Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,051
- 132,001
Hapa kazi ninayo aisee. Unakubali wema na uovu upo ?
Au kwako wewe kila kitu ni sawa ? Ndio maana nasema unafikiri kitoto sana kupotezea watu muda.
Je unaweza kuupata au kuujua wema nje ya imani ya dini ?
Hapa ndipo unapotakiwa kujifunza kujenga hoja zenye nguvu sio unauliza maswali ya kitoto na kutafuta pa kutokea.
Post namba 327 nimetoa ufafanuzi vizuri kwa mwenzio kuhusu swala hili unaweza ukapitia kujifunza kitu
Tafsiri ya uovu na wema umeijenga kwa dhana ya mungu unayemuamini hujajenga hoja in general ili hata mimi nisiyeamini mungu nikujibu, umeweka mipaka kuonesha watu wanao muamini mola wako tu ndiyo mahususi na hiyo tasfiri