Dr Kikwete
Dr Lyatonga Mrema
Hii kali kabisa.
Kwahiyo atakua anaitwa Dakta?!! hii nchi ina ujinga mwingi sana
Naona mzee wa Kiraracha ametunukiwa PhD ya heshima, kwa kile kilichoelezwa kutambua mchango wake katika jamii! Ngoja niongeze uzalishaji wa mahindi shambani mwangu niokoe watanzania wasife njaa, huenda nami nitatambuliwa!
Sasa ataitwa Dr Mrema duh kweli siasa ina fursa nyingi kiuchumi , kijamii na sasa kielimu . Bado kidogo na makamba atatunukiwa atatunukiwa
yaani hii inasikitisha sana sana..inaumiza jamani yaani hawa ma dk wa mliman na kwingineko sijui wanajisikiaje..mbaya zaidi asilimia80 ya ma prf,dk wamechelewa kuzaa sababu ya elimu na sasa wana watoto wao kama wajukuu wakitembea nao..iweje mtu kama mrema kashazalisha watu ovyo mpaka wengine wakaamua kujifia kuondoa kashfa leo hii wanatunukiwa PHD..Anyway sio njema jamani na jua ahili mtaliangalia....nyie mnaotoa nawaeleza wazi kama amuamini nendeni mlimani pale kwenye klabu yao uone wanavyohangaika na mabinti wadogo sio prof wala djk..si kwamba wanapenda muda wa starehe waliotakiwa waliishia kula vumbi la vitabu leo hii wana dk,prof zao waanarudisha maisha nyuma huku ayarudishiki..mwisho wake aibu..msifanye hivi tena jamani..bora mnipe mimi mtoto wa MKULIMA