Atlas Primary School - Madale, Dar

Atlas Primary School - Madale, Dar

Kwanza huyo jamaa mwenye shule ni jeuri sana,alitoa majibu ya jeuri kwenye kikao cha wazazi mimi sikuamini kama ni yeye.Na hilo suala la usafiri kurekebisha wanalizungumza sana ila utekelezaji ni sifuri
 
Atlas campus ya Madale madereva ni washenzi sijapata kuona,January Mimi namuhamisha kijana wangu,kwa haraka zao hajali kabisa vituo mlivyokubaliana kumchukua na kumshusha mtoto wanamshusha mwanangu Kwa Azizi Ali barabara ya 2 ways avuke mwenyewe tena jioni badala ya kuja kumshushia Pile!!? hawa jamaa ni jeuri sana
Sitaki kuja kulia kutokana na ujeuri wao acha nije nilie kwa mipango ya M/Mungu
Yn wewe unamtoa mwanao huku kwa aziz ally unampleka madale..hebu muonee huruma huyo kiumbe..unamuamsha saa kumi
Ile madale campus ilivyo mbali vile...kutoka tu mlimani city mpk madale kupitia makongo ni mbali..ndio sembuse huku temeke...plz...plz..hebu fanya mchakato ahame..
 
Ni muhayaaa....
Mi nilishahudhuria moja garaduation zao..kazi kubwa ilokuwepo siku ile ni kusifiana..na kupeana zawadi walimu.
Wanafunzi best student walipewa ahadi eti zawad watapewa endapo watajiunga form one shule ya atlas sekondari..nikasema yn hawajui ht kumotivate wanafunzi
Nilijuta kwenda ile graduu..kuanzia asubh mpk jion upuuzi
 
Mbali saana labda kama kuna Azizi Ali makongo ama mbezi ila kama ni Azizi ya Ali ya napopajua na madale ni mbaali.
 
Aliniacha hoi siku ya kikao cha wazazi,wazazi wakatoa kero zao na dukuduku likiwepo hilo suala la usafiri.Jibu alilolitoa ni kwamba sisi tumeona ile shule ni nzuri ndiyo maana tunapeleka watoto wetu pale vinginevyo kama tunaona huduma siyo nzuri tusingewapeleka pale.Lilivyotoka hilo jibu niliondoka pale pale
 
Sitaki kuamini kuwa wazazi wote mmeshindwa aisee!!!

Ingekuwa ni shida unayoipata mwenyewe ningeelewa. Wazazi..pesa zenu...kweli!???

Am telling u truth.. Kama upo dar fuatilia
 
Kwani ni lazima mtoto asome Atlas?
Siyo lazima ila kuna madhara anayopata mtoto kuhama shule moja kwenda nyingine. Loosing friends na kwenda ku adapt mazingira Maya. Nadhani unalitambua hilo
 
Hata mie nashangaa.Huyo mtoto atakuwa anateseka sana kwa uchovu.
Nimejiuliza labda kama anatutania maana madale na kwa Azizi Ali ni mbali sana aisee huyo mtoto sijui atakua anaamka saa ngapi.

Kuna shule nzuri kuliko atlas zipo kati kati ya mji bora hata angeenda huko.

Back
Top Bottom