Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Mwana Ukoo

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Messages
239
Points
500
Mwana Ukoo

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2016
239 500
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi.

Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya JamiiForums sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje. Nakaribisha mijadala zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu
 
K

Koriee

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2018
Messages
232
Points
250
K

Koriee

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2018
232 250
Kiranga bye bye! Huna majibu kaka ni ubishi ubishi tu na usumbufu,kuzungushana kama watoto👋👋
Huo si uthibitisho kwamba Mungu yupo.

Hiyo ni logical non sequitur.

Unajua logical non sequitur ni nini?
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
44,752
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
44,752 2,000
Kiranga bye bye! Huna majibu kaka ni ubishi ubishi tu na usumbufu,kuzungushana kama watoto
Wewe sio tu hujui uchambuzi na mambo kwa kina, hata mtu akitaka kukuletea uchambuzi ujue mambo kwa kina huna utashi wa kutaka kujua mambo kwa kina.

Umetoa jibu.

Jibu lako lina makosa ya kimantiki.

Lina kosa ambalo kimantiki kwa Kiingereza kosa hilo linaitwa "logical non sequitur".

Nakuuliza kama unajua kwamba jibu lako lina kosa la kimantiki la logical non sequitur, nakuuliza unajua logical non sequitur ni nini.

Unakimbia.

Sio tu huna jibu.

Huna hata utashi wa kujua jibu.

Ungekuwa na utashi kidogo tu, ungeniuliza nikujuze ulipokosea.
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,790
Points
2,000
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,790 2,000
Nimeona pia na namjua kwa kumsoma humu. Aisee nami inabidi nimuage tu kwa kweli..
Suala la uwepo wa Mungu ni pana sana ila mtu anakulazimisha uthibitishe nia kwamba ushindwe na yeye kwake ndio ushindi.
 
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
838
Points
225
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
838 225
Is just a decision on how messure the time.
Ndo maana muda ukagawanywa hadi kiwango cha seconds na zaidi. Vina uhusiano gani na uwepo wa mungu.
kwanza unaelewa vip ukiambia mwaka 300BC.. ?????????????????????????
 
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
838
Points
225
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
838 225
Kwa jamii iliyostaarabika atheists ni watu wa kawaida, anaesema Mungu hayupo na yule anaeamini yupo, hakuna mwenye uhakika, hivyo ngoma draw!! Binadamu tuheshimiane tu!! Imani weka pembeni
WW UNAAMINI YESU ALIKUWAKO?//
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
7,563
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
7,563 2,000
Hujajibu swali langu.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo, na si hadithi za watu tu?
Hivi unajua nini maana ya HADITHI ?

Na wewe unawezaje kutofautisha kati ya "Hadithi za watu" na kinyume chake ?
 
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
838
Points
225
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
838 225
😆😆😆 Kiranga hapo atakuzungusha kibishibishi akishakosa jibu,hiyo ni kawaida yake na ndiyo njia yake rahisi aipendayo kukwepa maswali yanayomshinda.
Nimeona pia na namjua kwa kumsoma humu. Aisee nami inabidi nimuage tu kwa kweli..
HAHAHHA KWELI MAANA WATU WENGINE BHANA...MAWAZO YAO SIJUI YANA NINI..
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
7,563
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
7,563 2,000
Unajua kitu kinaweza kutajwa kwa hadithi tu, bila kuwapo?
Kwako hadithi ni mambo ya kutungwa tu sio ? Aliekufundisha maana hii amekudanganya pakubwa na uvivu wako wa kusoma ukadanganyika pia.
 
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2017
Messages
2,939
Points
2,000
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2017
2,939 2,000
Anaeuliza swali kama Yesu alikuwepo! Mungu hana mtoto na hawezi kutoa kafara. Ni fix iliyoenda shule
 
Emmanuel J. Buyamba

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,015
Points
1,500
Emmanuel J. Buyamba

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined May 24, 2013
1,015 1,500
thibitisha ni nan aliumba ulimwengu???/
Kwanza umejuaje kama Ulimwengu uliumbwa?

Una uthibitisho wa hayo maneno yako kuwa Uliumbwa, na si kwamba upo hivyo ulivyo kwa sababu tofauti kabisa ambayo pengine huijui tu?
 
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
838
Points
225
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
838 225
Hahahha...Kwaiyo ulimwengu umetokea wap??? Kwa unavoelewa ww..

Ukinisakizia swali la kuwa naelewa Ulimwengu ulikotoka unakuwa unanionea.

Unanionea kwa sababu hakuna mahali nilipoanzisha ama kusema Ulimwengu huu umeanzia mahala.

Wewe uliyeanzisha huu mjadàla ndiye unapaswa uwe unatupatia majibu.

Ndiyo maana
Hahahha...Kwaiyo ulimwengu umetokea wap??? Kwa unavoelewa ww..
Ni sababu ipi inayokufanya udhanie kuwa Ulimwengu huu umetokea mahala fulani?

Au kwa nini unadhani kuwa Ulimwengu huu una chanzo?

Hujajibu swali hili.
 
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
838
Points
225
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
838 225
Ukinisakizia swali la kuwa naelewa Ulimwengu ulikotoka unakuwa unanionea.

Unanionea kwa sababu hakuna mahali nilipoanzisha ama kusema Ulimwengu huu umeanzia mahala.

Wewe uliyeanzisha huu mjadàla ndiye unapaswa uwe unatupatia majibu.

Ndiyo maana

Ni sababu ipi inayokufanya udhanie kuwa Ulimwengu huu umetokea mahala fulani?

Au kwa nini unadhani kuwa Ulimwengu huu una chanzo?

Hujajibu swali hili.
Kwaiyo unataka kusema kwamba dunia au binadamu hawana chanzo????
 
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
838
Points
225
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
838 225
Wapi mimi nimezungumzia vyanzo?
Hahhahha kaka unaogopa sana hilo...sijasema kuna sehem umezungumzia...bas niambie original yake hivo vitu.. Au niambie kwann miaka tunahesabu na kusema bc mfano 200bc..???
 
Emmanuel J. Buyamba

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,015
Points
1,500
Emmanuel J. Buyamba

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined May 24, 2013
1,015 1,500
Hahhahha kaka unaogopa sana hilo...sijasema kuna sehem umezungumzia...bas niambie original yake hivo vitu.. Au niambie kwann miaka tunahesabu na kusema bc mfano 200bc..???
Siyo kwamba naogopa,shida ni kwamba maswali yako yanakosa msingi wa awali na hivyo kukosa maana.

Ukiambiwa ufafanue unakimbiakimbia tu.

Ni sawa na mimi nije nikuulize kuwa niambie kwa nini Rais Trump si mwanaume!

Na wakati huohuo hujawahi kuzungumzia habari za Trump popote.

Sasa hapo lazima unirudishie swali hilo la nini msingi wa swali langu kwako kukuomba uniambie kwa nini jamaa eti si mwanaume.
Ndicho unachokifanya hapa wewe.

Na bado unarudia makosa yaleyale ya kuuliza habari za mwanzo wa Ulimwengu ilihali huna uhakika iwapo kweli Ulimwengi huu una chanzo.

Ndiyo maana nimekuuliza wapi ulipojifunza kuwa lazima Ulimwengu una chanzo?

Hutaki kujibu!

Habari za BC na AD zilitungwa tu kutokana na idea/intention za waanzilishi wa kalenda.

Ndiyo maana tuna majina kama August,July na mengineyo ambayo ni majina ya watu/vitu na yalipewa heshima hiyo na wagunduzi wa tarehe hizo.

Kama hujui hata hii kalenda ya kidunia tuitumiayo ilianzishwa na Papa Gregory (Gregorian calendar) so,ilikuwa virahisi kuingiza maneno BC na AD kwa wakati huo kisa tu walioandika hivyo walitekwa na fikira za kidini ambazo tokea mwanzo zilikuwa na makosa kibao.

Na wakosoaji kama wakina Galileo Galilei walipopaza sauti zao kuonesha makosa hayo waliishia kunyongwa na tawala dhalimu za kidini.

Yaani ni kama tulilazimishwa kimabavu na wenye nguvu kuyapokea mapokeo yale.

Kwa sasa taratibu yanajiondoa menyewe.

Is a matter of time tu habari hizi zote zitakuwa crashed and perished!.
 
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
838
Points
225
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
838 225
Siyo kwamba naogopa,shida ni kwamba maswali yako yanakosa msingi wa awali na hivyo kukosa maana.

Ukiambiwa ufafanue unakimbiakimbia tu.

Ni sawa na mimi nije nikuulize kuwa niambie kwa nini Rais Trump si mwanaume!

Na wakati huohuo hujawahi kuzungumzia habari za Trump popote.

Sasa hapo lazima unirudishie swali hilo la nini msingi wa swali langu kwako kukuomba uniambie kwa nini jamaa eti si mwanaume.
Ndicho unachokifanya hapa wewe.

Na bado unarudia makosa yaleyale ya kuuliza habari za mwanzo wa Ulimwengu ilihali huna uhakika iwapo kweli Ulimwengi huu una chanzo.

Ndiyo maana nimekuuliza wapi ulipojifunza kuwa lazima Ulimwengu una chanzo?

Hutaki kujibu!

Habari za BC na AD zilitungwa tu kutokana na idea za waanzilishi wa kalenda.

Ndiyo maana tuna majina kama August,July na mengineyo ambayo ni majina ya watu/vitu na yalipewa heshima hiyo na wagunduzi wa tarehe hizo.

Kama hujui hata hii kalenda ya kidunia tuitumiayo ilianzishwa na Papa Gregory (Gregorian calendar) so,ilikuwa virahisi kuingiza maneno BC na AD kwa wakati huo kisa tu walioandika hivyo walitekwa na fikira za kidini ambazo tokea mwanzo zilikuwa na makosa kibao.

Na wakosoaji kama wakina Galileo Galilei walipopaza sauti zao kuonesha makosa hayo waliishia kunyongwa na tawala dhalimu za kidini.

Yaani ni kama tulilazimishwa kimabavu na wenye nguvu kuyapokea mapokeo yale.

Kwa sasa taratibu yanajiondoa menyewe.

Is a matter of time tu habari hizi zote zitakuwa crashed and perished!.
Sawa kiongozi..nimekuelewa mimi sijauliza from no where lengo langu ..ni kukuleta huku kwenye kujua chanzo cha dunia ambacho mimi nasema Ni Mungu ndio aliyeumba....ambapo mimi nasema yuko hai na anaishu...

Je wewe unawazo gan kuhusu hili???

Pia bc na ad ni waz kwamba before christ yaan dunia nzima ilikua formatted nakuanza kuhesabu miaka baada ya yesu kuzaliwa hili liko wazi....

Haya naomba uniambie uyo galileo alisema miaka imeanza lini paka akanyongwa??
 
Emmanuel J. Buyamba

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,015
Points
1,500
Emmanuel J. Buyamba

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined May 24, 2013
1,015 1,500
Sawa kiongozi..nimekuelewa mimi sijauliza from no where lengo langu ..ni kukuleta huku kwenye kujua chanzo cha dunia ambacho mimi nasema Ni Mungu ndio aliyeumba....ambapo mimi nasema yuko hai na anaishu...

Je wewe unawazo gan kuhusu hili???

Pia bc na ad ni waz kwamba before christ yaan dunia nzima ilikua formatted nakuanza kuhesabu miaka baada ya yesu kuzaliwa hili liko wazi....

Haya naomba uniambie uyo galileo alisema miaka imeanza lini paka akanyongwa??
Kabla ya kunipeleka huko kwenye chanzo cha dunia unaweza ukathibitisha kuwa dunia ina mwanzo?

Unanishawishije nami kujua dunia ina mwanzo?

Na kabla hujasema dunia imeumbwa na Mungu, unaweza ukathibitisha kwanza uwepo wake!?

Kwamba Mungu wako anaishi,unaamini hivyo ama unajua hivyo?

Hebu ngoja nikuwahishe tu kwa sababu unazunguka na hoja ambazo wala hazina msaada kwa unachokipigania hapa.

Ni hivi,unapolazimisha dunia kuwa na chanzo, huo si uthibitisho wa uwepo wa Mungu,bali ni uthibitisho wa kutokuwepo kwake.

Maana kama kila kitu lazima kiwe na mwanzo basi hata Mungu wenu lazima awe na chanzo na hivyo kutokuwa Mungu tena.

Kama inawezekana Mungu kutokuwa na mwanzo basi nadharia hiyohiyo ikupeleke kwenye fikira kuwa hata Ulimwengu na vilivyomo si lazima viwe na chanzo.

Lakini pia hata kama Ulimwengu una chanzo,chanzo hicho si lazima awe ni Mungu mjuzi wa yote,mwenye upendo wote na mwenye uwezo wote.

Inawezekana chanzo hicho kikawa ni kingine kabisa ambacho wewe bado hujakijua tu.

Ni wajibu wetu sasa kuendeleza tafiti kujua ukweli badala ya kujifunga kwenye vitabu vya uongo vinavyoitwa vya Mungu, ambavyo msingi wake mkuu ni kuamini tu pasina kuhoji na kufanya utafiti wa kuujua ukweli.

Na Mungu huyo wa sifa hizo nilizozisema anayetajwa na vitabu hivyo kuwa kaumba huu Ulimwengu, kiuhalisia hayupo!.

Na si kwamba hayupo kwa sababu haonekani,

Hayupo kwa sababu habari zake zinajipinga zenyewe kabla hata hazijapingwa na yeyote, na hivyo kufanya asiwezekane kuwepo.

Ni sawa na kukwambia kuna mtu ana kichwa kikubwa kuzidi ukubwa wa dunia, anaishi ndani ya uwanja wa taifa pale Dar es salaam!

Kama wewe una akili timamu utabaini kuwa mtu wa namna hii hawezekaniki kuwepo ndani ya mipaka ya dunia hii.

Kwa hivyo huhitaji kwenda kufungua mageti ya uwanja na kumsakamo ili kujua kuwa mtu huyo hayumo mle ndani ya uwanja wa taifa.

BC na AD zimeanza kutumika around 3000 yrs ago.

Wakati Ulimwengu huu una mabilioni ya miaka upo.

Kwa fikira zako watu walioishi miaka zaidi ya 3000 iliyopita, walitumia nini kuhesabu muda?

Ukijiuliza hapa ndipo utajua hoja yako ya BC na AD haiwezi ikawa na nguvu kuonesha uwepo wa Yesu na Mungu wenu.

Na nimeshakwambia watu wa kale (especially around 2000 yrs ago) walitumia maneno haya mnayoyaita ya imani kufanikisha mambo yao, na kuna mahala walipokwama walilazimisha!.

Ndiyo maana agents of colonialism in Africa wamo na wamisionari.

Unashindwa nini kujua hizi BC na AD zililazimishwa na watawala kwa faida zao ila hazina uhalisia wowote?

Hapo mwisho nilitoa mfano mdogo tu wa Galileo, kuonesha namna wakosoaji wa imani hizi lazimishi za dini walivyopotezwa.

Galileo hakunyongwa sababu ya BC na AD,alinyongwa na 'wacha Mungu' kama wewe wa dola ya Roma kisa alisapoti na kueneza habari za Heliocentrism (Jua kuwa stationary kwenye solar system na dunia kulizunguka).

Habari hizi zilianzishwa na Aristarchus na kuungwa mkono na wanasayansi kadhaa, akiwemo Nicolus Copernicus wakati dini zinahubiri Jua linatembea na dunia ndiyo imesimama ktk mfumo wa jua.

Na kuna andiko ndani ya biblia linasema nabii Eliya alisimamisha jua!.

Kitendo cha Galilei kusema jua halitembei ktk solar system kikamaanisha kwenda kinyume na andiko ndani ya kitabu potofu cha watawala(bible) na hivyo ikamgharimu.

Kwa nini?

Kwa sababu ni kama alianza kutibua mipango na ulaji wa mabwanyenye kwa kuwafumbua watu kifikira!.

Sijui umenielewa!?.
 
Lihakanga

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Messages
1,273
Points
2,000
Lihakanga

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2016
1,273 2,000
Kabla ya kunipeleka huko kwenye chanzo cha dunia unaweza ukathibitisha kuwa dunia ina mwanzo?

Unanishawishije nami kujua dunia ina mwanzo?

Na kabla hujasema dunia imeumbwa na Mungu, unaweza ukathibitisha kwanza uwepo wake!?

Kwamba Mungu wako anaishi,unaamini hivyo ama unajua hivyo?

Hebu ngoja nikuwahishe tu kwa sababu unazunguka na hoja ambazo wala hazina msaada kwa unachokipigania.

Ni hivi,unapolazimisha dunia kuwa na chanzo, huo si uthibitisho wa uwepo wa Mungu,bali ni uthibitisho wa kutokuwepo kwake.

Maana kama kila kitu lazima kiwe na mwanzo basi hata Mungu wenu lazima awe na chanzo na hivyo kutokuwa Mungu tena.

Kama inawezekana Mungu kutokuwa na mwanzo basi nadharia hiyohiyo ikupeleke kwenye fikira kuwa hata Ulimwengu na vilivyomo si lazima viwe na chanzo.

Lakini pia hata kama Ulimwengu una chanzo,chanzo hicho si lazima awe ni Mungu mjuzi wa yote,mwenye upendo wote na mwenye uwezo wote.

Inawezekana chanzo hicho kikawa ni kingine kabisa ambacho wewe bado hujakijua tu.

Ni wajibu wetu sasa kuendeleza tafiti kujua ukweli badala ya kujifunga kwenye vitabu vya uongo vinavyoitwa vya Mungu.

Maana huyo Mungu wa sifa hizo nilizozitaja anayetajwa na vitabu hivyo kuwa kaumba huu Ulimwengu, kiuhalisia hayupo.

Na si kwamba hayupo sababu haonekani.

Hayupo kwa sababu habari zake zinajipinga zenyewe hata kabla hazijapingwa na yeyote na hivyo kufanya asiwezekane kuwepo.

Ni sawa na kukwambia kuna mtu ana kichwa kikubwa kuzidi ukubwa wa dunia ila anaenea duniani na anaishi ndani ya uwanja wa taifa pale Dar es salaam!

Mtu wa hivi hawezekaniki kuwepo ndani ya mipaka ya dunia hii.

Kwa hivyo huhitaji kwenda kufungua mageti ya uwanja na kumsakamo ili kujua mtu huyo hayumo mle ndani ya uwanja wa taifa.

BC na AD zimeanza kutumika around 3000 yrs ago.

Wakati Ulimwengu huu una mabilioni ya miaka upo.

Kwa fikira zako watu walioishi miaka zaidi ya 3000 iliyopita, walitumia nini kuhesabu muda?

Ukijiuliza hapa ndipo utajua hoja yako ya BC na AD haiwezi ikawa na nguvu kuonesha uwepo wa Yesu na Mungu wenu.

Na nimeshakwambia watu wa kale (especially around 2000 yrs ago) walitumia maneno haya mnayoyaita ya imani kufanikisha mambo yao, na kuna mahala walipokwama walilazimisha!.

Ndiyo maana agents of colonialism in Africa wamo na wamisionari.

Unashindwa nini kujua hizi BC na AD zililazimishwa na watawala kwa faida zao ila hazina uhalisia wowote?

Hapo mwisho nilitoa mfano mdogo tu wa Galileo, kuonesha namna wakosoaji wa imani hizi lazimishi za dini walivyopotezwa.

Galileo hakunyongwa sababu ya BC na AD,alinyongwa na 'wacha Mungu' kama wewe wa dola ya Roma kisa alisapoti na kueneza habari za Heliocentrism (Jua kuwa stationary kwenye solar system na dunia kulizunguka).

Habari hizi zilianzishwa na Aristarchus na kuungwa mkono na wanasayansi kadhaa, akiwemo Nicolus Copernicus wakati dini zinahubiri Jua linatembea na dunia ndiyo imesimama ktk mfumo wa jua.

Na kuna andiko ndani ya biblia linasema nabii Eliya alisimamisha jua!.

Kitendo cha Galilei kusema jua halitembei ktk solar system kikamaanisha kwenda kinyume na andiko ndani ya kitabu potofu cha watawala(bible) na hivyo ikamgharimu.

Kwa nini?

Kwa sababu ni kama alianza kutibua mipango na ulaji wa mabwanyenye kwa kuwafumbua watu kifikira!.

Sijui umenielewa!?.
Kwanza hata habari za uwepo wa mungu na wale wenye unasaba nao bado ni jambo tata sana.

1. Bikira mariam alipewa mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu. Bado hadi leo mariam anaitwa bikira ingawa alishamzaa the so called Jesus.

2. Kaini baada ya kumwua nduguye alipotelea kusikojulikana. Inakuja kuonekana alioa. Alioa jamii gani kama sisi ni uzao wa Adam na hawa?
3. Kufa kwa yesu ni kafara au? Haiwezekani kama ni mwenye upendo aliamua mwanae afe. Ni mzazi gani? Ndo mana mimi naamini hizi ni story kama za abunuas tu.
4. Kama mungu ni wa wote kwanini wengine wazaliwe vilema, wengine tuwe maskini na wengine matajiri? Kwanini tusiwe sawa?
5. Kama mungu ndo mtoa riziki kwanini tutoe sadaka tena siku hizi ni sheria kutoa sadaka na zaka, ubatizo bila hela hakuna, ndoa nazo ni pesa. Bei ya biblia ni kubwa kuliko ya sukari. Mungu ni mfanyabiashara?

Nina mengi najiuliza lakini niishie tu hapo.
 
comred

comred

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Messages
1,876
Points
2,000
comred

comred

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2011
1,876 2,000
wewe kama umshindwa kuelezea origin ya binadamu au hii dunia..bas faham kuna anayejua mwanzo wake na mwisho wake na kila kitu in order... only one GOD
Huyo God ajitokeze adhibitishe..hana haja yakuwatuma hawa matapeli/madalali wake wachungaji wenu kuja kumdhibitisha kwa maneno matupu...

Bila shaka huyu mungu wenu ni mzembe sana sasa sijui alipata wapi uwezo wakuwaumba nyny na nyoka anaeongea..
hahahaaa...
 
Forum statistics

Threads 1,316,088
Members 505,492
Posts 31,878,499
Top