Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,861
dar mtoto anatoka mbagala anasoma kibaha .Yn wewe unamtoa mwanao huku kwa aziz ally unampleka madale..hebu muonee huruma huyo kiumbe..unamuamsha saa kumi[emoji15] [emoji15]
Ile madale campus ilivyo mbali vile...kutoka tu mlimani city mpk madale kupitia makongo ni mbali..ndio sembuse huku temeke...plz...plz..hebu fanya mchakato ahame..