Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Sayansi inaenda na uthibitisho.

Unaweza kuthibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeuumba ulimwengu huu yupo kweli na si hadithi za uongo tu?

Thibitisha.
thibitisha kwamba ulimwengu na nani?/
 
Naomba kuuliza hivi unaposema nafsi unamaanisha nini?
Nilishajibu maana ya nafsi rejea comment za nyuma
Na je hiyo nafsi inawekwa na Mungu au binadamu anajiwekea hiyo nafsi?
Mungu ndie muumba wa viumbe wote hakuna mwingine anaeweza kumpa kiumbe mwenzake nafsi wala kiumbe kinachoweza kujiumba na kujipa nafsi.
Na je kila binadamu ana nafsi sawasawa na mwingine au inatofautiana?
Kila mwanaadamu ana nafsi yake
 
Kuna ulazima wowote wa mletaji kuwepo ili kusababisha kingine kiwepo?
wewe kama umshindwa kuelezea origin ya binadamu au hii dunia..bas faham kuna anayejua mwanzo wake na mwisho wake na kila kitu in order... only one GOD
 
wewe kama umshindwa kuelezea origin ya binadamu au hii dunia..bas faham kuna anayejua mwanzo wake na mwisho wake na kila kitu in order... only one GOD
Kama umeshindwa kuelezea origin ya mungu basi utambue kua hayupo anabakia kua wakufikirika tu vichwani mwenu na ndio maana mnashindwa kumuelezea
 
SNI MUNGU NI ROHO NA WEWE UNATAKA USHAHIDI WA KIMWILI NDIO SHIDA..KAMA UANATAKA USHAHID WA KIMWILI TOA KWANZA ORIGIN YA MWANADAMU N A UTHIBITISHO
 
SNI MUNGU NI ROHO NA WEWE UNATAKA USHAHIDI WA KIMWILI NDIO SHIDA..KAMA UANATAKA USHAHID WA KIMWILI TOA KWANZA ORIGIN YA MWANADAMU N A UTHIBITISHO
Another ambiguity detected

Roho ni nini?
 
Jibu lako utalipata ikiwa utajiuliza je hizo hadithi zilitokea wapi tangu kuumbwa kwa binaadamu wa kwanza na kuletwa duniani na je aliletwa kwa lengo gani.
Unajuahe kwamba jibu nitalipata hapo? Nishajiuliza naswali hayo na sijapata jibu hilo.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo na si hadithi tu?
 
mnaenda mbali sana.. wewe unaweza nithibitishia origin ya mwanadamu ?? kabla hutujaenda mbaaali sana..
Your question is a non sequitur.

Nikishindwa kuthibitisha origin ya mtu hilo ndilo linathibitisha Mungu yupo?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Madai kwamba Mungu ni mwenye huruma na upendo ni wazi yanaonekana kwa kila mtu. Ni wazi kwamba, kadiri ya mtu alivyo yaani matatizo au mazuri aliyonayo ni huruma na upendo wa Mungu. Shida kubwa iliyopo kwa watu ni kuwa tunaishi, tunatumikia, tunaelewa na tunaamua mambo kwa hisia. Kwasababu hatiwezi kutumia uwezo wetu wa ndani ya moyo yaani akili ya kina badala take tunatumia hisia basi hatuwezi kumwona Mungu. Na hata pale Mungu anapojidhihirisha waziwazi kwetu tuna kataa kwasababu maisha yetu yote tunatumia hisia. Hisia ni nzuri katika mazingira fulanifulani lakini kamwe hisia haziwezi kuleta manufaa ya mwili na roho wala kwa zenyewe hakuna maarifa. Udhibitisho wa kitu au jambo hautokani na sayansi kama kitu pekee kilichomo ndani yake lakini pekee pale kinapounganika na Mungu.
Kama Mungu huyo yupo kweli, kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, aliyekuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kuwepo, hakuumba ulimwengu huo, akaumba ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana kuwepo?

Unaweza kujibu swali hili?

Umelielewa swali?
 
Bora uamini Mungu yupo uende umkose, kuliko kutoamini hayupo uende umkute. Na Biblia imetamka wazi kwamba utakayenikataa duniani na mimi (Yesu) nitamkataa Mbinguni kwa baba yangu
Bora uamini lipuli atamfunga barcelona kwenye uwanja wa camp new goli 8 bila, ukauza nyumba yako kisha ukam betia lipuli kua atashinda.

Kuliko kudharau halafu ukakuta wachezaji 9 wa barcelona wamepewa kadi nyekundu na kuwarahisishia lipuli kuchukua ushindi wa kibwetere
 
Wakuu salama, Kwanza kabisa nianze kwa kusema Elimu pekee ndio itakayomkomboa Mwanadamu katika sayari hii, Uwezo wa kutatua changamoto upo ndani yake mwenyewe, Hakuna Msaada wowote utakaotokea anga za juu kuja kusaidia hapa Dunia Hivyo Binadamu ni Mungu tosha kabisa ni Maarifa na yanazidi kupanuka na kukiweka Huru kiumbe Hichi.

Miaka kadhaa nyuma Baadhi ya sisi atheists humu tulionekana watu wa ajabu kwa imani Yetu kuwa Hakuna Mungu, Mkuu Kiranga ana thread moja imefikisha almost 3K Comments za Believers wakimshambuliwa kwa matusi nae akiwajibu kwa hoja.

Taswira ya JamiiForums sasa iko tofauti kabisa Watu kiukweli wametoka kwenye vifungo na kwa sasa wengi ni Free thinker ata kama Anaamini katika Mungu ila yuko tayari kusikiliza sera za wasio amini na kuchambua kidogo.

Tuliwahi ongea apa kwamba Mungu huyu tunaemsoma makanisani au Misikitini Hawezi kuwepo hata kwa bahati mbaya mana sifa tunazomjaza hayuko nazo hata punje. Nakaribisha mijadala zaidi.

Cc Free ideas Doyi Kiranga nusuhela @Areta ludovick Kifyatu
Mungu yupo mkuu................Sema hizi dini ni inventions za human being.......................Kwanini nasema Mungu Yupo........Mungu yupo kwa sababu ukiangalia kwa ndani natural science zimeshindwa kujibu kwa ufasaha ulimwengu ulianza anzaje na binadamu tumetoka wapi.................lazima kuna supernatural power somewhere ambayo ndio chanzo cha ulimwengu...........lazima kuna akili ambayo ili design hivi tulivyo
 
Hiyo supernatural power ambayo unahisi ipo unataka kutuambia nayo inaweza kuwepo tu bila chanzo?
 
Hiyo supernatural power ambayo unahisi ipo unataka kutuambia nayo inaweza kuwepo tu bila chanzo?
Hiyo ni siri ambayo mimi na wewe kwa uwezo wetu wa kibinadamu hatuwezi kujua ..................sababu ulimwengu huu tunaoishi ni mkubwa mnoo na level yetu ya knowledge bando ni ndogo kuweza kujibu hilo usemalo
 
Hivi kwanini wengi wanaoamini uwepo wa Mungu wanaishia kutishia tu? Mara utasikia we amini tu! Then what?..Ukifuatilia sana dini unaweza kuwa chizi and from my observation hakuna dini ilio sahihi hata moja Duniani kwa sababu kama kungekua na dini sahihi basi wote tungekua na dini moja lakini kutokana na wengi kuendelea kumezeshana vitu ambavyo havipo ndo tunapata watu ambao hawawezi wakatupa empirical evidences za kwanini wao wapo kama walivyo.
Tusijazane Uoga
Nyie ndo wale wa motoni !hahahahaha kweli maneno yametimia!
 
Back
Top Bottom