Atlas Primary School - Madale, Dar

Atlas Primary School - Madale, Dar

Yn wewe unamtoa mwanao huku kwa aziz ally unampleka madale..hebu muonee huruma huyo kiumbe..unamuamsha saa kumi
Ile madale campus ilivyo mbali vile...kutoka tu mlimani city mpk madale kupitia makongo ni mbali..ndio sembuse huku temeke...plz...plz..hebu fanya mchakato ahame..
Kulingana na Location tuliyokua tukiishi awali ndio maana nilimpeleka hapo! Nitamuamisha si kwa sababu ya umbali ila ni kwa sababu ya ahadi zisizokwisha ambazo zina dalili ya kutupotezea watoto ,kwani pesa tunayolipa haiendani na huduma wanayopewa ya usafiri maana hata walio ubungo nao wana lalamika
 
Mbali saana labda kama kuna Azizi Ali makongo ama mbezi ila kama ni Azizi ya Ali ya napopajua na madale ni mbaali.
Kwa Aziz Ali ni mbali ila ela wanapokea tena kwa tabasamu na makubaliano mazuri na mteja
 
Nimejiuliza labda kama anatutania maana madale na kwa Azizi Ali ni mbali sana aisee huyo mtoto sijui atakua anaamka saa ngapi.

Kuna shule nzuri kuliko atlas zipo kati kati ya mji bora hata angeenda huko.
Tulipokua tukiishi awali hapa kua na tatizo hilo,na tulikua tukingoja kijana afanye mtihani wake wa Taifa alafu tumuhamishie Campus ya ubungo lakini malalamiko ni hayo hayo usafiri sasa namtafutia tu shule nyingine Darasa la 5 akaanze nje ya Atlas
 
Ana watoto wengi sana! Mimi wanangu walisoma kwa mwaka mmoja tu wakahama. Na wingi wa watoto ni kwa kuwa ada zake ziko chini kidogo uilinganisha na shule zingine. Ndo maana wazazi wanawatoa watoto umbali mrefu sana kuwapeleka huko. Yaani Goba yote, mbweni salasala, kunduchi ni balaa. Mbezi yote mpaka Mpiji, wengine hadi Kibaha can u imagine! So kuhandle issue ya usafiri ni shida kwa wingi ule wa watoto
 
Bora wewe ulivumilia mwaka,mimi alisoma mihula miwili tu nikamhamisha
 
Atlas Madale inatatizo kubwa la KUNGUNI kwenye mabweni ya primary. Tunaomba wizara ya elimu , mkuu wa mkoa na wizara ya afya kuingilia suala hili maana watoto wanateseka na kunguni afya zao huzorota
 
Hili la usafiri ni shida nyingine. Watoto hupakatana katika mabasi ya kukodi hasa vipanya na traffic huwa wana yaona bila kuchukua hatua
 
Back
Top Bottom