Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Atheists tulionekana wa ajabu sana!

Hujajibu swali.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.
Je Mungu kuwa muweza wa Yote na mjuzi wa Yote ni kuumba ulimwengu ambao hata kiranga ambaye sio muweza wa Yote anataka uwe?...jibu ili swali acha uoga kiranga
 
Jasusi wa hadithi James Bond hayupo, lakini naweza kufikiria uwezo wake kulingana na hadithi zake.

Jasusi wa hadithi Willy Gamba hayupo, ametungwa tu, lakini naweza kufikiria uwezo wake kulingana na hadithi zake.

Mungu wa hadithi hayupo, lakini naweza kufikiria uwezo wake kulingana na hadithi zake.

Hoja yako haina mantiki.

Unaweka hoja kwamba kisichopo hakiwezi kufikiriwa uwezo wake, nakuonesha kwamba hata characters wa hadithi, ambao hawapo, tunaweza kufikiria uwezo wao kwa mujibu wa hadithi.

Mungu naye ni character wa hadithi kama James Bond na Willy Gamba, hayupo.

Kutokuwepo kwake hakutuzuii kuweza kufikiria uwezo wake, kwa mujibu wa hadithi zake.

Mungu wa Hadithi ndio nini?
 
Ningekujibu swali gani?

Mimi nakuuliza kabla Mungu hajaumba ulimwengu, kwa mujibu wenu, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu wowote, ukiwamo ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Wewe unaniambia habari za Nuhu.

Mimi nimeuliza swali la kabla mtu hajaumbwa, wewe unaenda habari za Nuhu.

Haya, tuseme huyo Nuhu kakosea, Adam kakosea.

Aamewezaje kukosea? Ameweza kukosea kwa sababu ulimwengu ulioumbwa na Mungu unamuwezesha kukosea.

Sasa hapo ndipo swali langu linakuja.

Kwa nini Mungu aliumba ulimwengu ambao watu wanaweza kukosea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao watu hawawezi kukosea?

Hujajibu swali hili.
Sawa tutafikia tu muafaka, Tuache kwanza hilo suala la nabii Nuhu. Naomba nijibu kwanza swali hili halafu tuendelee kama ambavyo mimi nilikujibu maswali yako.
Unafahamu kabla ya kuletwa adam duniani dunia ilikua imetakasika na hapakua na gharika za aina yoyote?
 
Mungu ambaye muweza wa Yote,Mungu ambaye njia zake hazichunguziki kaumba ulimwengu ambao Binadamu hatuwezi kuchunguza alichofikiria uwe, kwa kua njia zake hazichunguziki.
This is circular argument.

Naweza kusema lolote kwa kutumia trick hii.

Naweza kusema katika jometri ya Euclid, pembetatu ni duara, ila wewe huelewi tu, kwa sababu ni mambo ya uelewa wa hali ya juu sana.

Utapinga vipi?
 
Sawa tutafikia tu muafaka, Tuache kwanza hilo suala la nabii Nuhu. Naomba nijibu kwanza swali hili halafu tuendelee kama ambavyo mimi nilikujibu maswali yako.
Unafahamu kabla ya kuletwa adam duniani dunia ilikua imetakasika na hapakua na gharika za aina yoyote?
Aadam ni nani na hayo mambo uliyoandika utanihakikishiaje kuwa ni kweli na si hadithi tu?

Unaelewa kwamba dunia iliyotakasika haiwezekani kufanyika ubaya wowote, na inayowezekana kufanyika ubaya wowote haijatakasika?
 
This is circular argument.

Naweza kusema lolote kwa kutumia trick hii.

Naweza kusema katika jometri ya Euclid, pembetatu ni duara, ila wewe huelewi tu, kwa sababu ni mambo ya uelewa wa hali ya juu sana.

Utapinga vipi?
Sifa za Mungu ambazo huwa hauziweki katika Yale maswali yako ni pamoja njia zake hazichunguziki Sasa nimekujibu kulingana na sifa zake Sasa haujaelewa Nini?
 
Sifa za Mungu ambazo huwa hauziweki katika Yale maswali yako ni pamoja njia zake hazichunguziki Sasa nimekujibu kulingana na sifa zake Sasa haujaelewa Nini?
Umejuaje njia zake hazichunguziki kama kweli hazichunguziki?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Unaelewa kwamba contradiction katika sifa zozote mbili za Mungu zinafanya sifa nyingine zote zisiwe na maana tena?

Hujajibu swali.

Hujajibu swali.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.
 
Aadam ni nani na hayo mambo uliyoandika utanihakikishiaje kuwa ni kweli na si hadithi tu?

Unaelewa kwamba dunia iliyotakasika haiwezekani kufanyika ubaya wowote, na inayowezekana kufanyika ubaya wowote haijatakasika?
Adam ni binaadamu wa kwanza kuumbwa. Haya nijibu swali langu kwanza halafu tuendelee. Unakubali kwamba kabla kuwepo binaadamu kwenye dunia hapakuepo na hayo mabaya?
 
Mungu ambaye huwezi kuthibitisha yupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.

Umesema unaweza fikiria uwezo wa Mungu wa Hadithi.

Hata sijakuambia uthibitishe fikra zako, nimekuuliza ndio kitu gani hicho "Mungu wa hadithi"

Cha ajabu wewe ndio unanitaka nithibitishe kwamba Mungu yupo eboo
 
Umejuaje njia zake hazichunguziki kama kweli hazichunguziki?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Unaelewa kwamba contradiction katika sifa zozote mbili za Mungu zinafanya sifa nyingine zote zisiwe na maana tena?

Hujajibu swali.

Hujajibu swali.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.
Umewezaje kujua ni muweza wa yote na mjuzi wa yote Kama hayupo?
 
[emoji28] ok nimekupata. Umeshndwa kuleta sababu ya msingi kutokuwepo kwa Mungu bas sawa.
Mimi kushindwa kuleta sababu kuonesha kitu flani hakipo sio tatizo, watu wanaweza wakakushangaa kwasababu unawezaje ku prove negative things?

Ila wewe kusema kitu flani kipo halafu ukashindwa kutuelezea namna gani kitu icho kipo ni jambo la aibu sana
 
Contradiction umejiwekea wewe maana kusema Mungu Ana uwezo wa Mambo yote maana yake yeye ndio mwamuzi na wala hapangiwi kwaio kaumba ulimwengu kwa jinsi anavyotaka yeye sio Kama unavyotaka wewe
Kama kuumba mema bila mabaya hilo linaonyesha uwezo wote alionao basi huyu mungu ni box

Haya

Kwa uwezo alionao mungu wako anaweza kujiua??
 
Kiranga nimekuuliza kwa nini unadhani ukiua familia yangu sintofurahi?
Unataka kuniambia utafurahi? Kwa mtu wa kawaida hilo si jambo la kufurahisha.Linamtenganisha na watu anaowapenda.

Nimekujibu swali lako, na wewe nijibu langu.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.
 
Kama kuumba mema bila mabaya hilo linaonyesha uwezo wote alionao basi huyu mungu ni box

Haya

Kwa uwezo alionao mungu wako anaweza kujiua??
Swali lako halieleweki embu Soma Tena halafu liulize Kuna sehemu unaweza ukawa umekosea
 
Mimi kushindwa kuleta sababu kuonesha kitu flani hakipo sio tatizo, watu wanaweza wakakushangaa kwasababu unawezaje ku prove negative things?

Ila wewe kusema kitu flani kipo halafu ukashindwa kutuelezea namna gani kitu icho kipo ni jambo la aibu sana
Huyo jamaa hata habari ya ku prove negative sijui kama anaielewa.
 
Umewezaje kujua ni muweza wa yote na mjuzi wa yote Kama hayupo?
Hizo ni tabia zilizoelezwa katika hadithi zake katika mapokeo.

Nimezisema hivyo kutokana na hadithi zake.

Kama ninavyoweza kusema James Bond anapenda kunywa Matini shaken, not stirred, wakati James Bond hayupo.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Huyo jamaa hata habari ya ku prove negative sijui kama anaielewa.
Mungu anakua muweza wa Yote na mjuzi wa yote ni kuumba ulimwengu ambao hata kiranga ambaye sio muweza wa Yote anafikiria uwe?
 
Back
Top Bottom