Elivate
Member
- Mar 18, 2021
- 84
- 180
Anza na kuangalia mileage na mahala gari ilipokua yani mazingira ya location yake ili ujue gari ilikua inatumika katika mazingira gani. Maana mazingira pia huchangia kwny kuchosha baadhi ya component za engine kama gari imetembea mileage kubwa kwny lets say maeneo yenye baridi kwa kipindi kirefu. Lakini overall Audi A4 za 2010 (zenye facelift) kwenda juu ndo nzuri zaidi japo bei ni kipengele