Leo ni mwendo wa Usununu ( Makasiriko ) tu hapa JamiiForums

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,133
Sababu.. ..

1. Mwarabu jana Kanikosesha Tsh Milioni 62 ili GENTAMYCINE niuage rasmi Umasikini wangu Ulionitukuka kwa muda mrefu.

2. Nalazimika kuwakwepa Watu Mtaani, kutopokea Simu zao na Kudanganya wakati si hulka yangu ilimradi tu nipunguze Presha ya Kutaniwa na Kuzodolewa na Waliobahatisha jana Temeke Stadium Dar es Salaam Tanzania.
 
TUnawapa kongole kwa manunuzi mazuri ya jana. Lakini wasijifanye wapo peke yao nchini. Tuna co-exist tusinyimane usingizi
 
Back
Top Bottom