Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,022
Chief Kiranga
Huwa napenda sana kusoma nyuzi zako,kwa kuangalia jinsi ya uundaji wa Hoja zako
Ila una udhaifu wa ajabu sana
Ijapokuwa wapo mfano wako humu,wanaokushangilia
Chief Kiranga
Mwenye chake,hapangiwi hata siku
anafanya atakavyo
Mfano mdogo tu
Mtu mwenye hela zake,hapangiwi jinsi ya kuzitumia....hata kama anafuja hela au au au au
Ikiwa ww unafanya unavyojisikia Chief
Vipi yule aliekuumba
Yeye ana haki zaidi ya kufanya atakavyo
Hata akiamua,Dunia nzima waingie Peponi,basi hakuna wa kumuuliza
Hata akiamuaUlimwengu mzima uende Motoni,Hakuna wa kumuuliza
Yeye anafanya atakalo,na wala haulizwi wala kushauriwa
Ni wake Ufalme wa Mbingu na Ardhi