Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Messages
238
Points
500

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2016
238 500
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi.

Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya JamiiForums sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje. Nakaribisha mijadala zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu
 
geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
800
Points
250

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
800 250
Wewe hata kusoma na kuelewa hujui kwa hiyo napoteza muda wangu bure tu kumfundisha hesabu za logarithms sisimizi.

1.Nimeshakwambia zilianza kutumika kwa sababu ya Hobie's za watu wa kizazi cha around miaka ya 2000 iliyopita.

Nje ya Hobie's hakuna ukweli wowote wa habari za Yesu.

Na taratibu zitaondoka tu kama ambavyo habari za jua kuzunguka dunia zilivyoondoka.

Kama unadhani Yesu alikuwepo kweli na ndiye msingi wa uanzishwaji wa BC na AD weka datà hapa,mbona unambwela?.

2.Hakuna mahala niliposema nakataa uwepo wa Mungu kisa haonekani.

Rudia kusoma mahala hapo,maana nashangaa pamoja na kukesha unasoma comment ile ila hujaielewa.

3.Sijasema dunia inaweza kuwa na chanzo kingine,nimesema "hata kama".

Unaelewa maana ya neno hata kama?.

Na kama kitu hakiwezi kutokea chenyewe, niambie Mungu wako àlitoka wapi!

Sitaki mahubiri ya hakuanza wala hatakwisha ambayo hayathibitishiki.

Hata mimi naweza sema dunia haikuanza na wala haitakwisha bila uthibitisho, kama usemavyo wewe na nikawa sawa tu.

Maana haiwezekani less complex kama dunia useme lazima iwe na chanzo halafu most complex (muumbaji wa hiyo dunia) awe hana chanzo.

Ni mjinga pekee anayeweza kubali huu upuuzi.

4.Ni kweli akili za Mungu hazichunguziki,

Ni kwa sababu hayupo!.

Wewe unaweza ukachunguza akili za kitu kisichokuwepo?.Si utakuwa chizi!

5.Kabla ya kuniuliza habari za Yesu, unaweza ukaweka ushahidi kuwa alikuwepo kweli na siyo hadithi za kutungwa tu?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
...naona unazunguka mulu mule tu ngoja kwananza nikupe data za kuonesha yesu alitembea hapa duniani
 
Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,024
Points
1,500

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined May 24, 2013
1,024 1,500
Ili mjadala wa jambo lolote uwe na tija terminologies zote (iwapo zipo) sharti kwanza zipatiwe definitions na aliyezitoa.

Umeuliza habari za mimi kuamini nina mind?

Sasa neno mind kwangu ni terminology,

Na ili twende sawa nisaidie definition yake,

Kwako wewe mind ni nini?
 
labda ki ingilishi au... nikuulize kwa kiswahili wewe una ukali na ufahamu yaan unajitambua...je iyo consciousness umewai kuiona
 
geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
800
Points
250

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
800 250

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,024
Points
1,500

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined May 24, 2013
1,024 1,500
The source of your information is from the bible,
and the bible have a lot of contradictions such that can not provide a reliable informations,

Do you realize that!?
 
geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
800
Points
250

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
800 250

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,024
Points
1,500

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined May 24, 2013
1,024 1,500
labda ki ingilishi au... nikuulize kwa kiswahili wewe una ukali na ufahamu yaan unajitambua...je iyo consciousness umewai kuiona
Ndiyo umeandika nini sasa hapa.

Kama vipi baki hukohuko kwenye mind,

kwako wewe mind ni nini?

Na aliyekwambia kila kilichopo lazima kionekane nani?

Au ndiyo ile tabia yenu ya kuunga unga maneno yasiyoshabihiana ili muonekane nanyi mmechangia?

Unaelewa kuwa nakubali uwepo wa vitu kama Valence na conduction bands pamoja na fobbiden gape ktk semiconductor japo hazionekani kwa macho?

Je, unajua pia kwamba si kila kionekanacho kipo?

Maana kuna vitu vinaonekana kwa macho ila havipo!

Unalijua hilo?

Ndugu yangu, ukweli kuhusu Mungu kutokuwepo umejengwa kwenye misingi mizito sana ya zaidi ya kuona.

Ndiyo maana huwezi kuthibitisha uwepo wake.

Kwa sababu hayupo.

Kama unadhani yupo thibitisha hapa uwepo wake.
 
geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
800
Points
250

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
800 250
Ndiyo umeandika nini sasa hapa.

Kama vipi baki hukohuko kwenye mind,
kwako wewe mind ni nini?

Na aliyekwambia kila kilichopo lazima kionekane?

Au ndiyo ile tabia yenu ya kuunga unga maneno yasiyoshabihiana ili muonekane nanyi mmechangia?

Unaelewa kuwa nakubali uwepo wa vitu kama Valence na conduction bands pamoja na fobbiden gape ktk semiconductor japo hazionekani kwa macho?

Je, unajua pia kwamba si kila kionekanacho kipo?

Maana kuna vitu vinaonekana kwa macho ila havipo!

Unalijua hilo?

Ndugu yangu, ukweli kuhusu Mungu kutokuwepo umejengwa kwenye misingi mizito sana ya zaidi ya kuona.

Ndiyo maana huwezi kuthibitisha uwepo wake.

Kwa sababu hayupo.

Kama unadhani yupo thibitisha hapa uwepo wake.
1.okay twende taratibu tu.... unataka nikuthibitishie ... je unataka ushahidi wa aina gan ili uamini?????????? wa video ,picha..kumuona live??/? au maandishi au nini

2. kitu gan icho kinachoonekana alafu hakipo... kuuliza sio ujinga... angali wengi humu hawalijui hili
 
Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,024
Points
1,500

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined May 24, 2013
1,024 1,500
the infos given is from grounded sources us.. kwan wewe unaambiwa tanzania ilipata uhuru mwaka 61 .. how sure you are aobut sat?////
Mojawapo ya kanuni za uhakiki (uthibitisho na ukweli wa habari) ni kuangalia iwapo habari hiyo haina contradictions na ina logical consistency.

Habari yoyote inapokuwa na contradiction na ikakosa logical consistency ktk logic inakuwa invalid and nullified.

Habari za Tz(I mean Tanganyika) kupata uhuru 1961 walau inaelezeka kimantiki (haina contradictions na ina logical consistence ) japo uhakika zaidi linakuwa ni jambo jingine.

Habari za Yesu ziñakwama mwanzo tu mwa mzani wa mantiki na kuwa invalid.

Ni kama ile habari yangu ya mshikaji mwenye kichwa kikubwa kuzidi dunia ila eti anaishi ndani ya uwanja wa taifa.

Hii nayo inakwama mwanzoni tu wa mizania ya logic, kiasi kwamba hata kama hujawahi fika uwanja ule, una haki ya kukataa kuwa ni habari ya kutunga.

Why?

Due to contradictions and lack of logical consistence provided by such story.

Kadhalika mnaweza badilisha website za habari za Yesu (kama ulivyofanya wewe hapo juu) lakini maudhui yake ukiyatazama yanatoka mlemle kwenye biblia iliyojaa contradictions na isiyokuwa na logical consistence!.

Mara eti alitembea juu ya maji,so what!?

Mbona hata Ng'wanamalundi, mzaliwa wa Seke pale Shinyanga inasemekana alikuwa akisonta kiumbe chochote kinakauka?

Kwa hiyo nae anathibitisha uwepo wa Mungu?

Sijui mara Yesu akafufua wagonjwa,
viwete wakasikia,vipofu wakatembea na vilema wakaona.

Hakuna kipya hapo!.

Unasahau kwamba hata leo hii mambo haya yanafanywa kimaigizo ya makubaliano baina ya wachungaji na hao wanaojifanya vilema,wafu na viwete.

Si majuzi tu hapa Afrika kusini tumeshuhudia Mchungaji akiomba radhi kwa usanii wa kumfufua mfu?

Ni ajabu sana kuona watu bado mnakubali huu usanii wa maandiko uchwara!!.
 
geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
800
Points
250

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
800 250
Mojawapo ya kanuni za uhakiki (uthibitisho na ukweli wa habari) ni kuangalia iwapo habari hiyo haina contradictions na ina logical consistency.

Habari yoyote inapokuwa na contradiction na ikakosa logical consistency ktk logic inakuwa invalid and nullified.

Habari za Tz(I mean Tanganyika) kupata uhuru 1961 walau inaelezeka kimantiki (haina contradictions na ina logical consistence ) japo uhakika zaidi linakuwa ni jambo jingine.

Habari za Yesu ziñakwama mwanzo tu mwa mzani wa mantiki na kuwa invalid.

Ni kama ile habari yangu ya mshikaji mwenye kichwa kikubwa kuzidi dunia ila eti anaishi ndani ya uwanja wa taifa.

Hii nayo inakwama mwanzoni tu wa mizania ya logic, kiasi kwamba hata kama hujawahi fika uwanja ule, una haki ya kukataa kuwa ni habari ya kutunga.

Why?

Due to contradictions and lack of logical consistence provided by such story.

Kadhalika mnaweza badilisha website za habari za Yesu (kama ulivyofanya wewe hapo juu) lakini maudhui yake ukiyatazama yanatoka mlemle kwenye biblia iliyojaa contradictions na isiyokuwa na logical consistence!.

Mara eti alitembea juu ya maji,so what!?

Sijui akafufua wagonjwa,
viwete wakasikia,vipofu wakatembea na vilema wakaona.

Hakuna kipya hapo!.

Unasahau kwamba hata leo hii mambo haya yanafanywa kimaigizo ya makubaliano baina ya wachungaji na hao wanaojifanya vilema,wafu na viwete.

Si majuzi tu hapa Afrika kusini tumeshuhudia Mchungaji akiomba radhi kwa usanii wa kumfufua mfu?

Ni ajabu sana kuona watu bado mnakubali huu usanii wa maandiko uchwara!!.
1.ebu wewe nithibitishie kwamba tanzania ilipata uhuru mwaka 1961 ..nipe ushahid

2.soma tena izo evidence sio biblical ni extrabiblical..

3. yesu alifufua mtu aliekufa siku nne... acahana na hayo maigizo

.. anyway nipe kwanza ushahid tanzania ilipata uhuru mwaka 1961 tuanzie hapa..
 
Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,024
Points
1,500

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined May 24, 2013
1,024 1,500
1.ebu wewe nithibitishie kwamba tanzania ilipata uhuru mwaka 1961 ..nipe ushahid

2.soma tena izo evidence sio biblical ni extrabiblical..

3. yesu alifufua mtu aliekufa siku nne... acahana na hayo maigizo

.. anyway nipe kwanza ushahid tanzania ilipata uhuru mwaka 1961 tuanzie hapa..
Hatutaki habari za kututoa kwenye mjadala.

Mwanzilishi wa post hii amelenga habari za Atheist na uwepo ama kutokuwepo kwa Mungu na si uhuru wa Tz.

Kama unataka hilo anzisha post nami nitakujako.

Kwa sasa unatakiwa uthibitishe uwepo wa Mungu full stop!.

Thibitisha Mungu yupo.
 
geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
800
Points
250

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
800 250
Hatutaki habari za kututoa kwenye mjadala.

Mwanzilishi wa post hii amelenga habari za Atheist na uwepo ama kutokuwepo kwa Mungu na si uhuru wa Tz.

Kama unataka hilo anzisha post nami nitakujako.

Kwa sasa unatakiwa uthibitishe uwepo wa Mungu full stop!.

Thibitisha Mungu yupo.
hahahahaaha ndio mnavokimbiaga eehhh,... koo huwez kuthibitisha tanzania ilipata uhuru mwaka 1961..ahahahha whenever complex questions are presented always there is a very simpleeee answer..
 
Forum statistics

Threads 1,379,344
Members 525,398
Posts 33,744,813
Top