozi wa kisiasa zimefanyika jijini DSM, ambapo mwakilishi wa chuo hicho Profesa VN Sibiya ndiye aliyemtunuku. Sherehe hizo zilihudhuriwa pia na familia ya Dkt. Mrema na wageni kutoka sehemu mbali mbali.

TBC

Tujiandae sherehe kama hizo kwa Bw. Tambwe Hiza manake naye ametoa mchango mkubwa sana kwa nchi hii na anaendelea kufanya hivyo.
 
mhhh lakini wanasema mwenye kupewa shahada ya heshima hastahili kuitwa kwa cheo cha dr manake kasomea wapi??/Hivi mkwere nae si alipewa phd na chuo feki cha marekani? hivi ana hata masters najua hana.Magufuli yes kasomea phd.Mrema hakuna kitu hapo degree yenyewe ya GPA ya 2.6 sasa phd wapi na wapi tena imetolewa na chuo feki vile vile mhhh Tanzania kweli tunalishwa vyeo vya heshima huku wakituibia madini yetu.tumelala sana.mhh Tanzania sijui tuanelekewa wapi.
 
Well Well Well:-

The Omega Global University is not listed as a registered South African University. On their website, this institution invites people to apply for an honorary doctor's degree. It states that "Omega Global University offers honorary Doctorate degrees to deserving candidates based on their life experience." To qualify for such a degree, you also only need "at least 5 years of work or life experience relevant to (the) desired major." Interested parties can also apply online for such a degree.

Dr. Dr. Dr. Kyabushaija (MBE)
 
Chuo Kikuu cha kimataifa cha Omega nchini Afrika Kusini kimemtunuku shahada ya heshima ya uzamivu, PhD, Mbunge wa Moshi Vijijini Augustine Mrema kutokana na mchango wake katika jamii aliyoongoza na anayoendelea kuiongoza.

Sherehe za kumtunuku Mrema shahada hiyo katika uongozi wa kisiasa zimefanyika jijini DSM, ambapo mwakilishi wa chuo hicho Profesa VN Sibiya ndiye aliyemtunuku. Sherehe hizo zilihudhuriwa pia na familia ya Dkt. Mrema na wageni kutoka sehemu mbali mbali.

TBC

Naomba muongozo, Hiko Chuo Kipo wapi South Africa? mimi nimekaa South Africa for 13 Yrs na kusoma huko sijawahikukisikia Hiko chuo Naomba muongoz wa chuo kipo wa? Sio mnadanganywa na kuanza kushabikia kitu kisichokuwapo. Nimejaribu ku-google lakini sijakipata
 
I don't know this university - Minister

LOBAMBA- The Minister of Education has claimed ignorance of the university that conferred honourary doctorates to some prominent figures in the political and business landscape over the weekend. The institution in question is known as Omega Global University.

Minister Wilson Ntshangase said he had never, in the least, been in contact with the university. He had been asked by Senator Themba Msibi on what an individual had to do in order to receive the honourary certificates. Msibi was quick to point that he was not against this but wanted clarity from the minister.

"Questions have been raised about the university. Could the minister explain if the university is recognised in Swaziland? Couldn't our own university do the same?" asked Msibi.

Ntshangase responded by saying that he also had questions about the university. "I do not know this university. It was the first time I have heard of it," he said. He added "procedurally they should have informed me of their plans. I cannot therefore jump into matters I do not know lest it is said I am interfering," added the minister.

Senator Moi-Moi Masilela called the minister to order and suggested that he investigate the matter further. "The minister should have said he will look into the matter and bring back a full report later," said Masilela. Senate President Chief Gelane Zwane said the issue was of national interest. "We need to verify their status and find out if they are genuine," said Zwane. Some of the people who received the honours included Senator Robert Zwane and busines-swoman Sylvia Mthethwa.

...you do not need to go to class-university

MBABANE - According to their website Omega Global University offers honourary doctorate degrees to candidates based on their life experience. It states that if you qualify after going through the eligibility requirements, you can apply through their office contacts Eligibility Requirements for the Doctorate Degree Programme.

It states the university degree programmes allow professionals and working adults to get Doctorate degrees on the basis of life experience or by submitting a doctoral thesis. It states that you can receive this accredited degree without attending classes or taking admissions anywhere.

"Candidates seeking admission in our Doctorate degree programme are required to have at least 5 years of work or life experience relevant to their desired major. For those candidates who do not have enough experience, Omega Global University provides the flexibility to submit a doctoral thesis relevant to the major they are interested in," reads the admission requirements.

Comments

There is nothing as a free doctoral degree people! If you want a doctorate - let alone a degree just go to school to earn a credible 1st-degree, 2nd-degree, and then you doctorate, period. Throwing around doctoral degrees like manna beats everyone's imagination....!

http://www.times.co.sz/index.php?news=17967
 
Kuna miaka ile ya nyuma Idd Amin wa Uganda alikuwa Dr. Idd Amin Dadah akidai yeye ni dockta wa jiografia na ni CBE (conqueror of the British Empire). Rais Bokassa alijiita emperor na alituia pesa nyingi kufanya hiyo sherehe. Mwili mzima ulipambwa kwa nishani nyingi kuliko watu wote duniani.

Hapa kwetu miaka ya 70 na 80 kulizuka mtindo wa wagnaga wa kienyeji kujiita maprofesa. Nadhani mnawakumbuka Profesa Vulata, Profesa Miti Mirefu n.k. Nadhani serikali iliwapiga marufuku.

Sasa limeingia wimbi siyo la waganga wa kienyeji, wala wakulima au wachungaji kujipandikiza vyeo vya udaktari. Hawa ni wanasiasa. Wao wameona itakuwa vizuri nao wawe na udaktari. Ilianza pale wasomi wa vyuo vikuu, wengi wakiwa na PhD walipoanza kwenda kwenye siasa. Wanasiasa wakongwe wakogopa sana. Ndipo watu kama Mzee Lawrence Gama akapata naye PhD ya haraka haraka. Vile vile kuna wengine kama akina D. Mzindakaya, n.k.

Ukweli ni kuwa kuna digrii za udaktari ambazo zinatolewa kwa heshima kwenye vyuo vikuu mbalimbali hapa duniani. Lakini kawaida huombi kupewa. Chuo kinakufikiria. Hicho chuo cha Omega unpeleka "maombi ya kupewa" siyo "kusomea" hiyo digrii.

Haya yanyotendeka Tanzania ni mwendelezo wa jinsi nchi yetu invyochukulia kiwepesi swala la elimu. Hii inajionyesha dhahili hata kwenye majadiliano yanayotokea kwenye JF. Wengine wamefikia hata kukata tamaa kuwa hamna sababu tena ya kusoma.

Dr. A.L. Mrema
Dr. J.K. Kikwete
Wasija tu wakaomba kazi ya kufundisha university wakidhania wako ngazi ya Dr. wa ukweli.
 
Waungwana kila niangaliapo vipindi vya bunge.....mheshimiwa spika humwita Augustin Lyatonga Mrema kwa jina la mheshimiwa Doctor Mrema....!!!!wakubwa nauliza Mh.Mrema amekuwa DR siku hizi..???Je ni DR ya Phd au kama ile ya muungwana..????maana wabunge wa CCM na CCM-B wanapenda sana kujiita Madoctor.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom