Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Messages
238
Points
500

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2016
238 500
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi.

Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya JamiiForums sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje. Nakaribisha mijadala zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
7,470
Points
2,000

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
7,470 2,000
Hatutaki habari za kututoa kwenye mjadala.
Mwanzilishi wa post hii amelenga habari za Atheist na uwepo ama kutokuwepo kwa Mungu na si uhuru wa Tz.
Kama unataka hilo anzisha post nami nitakujako.
Kwa sasa unatakiwa uthibitishe uwepo wa Mungu full stop!.
Thibitisha Mungu yupo.
Suala la uwepo wa Mungu ni imani sasa huko kuthibitisha unakotaka wewe ni kuthibitisha hiyo imani ama vp?
 
Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,016
Points
1,500

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined May 24, 2013
1,016 1,500
hahahahaaha ndio mnavokimbiaga eehhh,... koo huwez kuthibitisha tanzania ilipata uhuru mwaka 1961..ahahahha whenever complex questions are presented always there is a very simpleeee answer..
Kwa hiyo unataka mimi tu ndiyo niwe nakujibu vijimaswali twako ila ya kwangu hutaki kujibu,sifanyi biashara hiyo.

Don't be cheap like a prostitutour.

You are seems to be a parasite indeed, lather than being comensal or being in mutualism system with me.

Hata malaya wa kike anapoomba pesa huwa kuna huduma fulani anatoa,wewe unataka kuwa wa hovyo kuzidi watu hao.

Ulianza na habari za vyanzo vya dunia,nikakujibu.

Ukaja na mambo ya lazima vitu vina mwanzo,nikakujibu.

Ukaleta habari za Yesu kutembea juu ya maji,nikakujibu.

Ukaja na roho mara mind,napo nikakujibu.

Na mengine kadha wa kadha.

Ukaanzisha tena habari za uhuru wa Tz huku ukitaka mimi nikuthibitishie, wakati unajua nimeshakukosoa hiyo tabia ya kumwambia mtu athibitishe kitu ambacho wala hajishughulishi nacho.

Hivi aliyeleta habari za 1961 ni nani kati yangu na wewe?

Kwa nini unanitaka mimi nizithibitishe badala ya wewe mwenyewe kuimaliza show uliyoileta?

Unaelewaje iwapo kweli nakubaliana na hizo habari za Tz kupata uhuru 1961?

Au ndiyo zile akili zenu za kupiga punyeto huku mkitarajia kumbebesha mtu mimba?.Umegonga mwamba!.

Sasa sitaandika maelezo tofauti mpaka pale utakapothibitisha uwepo wa huyo mnayemuita Mungu wenu,mjuzi wa yote,muweza yote na mwenye upendo mwingi kwenu,kiasi cha kuwaletea eti mkombozi afe kwa ajili yenu ilihali alikuwa na uwezo wa kutamka tu na ikawa.

Non sense story!!.

Otherwise kubali umeshindwa kuthibitisha,sababu Mungu huyo hayupo!.
 
Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,016
Points
1,500

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined May 24, 2013
1,016 1,500
Suala la uwepo wa Mungu ni imani sasa huko kuthibitisha unakotaka wewe ni kuthibitisha hiyo imani ama vp?
Imani haithibitishwi,sina tatizo na wanaoamini.

Wewe ukitaka amini hata Punda ndiye Mungu wako wala sitakupinga.

Tena ikibidi ntakupigania pale ambapo mtu atataka kukuingilia kwenye imani yako.

Unajua kwa nini?

Kwa sababu imani ni mambo yasiyokuwa na uhakika na yamepewa kinga na katiba yetu ya nchi ya Tz, ibara ya 19 yenye vipengele vinne.

Na ikapewa sapoti na azimio la haki za binadamu la Ulimwengu la mwaka 1948.

Shida ni pale ambapo utaanza kuleta habari za Punda (Mungu wako) kwamba kaumba hiki na kile.

Hapo unakuwa umehama kwenye imani (kutokuwa na uhakika) na sasa umekuja kwenye fact ama ujuzi(kuwa na uhakika) na hivyo kinga yako ya kikatiba inakuondoka.

Hapo lazima tukutake uthibitishe madai yako.

Mungu anaweza kuwepo kiimani kutegemea na wewe unaamini vipi ama huamini kabisa, nje ya hapo hayupo.

Kwa hiyo hawezi umba chochote!.
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
7,470
Points
2,000

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
7,470 2,000
Imani haithibitishwi,sina tatizo na wanaoamini.

Wewe ukitaka amini hata Punda ndiye Mungu wako wala sitakupinga.

Tena ikibidi ntakupigania pale ambapo mtu atataka kukuingilia kwenye imani yako.

Unajua kwa nini?

Kwa sababu imani ni mambo yasiyokuwa na uhakika na yamepewa kinga na katiba yetu ya nchi ya Tz, ibara ya 19 yenye vipengele vinne.

Na ikapewa sapoti na azimio la haki za binadamu la Ulimwengu la mwaka 1948.

Shida ni pale ambapo utaanza kuleta habari za Punda (Mungu wako) kwamba kaumba hiki na kile.

Hapo unakuwa umehama kwenye imani (kutokuwa na uhakika) na sasa umekuja kwenye fact ama ujuzi(kuwa na uhakika) na hivyo kinga yako ya kikatiba inakuondoka.

Hapo lazima tukutake uthibitishe madai yako.

Mungu anaweza kuwepo kiimani kutegemea na wewe unaamini vipi ama huamini kabisa, nje ya hapo hayupo.

Kwa hiyo hawezi umba chochote!.
Umesema huna tatizo na imani na imani haithibitishwi,sasa iweje tena mtu akiamini Mungu kaumba unamdai uthibitisho? hivyo ndivyo anavyoamini ni imani yake yeye.

Unataka kusema mtu akisema Mungu kaumba dunia,kwamba ndio imani yake.
Ina maana jambo hilo linakosa kinga kikatiba?

Maana kama huna tatizo kwa mtu kusema Punda huyuhuyu tunayemjua kuwa ni Mungu iweje iwe tofauti kusema dunia hii imeumbwa na Mungu?
 
Analyse

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Messages
5,029
Points
2,000

Analyse

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2014
5,029 2,000
Cha kustahajabisha, pamoja na kumsifia Mungu, ila watu wamekumbatia sana dini alafu Mungu hawana mpango nae. Leo hii mtu anaogopa sana macho ya mchungaji kuliko Mungu muweza wa yote.

Wanaamini kulingana na maelezo ya Biblia, mateso aliyopata Ayubu toka kwa Mungu kipindi anabishana na shetani ilikuwa ni majaribu tu ila Mungu alimpenda sana Ayubu. Ila leo hii mtu anayeamini kuwa Ayubu aliteswa na Mungu sababu anapendwa, akikuta mtoto wake anapewa adhabu na mtu mwingine (atasema ananyanyaswa na hapendwi).

Wanasema Mungu anaupendo wa ajabu, muite naye ataitika. Ila ukimuita hata kwa kufunga na kusali majibu hayaji (watasema vumilia,anakusikia atakujibu kwa kadri anavyopenda kwa muda wake).

Leo hii kwenye jamii zetu, ukipeleka shida yako kwa mtu ambae kiuchumi yuko poa, atakaposhindwa kukusaidia kwasababu yoyote ile, alaf ww unaujua uwezo wake, kitakachofata ni lawama na sifa mbaya kwake, ila kwa Mungu ni tofauti.

Hay mambo haya, Dah.
 
Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,016
Points
1,500

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined May 24, 2013
1,016 1,500
Umesema huna tatizo na imani na imani haithibitishwi,sasa iweje tena mtu akiamini Mungu kaumba unamdai uthibitisho? hivyo ndivyo anavyoamini ni imani yake yeye.

Unataka kusema mtu akisema Mungu kaumba dunia,kwamba ndio imani yake.
Ina maana jambo hilo linakosa kinga kikatiba?

Maana kama huna tatizo kwa mtu kusema Punda huyuhuyu tunayemjua kuwa ni Mungu iweje iwe tofauti kusema dunia hii imeumbwa na Mungu?
Unaelewa ya kwamba ukisha sema tu fulani kaumba hiki tayari unakuwa umehama kwenye imani!

Unalijua hilo?
 
Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,016
Points
1,500

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined May 24, 2013
1,016 1,500
Cha kustahajabisha, pamoja na kumsifia Mungu, ila watu wamekumbatia sana dini alafu Mungu hawana mpango nae. Leo hii mtu anaogopa sana macho ya mchungaji kuliko Mungu muweza wa yote.

Wanaamini kulingana na maelezo ya Biblia, mateso aliyopata Ayubu toka kwa Mungu kipindi anabishana na shetani ilikuwa ni majaribu tu ila Mungu alimpenda sana Ayubu. Ila leo hii mtu anayeamini kuwa Ayubu aliteswa na Mungu sababu anapendwa, akikuta mtoto wake anapewa adhabu na mtu mwingine (atasema ananyanyaswa na hapendwi).

Wanasema Mungu anaupendo wa ajabu, muite naye ataitika. Ila ukimuita hata kwa kufunga na kusali majibu hayaji (watasema vumilia,anakusikia atakujibu kwa kadri anavyopenda kwa muda wake).

Leo hii kwenye jamii zetu, ukipeleka shida yako kwa mtu ambae kiuchumi yuko poa, atakaposhindwa kukusaidia kwasababu yoyote ile, alaf ww unaujua uwezo wake, kitakachofata ni lawama na sifa mbaya kwake, ila kwa Mungu ni tofauti.

Hay mambo haya, Dah.
Halafu eti unaàmbiwa Mungu àlijivunia imani thabiti ya Ayubu dhidi ya Shetani.

Hapohapo unaambiwa anayegawa huo uwezo kwa watu wote,ikiwemo uthabiti wa imani ni huyo huyo Mungu anayejivunia imani ya Ayubu.

Kama ana uwezo wote kwa nini asitengeneze watu wote wawe na misimamo ya imani kama ya Ayubu ili ajivunie vizuri hadi majipu yake ya makwapa yavimbe?

Halafu anajivunia kitu ambacho yeye ndiye mgawaji, ili iweje na mbele ya nani wakati tayari anasema yeye ni Alfa na Omega?

Mbona Mungu huyu ni kama mtu fulani tu hivi kimatendo anayeshindana na wenzake wenye uwezo unaoelekea kuwa sawa?

Je, ni kweli yupo ama ni hadithi za esopo tu?

Ujinga mtupu kusadiki hizi ngonjera uchwara!.
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
7,470
Points
2,000

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
7,470 2,000
Unaelewa ya kwamba ukisha sema tu fulani kaumba hiki tayari unakuwa umehama kwenye imani!

Unalijua hilo?
We mwenyewe huko juu umesema imani ni mambo yasiyokuwa na hakika na hadi ukasema hata mtu akisema anaamini punda ni Mungu huna tatizo,na ni kwa sababu ni imani sasa sijui ni vigezo gani tena vyenye kuzuia masuala ya kuumba kuwa hakuna imani.

Hebu nieleze ni vp ukisema fulani kaumba inakuwa sio imani?
 
Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,016
Points
1,500

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined May 24, 2013
1,016 1,500
We mwenyewe huko juu umesema imani ni mambo yasiyokuwa na hakika na hadi ukasema hata mtu akisema anaamini punda ni Mungu huna tatizo,na ni kwa sababu ni imani sasa sijui ni vigezo gani tena vyenye kuzuia masuala ya kuumba kuwa hakuna imani.

Hebu nieleze ni vp ukisema fulani kaumba inakuwa sio imani?
Ukisema unaamini maana yake huna uhakika.

Ukisema fulani kaumba maana yake una uhakika.

Hapa unakuwa umeshahama kwenye imani.

Unakuwa umekwenda kwenye ujuzi ambako lazima ukutane na neno thibitisha.

Kwa kifupi imani haitengenezi kitu,ila ujuzi ndiyo unaotengeneza kitu, iwapo lazima kiwe kimetengenezwa!.

Umeelewa?
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
7,470
Points
2,000

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
7,470 2,000
Ukisema unaamini maana yake huna uhakika.

Ukisema fulani kaumba maana yake una uhakika.

Hapa unakuwa umeshahama kwenye imani.

Unakuwa umekwenda kwenye ujuzi ambako lazima ukutane na neno thibitisha.

Kwa kifupi imani haitengenezi kitu,ila ujuzi ndiyo unaotengeneza kitu, iwapo lazima kiwe kimetengenezwa!.

Umeelewa?
Kuwa na uhakika hakufanyi hilo jambo kuwa kweli na wala haina maana lazima uwe na uthibitisho,unaweza ukashuhudia kabisa fulani akifanya jambo fulani lakini ukakosa namna ya kuthibitisha kuwa kweli fulani amefanya hilo jambo ingawa una uhakika kuwa amefanya. Pia unaweza ukawa na uhakika na jambo fulani(huna shaka) lakini kumbe hilo jambo si la kweli.

Sasa sioni tatizo lipo wapi mtu mwenye imani ya kwamba ulimwengu umeumbwa na Mungu akisema Mungu kaumba ulimwengu maana ndio imani yake.
Labda kama mtu atasema hio sio imani hapo sawa.
 
Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,016
Points
1,500

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined May 24, 2013
1,016 1,500
Kuwa na uhakika hakufanyi hilo jambo kuwa kweli na wala haina maana lazima uwe na uthibitisho,unaweza ukashuhudia kabisa fulani akifanya jambo fulani lakini ukakosa namna ya kuthibitisha kuwa kweli fulani amefanya hilo jambo ingawa una uhakika kuwa amefanya. Pia unaweza ukawa na uhakika na jambo fulani(huna shaka) lakini kumbe hilo jambo si la kweli.

Sasa sioni tatizo lipo wapi mtu mwenye imani ya kwamba ulimwengu umeumbwa na Mungu akisema Mungu kaumba ulimwengu maana ndio imani yake.
Labda kama mtu atasema hio sio imani hapo sawa.
Kuna tatizo mahala upande wako na hasa kwenye kutofautisha imani na ujuzi.

Jambo likishakuwa la ukweli hapo unakuwa tayari na uhakika, limevuka imani.

Huwezi kuwa na uhakika kwa jambo ambalo bado halijawa na ukweli.

Ni kweli kushindwa kuthibitisha jambo la kweli hakulifanyi jambo hilo lisiwe la kweli.

Lakini je,vipi iwapo tukisema umeshindwa kuthibitisha kwa kuwa jambo hilo si la kweli?

Na ukishasema Mungu kaumba hiyo siyo imani.Na hapa ndipo ambapo tatizo linaanzia.
Hakuna kitu kinachokuwepo kwa sababu tu ya kuamini kuwa kipo au kutengenezwa na fulani.

Kama unadhani kipo kitu cha hivyo kitaje.
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
7,470
Points
2,000

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
7,470 2,000
Kuna tatizo mahala upande wako na hasa kwenye kutofautisha imani na ujuzi.

Jambo likishakuwa la ukweli hapo unakuwa tayari na uhakika, limevuka imani.

Huwezi kuwa na uhakika kwa jambo ambalo bado halijawa na ukweli.

Ni kweli kushindwa kuthibitisha jambo la kweli hakulifanyi jambo hilo lisiwe la kweli.

Lakini je,vipi iwapo tukisema umeshindwa kuthibitisha kwa kuwa jambo hilo si la kweli?

Na ukishasema Mungu kaumba hiyo siyo imani.Na hapa ndipo ambapo tatizo linaanzia.
Hakuna kitu kinachokuwepo kwa sababu tu ya kuamini kuwa kipo au kutengenezwa na fulani.

Kama unadhani kipo kitu cha hivyo kitaje.
Mtu hawezi kuwa na uhakika kwa jambo ambalo ana mashaka nalo au anajua si la kweli ila upande mwengine mtu anaweza kuwa na uhakika(hana shaka) na jambo kwa kujua ni kweli ila hilo jambo lisiwe la kweli,mfano chukulia umeenda hospitali kupima ugonjwa fulani na daktari akakupa majibu na ukayakubali ila kumbe hayo majibu si ya kweli kwa maana yalifanyika makosa kwenye kupima au hata daktari kaamua kukupa majibu ya uongo.

Kwahiyo unaweza ukawa unajua una ugonjwa fulani au hauna,una uhakika na hilo kwa sababu umepima lakini kumbe kiuhalisia si kweli.

Lakini pia hakuna niliposema kwamba jambo linaweza kuwepo kwa sababu ya kuamini tu,tatizo sio kusema bali kinachofanya useme hivyo. Anayesema Mungu kaumba sio kwamba alimuona huyo Mungu akiumba bali anaamini hivyo na ndiyo maana anasema hivyo.

Na imani inaweza kuwa kweli ama si kweli,tatizo wewe unachukulia imani ni kama jambo ambalo halina uzito wowote kwenye uhalisi wa maisha yetu.
 
geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
871
Points
225

geniusbaraka

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
871 225
Kwa hiyo unataka mimi tu ndiyo niwe nakujibu vijimaswali twako ila ya kwangu hutaki kujibu,sifanyi biashara hiyo.

Don't be cheap like a prostitutour.

You are seems to be a parasite indeed, lather than being comensal or being in mutualism system with me.

Hata malaya wa kike anapoomba pesa huwa kuna huduma fulani anatoa,wewe unataka kuwa wa hovyo kuzidi watu hao.

Ulianza na habari za vyanzo vya dunia,nikakujibu.

Ukaja na mambo ya lazima vitu vina mwanzo,nikakujibu.

Ukaleta habari za Yesu kutembea juu ya maji,nikakujibu.

Ukaja na roho mara mind,napo nikakujibu.

Na mengine kadha wa kadha.

Ukaanzisha tena habari za uhuru wa Tz huku ukitaka mimi nikuthibitishie, wakati unajua nimeshakukosoa hiyo tabia ya kumwambia mtu athibitishe kitu ambacho wala hajishughulishi nacho.

Hivi aliyeleta habari za 1961 ni nani kati yangu na wewe?

Kwa nini unanitaka mimi nizithibitishe badala ya wewe mwenyewe kuimaliza show uliyoileta?

Unaelewaje iwapo kweli nakubaliana na hizo habari za Tz kupata uhuru 1961?

Au ndiyo zile akili zenu za kupiga punyeto huku mkitarajia kumbebesha mtu mimba?.Umegonga mwamba!.

Sasa sitaandika maelezo tofauti mpaka pale utakapothibitisha uwepo wa huyo mnayemuita Mungu wenu,mjuzi wa yote,muweza yote na mwenye upendo mwingi kwenu,kiasi cha kuwaletea eti mkombozi afe kwa ajili yenu ilihali alikuwa na uwezo wa kutamka tu na ikawa.

Non sense story!!.

Otherwise kubali umeshindwa kuthibitisha,sababu Mungu huyo hayupo!.
????teh teh teh hamna sehemu umejibu maswali yangu pitia post zako huko juu..najaribu kukupa maswal mepesi sana hata la uhuru lakin unaruka mita 1000 hahahahahha we jamaa bwana....

sasa kama huwez kuthibitisha hata uwepo wako ..vipi kuhu wa aliyekuumba??????

...okay fanya ivi kukurahisishia unataka ushahidi wa aina gana kuhusu MUNGU???/

WA picha/video,maandishi.au kuoneshwa au wa aina gan?? ...sema unatakaje then nikuthibitishie ...nakusubiri...
 
Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,016
Points
1,500

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined May 24, 2013
1,016 1,500
Mtu hawezi kuwa na uhakika kwa jambo ambalo ana mashaka nalo au anajua si la kweli ila upande mwengine mtu anaweza kuwa na uhakika(hana shaka) na jambo kwa kujua ni kweli ila hilo jambo lisiwe la kweli,mfano chukulia umeenda hospitali kupima ugonjwa fulani na daktari akakupa majibu na ukayakubali ila kumbe hayo majibu si ya kweli kwa maana yalifanyika makosa kwenye kupima au hata daktari kaamua kukupa majibu ya uongo.

Kwahiyo unaweza ukawa unajua una ugonjwa fulani au hauna,una uhakika na hilo kwa sababu umepima lakini kumbe kiuhalisia si kweli.

Lakini pia hakuna niliposema kwamba jambo linaweza kuwepo kwa sababu ya kuamini tu,tatizo sio kusema bali kinachofanya useme hivyo. Anayesema Mungu kaumba sio kwamba alimuona huyo Mungu akiumba bali anaamini hivyo na ndiyo maana anasema hivyo.

Na imani inaweza kuwa kweli ama si kweli,tatizo wewe unachukulia imani ni kama jambo ambalo halina uzito wowote kwenye uhalisi wa maisha yetu.
Kwa hiyo suala muhinu kama la uumbaji mnalolisema limefanywa na Mungu muweza yote ndiyo mnalifananisha na vipimo vya kibinadamu vinavyofanywa na wasioweza yote?

Unaelewa kuwa suala hili ni nyeti sana na halikupaswa kuishia kwenye imani tu bali kwenye uhakika wa kwamba yeye ndiye kaumba?

Kama tu wewe ukijenga nyumba ni vigumu kutowaambia wanao kwa nini Mungu wenu kaumba ulimwengu ambao hata kazi yake inakuwa na walakini?

Alishindwa kuumba Ulimwengu ambao sisi sote tunajua uwepo wake na kazi zake automatically kama ambavyo ametuwekea (iwapo katuumba yeye kweli) tukibanwa haja tunahisi automatically pasina hata kuhitaji kuambiwa na mchungaji ama shehe?

Au kwake yeye kwenda haja kubwa ni muhimu sana kushinda kujua ukweli wa kazi zake ndiyo maana akaweka u automatic kwenye haja ila kwake yeye mpaka mchungaji au shehe watuambie?

Nikisema Mungu huyu hayupo, maana akili zake zinaonekana kupelea, alitungwa na watu tu ntakuwa nakosea wapi?
 
sikiliza we jamaa... YESU alikuwako hapa duniani miaka 2000 iliyopita na dunia nzima inalifahamu hili na iko confermed kote...kama ww unabisha toa evidence zako.... YESU ndio most femous man ever lived on earth ....

yesu alisema habari za mbinguni na alifanya mambo ambayo hakuna mwanadamu amewai kufanya alivunja laws zote za physics chemistry na mathematics kutokana na aliyoyafanya..

na alipaa mbinguni WATU ZAID YA 500 WALISHUHUDIA... NA PAKA LEO TUNATUMIA BC NA AD KUWAKILISHA MIAKA...

SASA KUNA WALEVI WANAPINGA TU...HAHAHHHAHHA
 
Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,016
Points
1,500

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined May 24, 2013
1,016 1,500
????teh teh teh hamna sehemu umejibu maswali yangu pitia post zako huko juu..najaribu kukupa maswal mepesi sana hata la uhuru lakin unaruka mita 1000 hahahahahha we jamaa bwana....

sasa kama huwez kuthibitisha hata uwepo wako ..vipi kuhu wa aliyekuumba??????

...okay fanya ivi kukurahisishia unataka ushahidi wa aina gana kuhusu MUNGU???/

WA picha/video,maandishi.au kuoneshwa au wa aina gan?? ...sema unatakaje then nikuthibitishie ...nakusubiri...
1.Unaweza ukanionesha niliposema siwezi kuthibitisha uwepo wangu?

2.Unaweza ukathibitisha kwamba niliumbwa?

3.Unauliza uthibitisho gani, we hujui criteria za uthibitisho?

Na kama ni hivyo unakubali kwamba ulikurupuka tu mwanzoni kuanza kujibu vitu ambavyo hata huvijui?
 
Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,016
Points
1,500

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
Joined May 24, 2013
1,016 1,500
sikiliza we jamaa... YESU alikuwako hapa duniani miaka 2000 iliyopita na dunia nzima inalifahamu hili na iko confermed kote...kama ww unabisha toa evidence zako.... YESU ndio most femous man ever lived on earth ....

yesu alisema habari za mbinguni na alifanya mambo ambayo hakuna mwanadamu amewai kufanya alivunja laws zote za physics chemistry na mathematics kutokana na aliyoyafanya..

na alipaa mbinguni WATU ZAID YA 500 WALISHUHUDIA... NA PAKA LEO TUNATUMIA BC NA AD KUWAKILISHA MIAKA...

SASA KUNA WALEVI WANAPINGA TU...HAHAHHHAHHA
Hujathibitisha uwepo wa Mungu,kwa sababu hayupo.

Kama unadhani yupo thibitisha uwepo wake.
 
Bhagavan

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2017
Messages
1,360
Points
2,000

Bhagavan

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2017
1,360 2,000
sikiliza we jamaa... YESU alikuwako hapa duniani miaka 2000 iliyopita na dunia nzima inalifahamu hili na iko confermed kote...kama ww unabisha toa evidence zako.... YESU ndio most femous man ever lived on earth ....
yesu alisema habari za mbinguni na alifanya mambo ambayo hakuna mwanadamu amewai kufanya alivunja laws zote za physics chemistry na mathematics kutokana na aliyoyafanya..
na alipaa mbinguni WATU ZAID YA 500 WALISHUHUDIA... NA PAKA LEO TUNATUMIA BC NA AD KUWAKILISHA MIAKA...
SASA KUNA WALEVI WANAPINGA TU...HAHAHHHAHHA
Sometimes wafia dini tubakosa hoja za msingi katika kutetea uwepo wa mungu, sasa kama ww unazungumzia yesu alikuwepo mara alipaa ilihali hakuna ushahidi wowote wa hilo ukambiwa uthibitishe. Hebu tuwe tunayasoma vizuri hayo maandiko mkuu halafu tuhoji akilini mwetu si kila andiko unalibeba tu. Eti watu 500 walishuhudia as if uliwaona wakishuhudia kupaa kwa yesu
 
Forum statistics

Threads 1,358,065
Members 519,199
Posts 33,159,363
Top