magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,309
Kwa Imani naaminiHapo umelazimisha. Hujathibitisha.
Imani ni kukubali bila uthibitisho.
Ukisema "kwa imani nathibitisha", that is an oxymoron.
Kwa Imani naaminiHapo umelazimisha. Hujathibitisha.
Imani ni kukubali bila uthibitisho.
Ukisema "kwa imani nathibitisha", that is an oxymoron.
Hapo umelazimisha. Hujathibitisha.
Imani ni kukubali bila uthibitisho.
Ukisema "kwa imani nathibitisha", that is an oxymoron.
Ushawahi kuipima gravitational force kuwa 9.8 ?au unaamini kwakua umekaririshwa ni ivyo?Hapo umelazimisha. Hujathibitisha.
Imani ni kukubali bila uthibitisho.
Ukisema "kwa imani nathibitisha", that is an oxymoron.
Gravitationat force si 9.8.Ushawahi kuipima gravitational force kuwa 9.8 ?au unaamini kwakua umekaririshwa ni ivyo?
Hoja si 9.8 au 10 hoja ni ushawahi kuipima?Gravitationat force si 9.8.
Unapoandika utumbo kama huo naona hujapita shule. Achilia mbali kusoma.
Uliza tena.
Hoja ni kwamba hujui hata unachouliza ni nini.Hoja si 9.8 au 10 hoja ni ushawahi kuipima?
Sasa kama unajua hivyo kwamba 'imani ni kukubali bila kuthibitisha' mbona unamtaka athibitishe? Imani siyo 'kukubali tu bila kuthibitisha' bali ni kukubali 'kilicho bayana' kutokana na ukweli kwamba kinatoka kwenye chanzo cha uhakika na jambo linalotoka kwenye chanzo cha uhakika kuthibitisha ni 'unnecessary' na ndiyo maaana sisi tunaoamini au niseme mimi ninayeamini naweza kusema ninatoa ushuhuda (testimony), ambayo pia ni kama kuthibitisha kwa nini ninaamini kama ninavyoamini. Kwa upande mwingine, kila mwanadamu ana imani in whatever form it can be expressed. Mfano, hata hao wana 'big bang' hawawezi kuthibitisha how it happened na je wanajuaje kama pioneer wa hiyo theory hakuwaingiza mkenge? The fact, kwamba wana'trust' kazi aliyoifanya, wanaamini findings zake ni za kweli (kwa sasa) mpaka atakapotokea mtu mwingine atakayeleta theory mbadala inayopingana na hiyo ya 'big bang'. Kumbuka kwamba mwanzoni watu waliamnini 'dunia ni mviringo' na leo tunaamini ni 'spherical'. Akija mtu mwingine na theory ya kusema ni 'pembe tatu' tutaenda naye as far as theory yake itasimama kwa muda huo itakapokuja. Hivyo, basi science na faith ni complementary - each fills in the gaps of the other. This is what I see it.Hapo umelazimisha. Hujathibitisha.
Imani ni kukubali bila uthibitisho.
Ukisema "kwa imani nathibitisha", that is an oxymoron.
Namtaka athibitishe kwa sababu najua hawezi kuthibitisha. Kwa sababu habari ni ya uongo.Sasa kama unajua hivyo kwamba 'imani ni kukubali bila kuthibitisha' mbona unamtaka athibitishe? Imani siyo 'kukubali tu bila kuthibitisha' bali ni kukubali 'kilicho bayana' kutokana na ukweli kwamba kinatoka kwenye chanzo cha uhakika na jambo linalotoka kwenye chanzo cha uhakika kuthibitisha ni 'unnecessary' na ndiyo maaana sisi tunaoamini au niseme mimi ninayeamini naweza kusema ninatoa ushuhuda (testimony), ambayo pia ni kama kuthibitisha kwa nini ninaamini kama ninavyoamini. Kwa upande mwingine, kila mwanadamu ana imani in whatever form it can be expressed. Mfano, hata hao wana 'big bang' hawawezi kuthibitisha how it happened na je wanajuaje kama pioneer wa hiyo theory hakuwaingiza mkenge? The fact, kwamba wana'trust' kazi aliyoifanya, wanaamini findings zake ni za kweli (kwa sasa) mpaka atakapotokea mtu mwingine atakayeleta theory mbadala inayopingana na hiyo ya 'big bang'. Kumbuka kwamba mwanzoni watu waliamnini 'dunia ni mviringo' na leo tunaamini ni 'spherical'. Akija mtu mwingine na theory ya kusema ni 'pembe tatu' tutaenda naye as far as theory yake itasimama kwa muda huo itakapokuja. Hivyo, basi science na faith ni complementary - each fills in the gaps of the other. This is what I see it.
Mungu alishajithibitisha zamani toka anaumba ulimwenguHoja ni kwamba hujui hata unachouliza ni nini.
Sasa mimi nitakujibu vipi?
Unataka kuuliza nini?
Nikikwambia sijawahi kupima na wala sijui unachouliza ni nini, hilo linathibitisha Mungu yupo?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Sasa kinachofanya wengine wengi kusema kuwa Mungu yupo ni nini? kipi kinachodumisha huo msimamo wa watu kuona kuwa Mungu yupo?Mungu hayupo ila jina lipo, nini hoja yako?
Kivipi?Mungu alishajithibitisha zamani toka anaumba ulimwengu
Kiranga ushawahi sikia jina la kitu ambacho hakipo ulimwenguni?Hoja ni kwamba hujui hata unachouliza ni nini.
Sasa mimi nitakujibu vipi?
Unataka kuuliza nini?
Nikikwambia sijawahi kupima na wala sijui unachouliza ni nini, hilo linathibitisha Mungu yupo?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Kwa uelewa wako mdogo kuhusu Mungu Mungu ni Nani twende taratibuKivipi?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Hapa umejiingiza mwenyewe na hutachomoka. kwanza hiyo aya tuangalie ya nyuma yake inasemaje.Wewe unaelewa kwamba Quran inasema Allah atawaziba watu macho, masikio na kuwafanya mioyo yao iwe migumu, ili wasimuelewe.
Halafu atawahukumu vikali kwa sababu hawakumuelewa.
Yani Allah mwenyewe anajitekenya, halafu anacheka.
Anawaziba watu akili wasimjue, halafu anawahukumu kwa sababu hawamjui (wakati yeye mwenyewe ndiye iyewazibia wasimjue!).
Unaona hayo ni maneno ya Mungu kweli au ya watu wajinga tu?
Mapokeo kama watu walivyosema jua linazunguka dunia, kukosa uchunguzi, logical non sequitur, deus ex machina, political machinations.Sasa kinachofanya wengine wengi kusema kuwa Mungu yupo ni nini? kipi kinachodumisha huo msimamo wa watu kuona kuwa Mungu yupo?
Kwa uelewa wako mdogo kuhusu Mungu Mungu ni Nani twende taratibu
Swali lako huwa lakipuuzi saanaMungu ni character wa hadithi kama James Bond na Willy Gamba.
Tena bora hata James Bond na Willy Gamba wana logical consistency zaidi ya Mungu.
Kama unabisha, unasema Mungu yupo kweli, thibitisha yupo.
Hujajibu swali.
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya
yanawezekana, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Hujajibu swali hili.
Mungu ambae muweza wa yote anabidi aumbe ulimwengu ambao hata kiranga ha na ukuu huo anaufikiria? Jibu ndio au hapanaMungu ni character wa hadithi kama James Bond na Willy Gamba.
Tena bora hata James Bond na Willy Gamba wana logical consistency zaidi ya Mungu.
Kama unabisha, unasema Mungu yupo kweli, thibitisha yupo.
Hujajibu swali.
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya
yanawezekana, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Hujajibu swali hili.
Wewe hata swali langu hujalielewa, hivyo huwezi kuanza kulijibu.Swali lako huwa lakipuuzi saana
Kaumba bila kukutaka ushauri kwa mapenzi yake,na hekima zake
Ulitaka aumbe unachokitaka ww Kiranga au ni kujitoa akili?!
Jifunze kuandika kwanza wewe ngumbaru.Mungu ambae muweza wa yote anabidi aumbe ulimwengu ambao hata kiranga ha na ukuu huo anaufikiria? Jibu ndio au hapana