August Alsina na Jada Pinket Kunani?

August Alsina na Jada Pinket Kunani?

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,401
Reaction score
88,857
Hiyo caption kijana kaiandika kwa hisia sana. Kuna kitu kinaendelea kati ya Hawa wawili ama ndo Besties kama alivyoandika hapo kwa herufi kubwa?
Last time I checked Jada na Willy walikua na Open Relationship.
Cc Nalendwa
IMG-20180919-WA0053.jpg
 
Jada si atakuwa kikongwe sasa hivi? Maana at the time tunatembea kilometa 20 kwenda kwa mhindi kuangalia "Video" ya Set it off, I was around my mid 10s, now am crossing my babas age to Babu,na bado yupo!! Huyu ni bibi aisee!
 
Mambo ya fedha angekuwa huku kwetu Kwamtogole angekuwa mmoja wa wazee wa mtaa
 
Yaani uko kama mie Mzigua. Hawa wawili huwa nashindwa kuwaelewa kwa kweli.
Halafu juzi kati hapa walisema wameanza kuitana 'Partners in Life', and don't refer themselves as 'Married'

Halafu inakuja Birthday wish kama hii..
 
Mamaake Jada unamjua?
 
Jada si atakuwa kikongwe sasa hivi? Maana at the time tunatembea kilometa 20 kwenda kwa mhindi kuangalia "Video" ya Set it off, I was around my mid 10s, now am crossing my babas age to Babu,na bado yupo!! Huyu ni bibi aisee!
Wazungu hawanaga za kuangalia mileage mkuu
 
Yaani uko kama mie Mzigua. Hawa wawili huwa nashindwa kuwaelewa kwa kweli.
Halafu juzi kati hapa walisema wameanza kuitana 'Partners in Life', and don't refer themselves as 'Married'

Halafu inakuja Birthday wish kama hii..
Itakua huyu ndo anamrudisha mwanamama kwenye ujana. Hiyo kapsheni Ina chembembe nyingi Sana za mahaba
 
Back
Top Bottom