Sio wote. ..Ila Kina Smith wameonyesha kuwekeza sana kwenye furaha na upendo kwa wale watoto ...hata yule wa kwanza huwezi jua si Wa Jada kwa wanavyojiweka.Wazungu wanajaligi watoto kweli?
Yeah! Si unamuona alivyo laini afu ile post imekaa kirafiki zaidiKwamba kijana chakla au vipi? Maana wazungu umri sio tatizo LA watu kunyanduana
unapishana na kijana around 28.,30 lakin kawa kma bibi yanguLife style zetu ni tatizo
Ningependa kumjua!Mamaake Jada unamjua?
Itakua huyu ndo anamrudisha mwanamama kwenye ujana. Hiyo kapsheni Ina chembembe nyingi Sana za mahaba
Chek huyuView attachment 872288
Mama ake Jada huyo hapo... Utafikiri mapacha huwa hakui kabisa!
@mzigua90
Huyo hapo juu mkuu...huwezi dhania kama ni mamaakeNingependa kumjua!
Nilitaka tu uone jinsi alivyo hazeekagi!..that's allAmefanya nini tena?!
Nilitaka tu uone jinsi alivyo hazeekagi!..that's all
Noma sana....hiyo picha ya juzi katiAcha tu. Uzuri wa dark complexion.
Wanajificha sana
Noma sana....hiyo picha ya juzi kati
Mama Jada ana almost 67 or 8 lkn mcheki afuu ana kiserengeti boy na anapiga gym ya hatare