hivi hakuna vikao vya wazazi katika shure .tuka muoneshe uchungu vyuma kukazaMjeuri balaa na ana majibu ya hovyo
Tuwapende watoto, iko Mabwe pande -Bunju. Ni shule nzuri pia. Kijana wangu amemaliza hapo last year.Tupeane uzoefu wa shule tofauti ili tusifanye makosa ya kupeleka mtoto shule kwa kuambiwa na rafiki/ndugu kumbe kimeo ....
Nenda Takukuru..!!!Halafu walivyo watu wa ajabu siku ukienda kumhamisha mtoto pale wanakupeleka kwa mwalimu wao sijui ni mshauri au ni mwalimu wa taalum.Anaanza kukuhoji kwa unyenyekevu ooohhh tatizo liko wapi,ukishamwelezea anakwambia tupe muda tutajirekebisha na umwache mtoto aendelee kusoma hapahapa.Mimi nikawaambia jirekebisheni kwanza mkikaa sawa nitamrudisha mtoto hapa,basi toka mwezi wa tisa mwaka huu mpaka leo hawataki kunipa namba ya uhamisho wananizungusha mara jina la mtoto limekosewa,mara mwalimu anayeshughulikia hayupo yaani ili mradi ni karaha tu
Nimeona wazazi walio na watoto King's wanawatoa wanawapeleka atlas....kwa kifupi madale na Goba bado hakuna shule nzuri.....ikitokea mtu akafungua shule nzuri kimazingira na kitaaluma atapata sana hela.Vipi kuhusu King's ?
Ingependeza ungeanzisha uzi wa hiyo mada.Tupeane uzoefu wa shule tofauti ili tusifanye makosa ya kupeleka mtoto shule kwa kuambiwa na rafiki/ndugu kumbe kimeo ....
1.5 MHIVI ADA ZAO ZIKOJE KWA WATOTO WA NURSERY?
Rightway ipo maeneo yapi? lieberman huwa wana primary? Naijua tu ile pale juu Goba ya sec.Sio kweli, kimkoa Hazina iko juu, na hiyo ya Madale ndio kabisaa inapitwa na shule kibao kama Lieberman, Rightway etc
Rightway ipo Mbezi Makonde na Lieberman ya primary ipo Mbezi pia maeneo hayo hayo kwa ndani kidogo.Rightway ipo maeneo yapi? lieberman huwa wana primary? Naijua tu ile pale juu Goba ya sec.
Kwaio ni heri uhatarishe maisha yake kisa atapoteza marafiki? hivi unae mtoto kweli wewe?
Ulichojibu ndio nilichokuwa nawaza ila sidhani kama umechelewa mtafutie shule ya karibu ni mtoto atamudu mazingira mapemaKutokana na Location tuliyokua tunakaa Awali ilibidi nimpeleke hapo, lakini hata hiyo ya ubungo nasikia ni hayo hayo!
We ni super subMie nadhani wazazi wao ndio wahamie Madale ili mtoto awe jirani Na shule wao ndio wawe wanaamka mapema Na kurudi kwa kuchelewa waone mateso yake
Za kuambiwa changanya na za kwako..Kama Na Ya Ubungo ina Changamoto ya Usafiri ni shida Sasa maana mwanangu nataka akaanze Nursery Mwakani pale
Msikivu umesema.. ni nani asiyemjua..mtu anayetukana wazazi parent day... ndo unamwita msikivu huyo..Namba ya.mmiliki wa shule hii hapa
0754651656 anaitwa Rugambwa.
Ni msikivu sana!