Mwanaume wawapi wewe Kwanza tukisema wadar tutakuwa tumekuonea kweli!?? Unamuogopa mwanamke tena unasema atakuchinja aseeeh tutake radhi jamhuri ya wanaume wote duniani...Sasa mtu ameniblock kila sehemu naanza vipi kwenda kwake anaweza ata kunichinja
Anatingisha kibiriti kuona kimejaa kiasi gani, ila bado mnapendana.
Sina namba yake nimeifutaHebu nipe namba yake kwanza nimuulize kamaanisha nini...nitakuletea mrejesho
Inawezekana amemaanisha hivi maana sio kwa block alizonipa kila sehemu π"If I still love you,that's my fault"...
Hii inamanisha anajuta kwa nini alikupenda...ama anajuta kwa nini alianzisha mahusiano na wewe.
Kifupi ni kauli ya " majuto"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hmmm sidhani kama bado ananipenda. Kama bado ananipenda Kwanini aniblock
Dada samahani lakini kuanzia jina lako, mada yako na hata majibu yako inaonekana we ndio mwanaume na huyo mwenzako ndio mwanamkeTumeachana ni week mbili sasa. Tokea tumeachana ameniblock kila sehemu. Leo ameniblokua WhatsApp halafu amenitumia mesej "if I still love you that's my fault" nikataka nimuulize ameemaaanisha nini nakuta ameni block tena mesej haziendi. Ati atakuwa anamaanisha nini?
Sasa ilkw haina maana kuja huku kutuulizaSina namba yake nimeifuta
Dah...naomba uniblock bana[emoji39]Huyo bado anakupenda.
Ukiona mdada /sisi tumekublock ujue bado tuna mapenzi.
Kama hatuna mapenzi huwa tunakupotezea tuu.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ngoja nikutandike blockDah...naomba uniblock bana[emoji39]
Sent using Beretta ARX 160
Hiyo ni kumtishia, sitaki nataka.Sasa ukimblock mtawasiliana vp akat unampenda?
πont folo folo me wizout ene bikoz:
Ndiyo[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Hivi dogo sisi tutafikia kublobkiana kweli!
Hauwajui wapemba kwa kuloga[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Ukiniblock nakuletea RB mbili za polisi wa Bara na Visiwani.
Hauwajui wapemba kwa kuloga[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume anakublock? Ukikutana naye mwambie namuuliza anakwama wapi mwambaHmmm mbona mi huwa siblock mtu hata itokee tatizo vipi. Halafu alieni block ni kaka
Kwanini wasiblock? sijui wanaume wa tz lakini wazungu Wana block. Kuna mmoja nilimkataa tu akaniblock π halafu ni mzee mtoto wake wa kwanza tuna umri sawaMwanaume anakublock? Ukikutana naye mwambie namuuliza anakwama wapi mwamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hmmm Kwanini au vile sijasema bwana? maana wanawake wa tz huwa wanaitaga boyfriend bwana wangu ππDada samahani lakini kuanzia jina lako, mada yako na hata majibu yako inaonekana we ndio mwanaume na huyo mwenzako ndio mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app