Mizizi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 1,275
- 391
Nimehunishwa sana. Nimekuwa nikiona matangazo kwenye TV ya ATN kwa muda mrefu kwamba, wanauza ving'amuzi vya TING! Na ukinunua utaona mechi za Ligi kuu mbali mbali ulaya LIVE ikiwemo ligi kuu ya Uingereza! Cha ajabu juzi nimenunua, na hadi leo, mechi za ligi mbali mbali zinaendelea na sijawahi kuona hata moja!! Sasa hapa tafsiri yake ni nini??