zacon franco
Senior Member
- Jun 26, 2018
- 103
- 110
kwanza hapo zamani babu zako walitembea nusu uchi, kwaiyo mlegezo na sketi fupi ni upgrade.Unajua watanzania ni watu ambao tunatawaliwa kifikra na ulimwengu wa nchi zilizoendelea.
Hapo Awali Tanzania kulikuwa almost hakuna mashoga wala Lesbians lakini hivi sasa baada ya uzungu kutuingia mashoga na Lesbians wamekuwa wa kumwaga. Wasanii wetu walikuwa wanaimba nyimbo za kijamii na zenye kuhusiana na maisha yetu. Hivi sasa wasanii wanaimba nyimbo za kimagharibi na cultural traditional music is slowly fading away and replaced by what Westerners introduce into our heads. Hapo awali Vijana tulikuwa tukivaa nguo zetu vizuri na tukiongea kiswahili kilicho nyooka lakini hivi sasa vijana wanavaa suruali zinaanzia chini ya matako chupi nje na wakiongea wanabana sauti na kuslengisha kiswahili. Sasa hii naona munatuletea Ethisms na kujifanya nyinyi ndiyo mumesoma sana Science. Wacheni kutawaliwa kifikra na kuiga mambo ya wazungu.
Labda ni kuulize ni kinachokufanya usiamini Mungu?
pili wazee wako waliamini miungu mbali mbali na jamii nyingine zilitoa kafara za watu ili mvua inyeshe ,hakuna tofauti yao na wewe sababu wote hamjajiuliza nje ya ulichofundishwa.
pia kuna scientific evidence ya uhusianon kati ya imani za miungu,umaskini na IQ ndogo miongoni mwa binadamu. unaweza ku google.
pia ata lugha tunayotumia tunaiandika mfumo wa kirumi tuliokopa kwa wazungu.
tusiingie kwenye elimu , kazi za muhimu na matibabu