Auawa kwa kumkufuru mtume Muhammad S.A.W

Africa hatujawahi kujielewa hata siku moja. Dini ya kiislam ukiisoma vizuri hakuna mahali inakwambia umuuwe mwenzako au umdhuru kwa njia yoyote ile eti amekufuru au ameenda kinyume na maamrisho ya Allah. Unatakiwa kumnasihi,kumpa mawaidha na kumuelekeza ili umjenge kiimani aone kwa kuna Mungu aliemuumba. Matatizo ya kuuana Africa sio kwenye dini tu ni mambo mengi sana mfano makabila,siasa,mali na mambo mengne.
Huhifahamu Dini ya Kiislamu. Huifahamu Quran. Wasioamini wameamriwa kukatwa kichwa popote walipo.
 
Africa hatujawahi kujielewa hata siku moja. Dini ya kiislam ukiisoma vizuri hakuna mahali inakwambia umuuwe mwenzako au umdhuru kwa njia yoyote ile eti amekufuru au ameenda kinyume na maamrisho ya Allah. Unatakiwa kumnasihi,kumpa mawaidha na kumuelekeza ili umjenge kiimani aone kwa kuna Mungu aliemuumba. Matatizo ya kuuana Africa sio kwenye dini tu ni mambo mengi sana mfano makabila,siasa,mali na mambo mengne.

Kuhusu kumuudhi au kumkufuru Mtume

Al-Ahzab 33:57
“Hakika wale wanaomuudhi Mwenyezi Mungu na Mtume wake, Mwenyezi Mungu amewalaani katika dunia na Akhera, na amewaandalia adhabu ya kufedhehesha.”

Al-Fath 48:13
“Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu na Mtume wake, basi hakika tumewaandalia makafiri Moto wa Jahannam.”

At-Tawbah 9:12–14

“Na wakivunja viapo vyao baada ya ahadi yao, na wakaudhi dini yenu, basi piganeni na viongozi wa ukafiri – hakika hao hawana viapo – huenda wakaacha. Je, hamtapigana na watu walio vunja viapo vyao, na wakataka kumfukuza Mtume, nao ndio waliokuanzeni kupigana? Mnawaogopa wao? Basi Mwenyezi Mungu ndiye anayestahiki kuogopwa zaidi kama mmekuwa Waumini. Basi piganeni nao, Mwenyezi Mungu atawatesa kwa mikono yenu na atawafedhehesha, na atakusaidieni kushinda juu yao, na ataponya vifua vya watu waumini.”
 
Nguzo za uislamu ni 3
1)chuki
2)upumbavu
3)unafiki
Upumbavu Wakristo no 1 imeshinda njaaa pale kilifi Kenya imekufa kibao zaid ya 300 eti yakumuone Yesuu mbaya Zaid mchungaji mwenyewe kawashindisha !!

yeye msosi alikuwa anakula vizuri 😰😰😰

pale Uganda ivyo ivyo makristo yamechomwa MOTO mia700 na mchungaji wao Joseph kibwetele kayafungia ndani kayamwagia petrol yafe yakamuone Yesu!!!😭😭😭

yeye yupo hadi leo anapumua mwenyewe kwenda kumuona Yesu hataki!!!

Tuwe wakweli je huu sio Upumbavu zaid wa kidini???

Watu weusi tunakwama kila sehemu Sababu ya chuki ujinga wetu unauziwa mchanga maji ndiomana wazungu wanamashaka nasisi weusi pengine kiafya ya akili tupo tofauti nawao..

Kama ni Upumbavu Wakristo wamedhidi kuliko Waislam.. tukiacha Propaganda tuwe wakweli..
 
Mwanamke mmoja ameuawa kwa kuchomwa moto na kundi la watu katika jimbo la Niger Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutuhumiwa kumkufuru Mtume Muhammad (S.A.W).

Polisi walilaani mauaji ya mwanamke huyo aliyetambuliwa katika vyombo vya habari vya ndani kama mchuuzi wa chakula anayeitwa Amaye .

Polisi wamesema kuwa uchunguzi unaendelea ili kuwakamata na kuwafungulia mashtaka wahusika.

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International lilisema kuwa kufuru mara nyingi hutumiwa kutatua matokeo ya kibinafsi kaskazini mwa Nigeria.

Mnamo 2022, mwanafunzi Deborah Samuel alipigwa na kuchomwa moto akiwa hai katika jimbo la Sokoto baada ya kushtakiwa kwa kutoa maoni ya kufuru.
View attachment 3461637
Mambo ya imani ni hisia za watu hivyo usicheze na hisia za watu.
 
Tofaut Waislam hawapendi Dini yao kuchezewa na yoyote hata Muislamu mwenzao watapitanae fasta. Tofaut na Wakristo ipo hapo.
 
Mwanamke mmoja ameuawa kwa kuchomwa moto na kundi la watu katika jimbo la Niger Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutuhumiwa kumkufuru Mtume Muhammad (S.A.W).

Polisi walilaani mauaji ya mwanamke huyo aliyetambuliwa katika vyombo vya habari vya ndani kama mchuuzi wa chakula anayeitwa Amaye .

Polisi wamesema kuwa uchunguzi unaendelea ili kuwakamata na kuwafungulia mashtaka wahusika.

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International lilisema kuwa kufuru mara nyingi hutumiwa kutatua matokeo ya kibinafsi kaskazini mwa Nigeria.

Mnamo 2022, mwanafunzi Deborah Samuel alipigwa na kuchomwa moto akiwa hai katika jimbo la Sokoto baada ya kushtakiwa kwa kutoa maoni ya kufuru.
View attachment 3461637
Ht RC na ile novena yao ni uwekezaji kwa wajinga, bila ujinga wa watanzania RC wangeisumbua serikali? Nenda kule ukristo ulikoanzia, makanisa yamefungwa
 
Dini ya kijinga kabisa
 
Africa hatujawahi kujielewa hata siku moja. Dini ya kiislam ukiisoma vizuri hakuna mahali inakwambia umuuwe mwenzako au umdhuru kwa njia yoyote ile eti amekufuru au ameenda kinyume na maamrisho ya Allah. Unatakiwa kumnasihi,kumpa mawaidha na kumuelekeza ili umjenge kiimani aone kwa kuna Mungu aliemuumba. Matatizo ya kuuana Africa sio kwenye dini tu ni mambo mengi sana mfano makabila,siasa,mali na mambo mengne.
Hata Pakistan
 
Ht RC na ile novena yao ni uwekezaji kwa wajinga, bila ujinga wa watanzania RC wangeisumbua serikali? Nenda kule ukristo ulikoanzia, makanisa yamefungwa
Mayb ungeangalia yako ,kwa sababu kila mtu anaamini kivyake ..Hauwezi kumfundisha mtu aishi vip wakati haumlishi ..Kuwa mpumbavu ni kujiona bora
 
Back
Top Bottom