Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Katika jitihada za kuokoa maisha ya vijana wa Kiafrika wanaozamia Ulaya (na wengi wao kufia njiani) waziri wa masuala ya Afrika wa Ujerumani Gunter Nooke alipendekeza kuwa nchi za Ulaya ziwekeze katika kujenga miji kwenye nchi za Kiafrika lakini miji hiyo iendeshwe na Wazungu kwa angalau miaka 50.
Viongozi wa Kiafrika wamelikataa wazo hilo (and most likely hawa wa kwetu walikuwa wa kwanza kupinga). Mnajua sababu kubwa ya maana ya wao kupinga?
Wanajua kuwa wazungu watafanya vizuri zaidi (na kwa kuwa viongozi wetu wa Kiafrika wanajijua kamwe hawana uwezo wa ku-match standard itakayowekwa na wazungu) WANAOGOPA KUAIBISHWA NDANI YA NCHI ZAO WENYEWE HUKU RAIA TUKISHUHUDIA.
Williamson Diamonds waliujenga mji wa Mwadui kwa mfano huo. Kaangalie leo ulivyo baada ya sisi kuachiwa.
Lumumba fc njooni mjibu tuhuma.