Augustine Mrema Atunukiwa PhD

lyatonga sifa waliyoitaja kuwavutia kabla hawajamtunuku huo Udr , ni kuwa aliwahi kupewa cheo cha unaibu waziri mkuu cheo ambacho hakipo kisheria ila kwa uchapakazi wake alikikalia na haitegemewi mtu mwingine kupewa
 
Kwa uchambuzi wangu na kwa kuzingatia itifaki na alichokamilisha Tanzania, ningemuita,

Hon., Dr. Hc. (Politica Damnum), Mrema, L.
 
Zamani niliamini ni wahaya pekee ndio wapenda sifa.kumbe hata wakwere,wachaga...
Teh teh teh.
Hongera dakta lyatonga
 
Dr Kikwete

Dr Lyatonga Mrema

Hii kali kabisa.

Rev,
Jikumbushe...mbio za Dr.Mrema mpk alipofikia...
Aliwageuka wapinzani na kusema kuwa yeye ni usalama wa taifa (hapo akiongea na media)
Akamfagilia JK kabla ya uchaguzi,
Akaapa kuwa kumuheshimu mkulu wa nchi,
Akadai kupambana na waovu wote wanaomdhihaki mkulu wa nchi,
Akawalaani wote wenye kumkejeli mkulu wa nchi,
HAISTAAJABISHI ila ni maajabu ya Tanzania hayo.
 
sasa kipi bora mrema apewe au jakaya kikwete'? Kati ya hawa watu wawili nani zaidi kwa upande wangu namuona mrema anastahili sana mara mia kuliko jakaya,
 
Nasikia huko mjengoni amepewa Rungu la kuiongoza Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa, bila shaka atazionesha halmashauri PhD yake ni ya uzamivu wa masuala ya wananji.Mzee wa kiraracha juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu nji hii hii bana phD nje nje!
 
ahahahahahahaaaa!

Muhosni na Waberoya inabidi mtoe ufafanuzi kidogo.
Napata wasiwasi thread ya jana ilikuwa inatuandaa na sherehe za udaktari leo!!!

Otherwise inamstahili kwa aliyofanya kwa Tanzania akiwa Home Office/PM deputy.
Naweza kusema anastahili mara 100 kuliko Dr, Dr, Dr, Dr JK.

Hongera Dr. Agustino Mrema
 
Ni chuo gani wamepatia? Isije ikawa vyuo ambavyo Msemakweli Kainerugaba ameshavitoa kwenye orodha ya vyuo vinavyo tambuliwa na TCU
 
Ndg. Masanilo, kwa kufuata itifaki husika na alichokikamilisha (Acquired Achievements), jina lake linatakiwa kuandikwa:-

Hon., Dr. H.C. (politica damnum), Mrema, L.
 
acheni fitna........PHD YA HESHIMA INATUMIKA....IF IT IS TRUE HONGERA DR. MREMA
 
Nazani katika watu wenye bahati kwenye bunge hili yeye ni wa kwanza,maana naamini kupata nafasi ya ubunge kwanza kwake ni jambo la kushukuru sana-pili kutunikiwa u-dokta pia naamin hajategemea-japo anadeserve kupewa
 
Ukilinganisha na Mkwere nadhani mrema ana deserve kwa sababu cv yake ni kubwa kuliko ya mkwere.
 
acheni Dr Lyatonga angalau ametunukiwa udr live mnakumbuka ile digrii yake ya marekani alijaribu kuitangaza akavaa joho nyumbani kwake akaita waandishi akajieleza kuwa ametunukiwa degree wachora katuni wakamtania sana bora hili limetimia kabla hajafa
 
Mi hii digirii moja inanitosha kama ni ivo. Nimepata hasira, sitaki tena shule!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom