Ati Wanaume wa Kuwakwepa...

Mmmh WL majaribio kwakweli hayaruhusiwi maana kuna hatari ya kuibiwa!Hehehe kuhusu kumatch embu akwambie mwenyewe usije ukasema najifagilia tu!

unaibiwa na nani lizzy jamani?kumbuka ili tujue lazma ajaribiwe,,,,khs ww haina shida amesema uko kny kundi la kukwepwa ndo maana anataka uwepo kny mkesha,,karibu sana naamini bda ya hapo hutakwepwa tena,,lolz
 
Nimelichomekea makusudi kuja nae maana nataka kukwepa majaribio yako, kwenye hilo kundi yuko umbali wa hapo ulipo mpaka mbinguni

mpaka sasa maono yanaonyesha kuwa lizzy ametoka kny kundi la kukwepwa ameingia kny kundi la kukimbiwa,,,anahtj mkesha wa mwezi mzima ili asaidike
 
mpaka sasa maono yanaonyesha kuwa lizzy ametoka kny kundi la kukwepwa ameingia kny kundi la kukimbiwa,,,anahtj mkesha wa mwezi mzima ili asaidike

Tatizo Lizzy hawezi kuibiwa kwa staili hiyo :juggle:
 
No!sio kabisa manake bila wanaume life will be meaningless
issue ni upate copy yako na sio copy ya wenzio
 
unaibiwa na nani lizzy jamani?kumbuka ili tujue lazma ajaribiwe,,,,khs ww haina shida amesema uko kny kundi la kukwepwa ndo maana anataka uwepo kny mkesha,,karibu sana naamini bda ya hapo hutakwepwa tena,,lolz
Hehehe WL unachakachua wakati tuko live?Acha hizo bwana..mi nikibebwa nabebeka.Uwii nikuruhusu umjaribu ulafu udate?Akha...acha nikwambie mwenyewe kwamba anafaa sana.Kila nyanja!
 
mpaka sasa maono yanaonyesha kuwa lizzy ametoka kny kundi la kukwepwa ameingia kny kundi la kukimbiwa,,,anahtj mkesha wa mwezi mzima ili asaidike
Haya Sipiyu atakua ananileta tu na kuondoka kama unasisitiza nihudhurie mkesha!
 
...mnh, binafsi nadhani "Rijali" wengi hutumia traits karibia au zote 12 kipindi cha baleghe na onja onjaring zao mpaka siku walipoamua kuweka manyanga chini na kuchukua jumla mama mwenye nyumba.
Maishani unakutana na "kuku" wa kienyeji, "kuku" boi, nk ambao different approaches zinahitajika "kwa kitoweo"

The sneak inasaidia Uzeeni bana. Ile nguvu ya kukimbizana ishakwisha...BP juu, kisukari na flat battery inasababisha uwe mpole tu!

menavoid4.gif
 
Kwa warning hiyo itakuwa ngumu kupata mwenza,manake kila mwanaume niliyekuwa na uhusiano nae anaingia sehemu moja au mbili....sijui tufanyeje jamani? watengeneze tu matoy tuondokane nao tukitaka watoto tunafanya kama Elton John...simplified life.....l.o.l
Thanks MMK:washing:
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom